Nitafanya vitu vizur nitatoa misaada kwa watoto yatima na wasiojiweza ili niache historia nzur na niwe mfano then sku ya kufa ntakaa tu ndan na kufungulia muzik huku nikiwa tayar kujionea na ku experience jinsi ya kufa
Mm naona n kawaida tu au kwa kuwa aliyempiga ni staa ndio maana stor inakuzwa, jamaa alikuwa anajalibu kuonyesha hisia zake kama binadamu mwingine hapo sjaona cha ajabu
Ningepata nafasi ya kutoa maoni kwa wazir wa elimu ningemuomba kwa walio chuon tayar wawaache na waweke mfumo sasa ambao utadhibit wanafunzi wengine wasio na vigezo kuingia chuon, mi naona wanafunzi wasio na vigezo na wako chuon sio kosa lao ni kosa la waliokubali maombi yao ya kujiunga na chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.