Mbio za sakafun huishia ukingoni,kwa sasa zito amejimaliza mwenyewe na kilichobaki ni yeye kushikilia ubunge wake tu,chadema ni chama makini ambacho hakitayumbishwa na mamluki yeyote,hongera chadema kwa kuchukua maamuzi magumu
Nazani rais wetu kalala sana usingizi,hata hili lipinda sijui lini litanyooka mana sasa hivi limepoteza kabisa mvuto yana baada ya kuwa fisadi limesahau kuwa limetoka familia ya mkulima,wote wa kufukuza na kuwapa chadema nchi,chadema viva.
Tunalijia hili bwge linataka kuonekana lipo bungen,hivyo inakuwaje wale wananchi wanampa kura huyu chizi wakat anawatia aibu bungen?yeye kazi yake ni kuongelea ngono tu muda wote,yeye alifumaniwa igunga na mke wa mtu wakamla tigo na watanzania wote tunajua hilo, hongera mbowe coz uliomba kwa...
Hana sera huyo pandikizi ameshakwisha kisiasa,alizani chadema ni chama za kuchezea,ameshakwisha sasa tunaimarisha chama hatusikilizi upuuz wa mtu hasa nyie ma ccm feki ambao hamna dira zaid ya kupiga kelele tu na kutapeli wananchi
Tumeshajua nia yao ni kuzoofisha chadema kwa vitisho hasa hili li mwigulu mchumba hana sera kabisa zaid ya kuwafatafata chadema kwa ugaid wake,uzuri chadema wengi hawanunuliki kama zito,hata mfanyaje tunachukua nchi 2015 hata muue viongoz wote wa chadema,nguvu ya umma itawashinda,peoples.......
Ccm chali,hawana sera tena kila siku wanashindwa kuchukua maamuzi magumu kwa sera yao ya kubebana,tunawasubiri 2015 tuone watakuja na usanii upi, chadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hilo ----- tu linataka kuleta issue ambazo hazina mashiko hapa ,linataka kuficha ukweli wa yeye kufumaniwa,akili zake zimeganda tuondolee ujinga wako hapa kama huna mada kalale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.