Magufuli atavumilia maandamano ya raia?

Magufuli atavumilia maandamano ya raia?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,329
Nikimsoma jamaa ni mbabe, Je atavumilia maandamano ya madereva, vyama vya upinzani, wanafunzi au itakuwa ni amri moja kwa IGP
 
wanatanzania wanataka rais mbabe atakayeweza kuwavusha walipo,binafsi namwona magufuri km mtu mchapa kazi,na ni lazima atafuata sheria na katiba ya nchi
 
nikimsoma jamaa ni mbabe,je atavumilia maandamano ya madereva,vyama vya upinzani,wanafunzi....au itakuwa ni amri moja kwa IGP
Mgufuli ni KIHEREHERE NI NYAPARA ANA PAPARA AKIPEWA CHA KUFANYA HUWA ANAKURUPUKA ..si kiongozi.
 
Tunamtaka nyapara coz watanzania siku hz tumekuwa na kuherehere tupelekeshwe nchi iendee
 
Hakutakua na maandamano Nonsense,muda huo haupo tena labda yawe maandamano ya amani kuhamasisha watu kufanya kazi na kuchangia shughuli za maendeleo!
 
Magufuli hana lolote zaidi sana mtaishia kupewa idadi ya waliogegeda, gegedwa, walopigwa na waume zao, wachepukaji nk. Mzee wa data
 
Nikimsoma jamaa ni mbabe, Je atavumilia maandamano ya madereva, vyama vya upinzani, wanafunzi au itakuwa ni amri moja kwa IGP
Kamanda hata kampeni bado umeenza kitete JK mlikuwa mnasema dhaifu tulieni muone watawala.

Teh teh teh
 
Hakutakua na maandamano Nonsense,muda huo haupo tena labda yawe maandamano ya amani kuhamasisha watu kufanya kazi na kuchangia shughuli za maendeleo!

Hebu nitajie hizo kazi ambazo hazifanyiki hadi kuwe na maandamano ya kuhamasisha watu kufanya kazi, wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi wote wanajua machungu wanayoyapata. Pia watu wachangie mara ngapi, kuna kodi kibao na bado kuna michango ya lazima kama ya Maabara. Mbona hamuongolei kupambana na RUSHWA kubwa zilizopo serikalini.
 
Nikimsoma jamaa ni mbabe, Je atavumilia maandamano ya madereva, vyama vya upinzani, wanafunzi au itakuwa ni amri moja kwa IGP

kiwewe kinakusumbua na muda mwingine bora kama hauna cha kuandika kaa kimia
nani kakwambia ataandamana kati ya hao uliowataja?
maandamano ni mtaji?
jiulize swali watu wanaandamana wanataka nini? badara ya kusubili watu waandamane atatimiza maitaji yao kabla ya maandamano,
unajingine?
 
Sina hakika kama ataiweza nchi hii iliyoharibiwa na rais wa awamu ya 4
 
Magufuli hana lolote zaidi sana mtaishia kupewa idadi ya waliogegeda, gegedwa, walopigwa na waume zao, wachepukaji nk. Mzee wa data

hauna lolote mnapuyanga tu wala hamueleweki,unajua maana ya data au shule yako dogo,unajifnya kujua mambo kumbe hamna kitu,data maana yake tafiti.
 
Magufuli hana lolote zaidi sana mtaishia kupewa idadi ya waliogegeda, gegedwa, walopigwa na waume zao, wachepukaji nk. Mzee wa data

Leo vijana wa BAVICHA wako kwenye mahandaki anga la UKAWA halisomi, rada zote zimepoteza mwelekeo teh teh teh CCM wamewapumulia!
 
Back
Top Bottom