Naomba msaada kuhusu kufungua akaunti ya bank

Naomba msaada kuhusu kufungua akaunti ya bank

Shin Lim

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
8,414
Reaction score
15,610
Shikamoo wakubwa wote wa mikoani na kwa wakubwa wa Dar, habari zenu.

Nataka nifungue akaunti bank, ila kabla ya kufanya hivyo, naomba msaada wa haya mambo.

1. Naomba process nzima ya kufungua akaunti.

2. Ni bank gani yenye huduma nzuri na inayopatikana hata nikienda nje ya dar.

3. Ni bank gani ambayo haina makato makubwa.

MASWALI YA ZIADA
1. Zile atm card unauziwa au unapewa?
2 unapotoa pesa kwa njia ya atm, unakatwa kama mitandao ya simu? Asilimia ngapi.

Ahsante sana.
 
Habari zenu wakubwa wote.

Nataka nifungue akaunti bank, ila kabla ya kufanya hivyo, naomba msaada wa haya mambo.

1. Naomba process nzima ya kufungua akaunti.

2. Ni bank gani yenye huduma nzuri na inayopatikana hata nikienda nje ya dar.

3. Ni bank gani ambayo haina makato makubwa.

MASWALI YA ZIADA
1. Zile atm card unauziwa au unapewa?
2 unapotoa pesa kwa njia ya atm, unakatwa kama mitandao ya simu? Asilimia ngapi.

Ahsante sana.
 
1. Nenda pale bank(me nilienda CRDB) kwa kufungua account itabidi uwe na kitambulisho cha mpiga kura.. Kama huna sasa..ndio itabidi uwe na barua ambayo utaanza nayo kwa mjumbe(ili kukutambulisha) then utaenda serikali ya mtaa(watai_confirm) af watakupa go ahead ya kwenda ofisi ya kata.., halafu pia hapo bank utapewa na barua mbili kwa ajili ya wadhamini wako, kwa hiyo ukishajaza hizo barua utaziambatanisha na copy ya kitambulisho chako(cha mpiga kura) kama unacho.. Kama huna ndo utaambatanisha na hiyo barua.. Na itabid uende na kiasi cha pesa ili kukuwezesha kufungua hiyo account..(20,000 au hata 30,000)

2 & 3.. Mkuu hapo sina uzoefu..ngoja waje me natumia crdb tu

kuhusu atm card unapewa bure..

Hilo la kutoa pesa kwa njia ya simu sijawahi kujaribu..

Ahsante
 
Huku kwetu Ipitingi bengi hamna, tunatumia m-pesa, uzi huu nami utanisaidia.
 
Kafungue CRDB, nenda na passport 2, kitambulisho, na elf 20 ya kuweka kwenye acc

Ni kama robo saa tuu utakuwa na acc pamoja Atm card.
 
mkuu mimi swali langu moja tu. kwanini wakubwa wa dar hujawapa shikamoo?
 
Marahaba Bwana Mdogo..
Benki nzuri iliyopo hata nje ya dar ni NMB kwani imeenea Tz nzima, ina Branch zaidi ya 150, ATM zaidi ya 450.
Baadhi ya gharama zake ni unapotoa pesa ktk ATM unakatwa 600, unapofungua akaunti ile ATM kadi gharama yake ni 7500.
Swali jingine?
 
Kawapa wote,, ila mi najiuliza kwanini katenganisha mikoani na Dar, kwamba Dar is special hata kwa salam wao wanasalimiwa pekeao

Nadhani anapowasikia au kuwaona Wazee wa Dar anapata Inferiority Complex.
 
UOTE="Di Ty, post: 10611073, member: 234409"]1. Nenda pale bank(me nilienda CRDB) kwa kufungua account itabidi uwe na kitambulisho cha mpiga kura.. Kama huna sasa..ndio itabidi uwe na barua ambayo utaanza nayo kwa mjumbe(ili kukutambulisha) then utaenda serikali ya mtaa(watai_confirm) af watakupa go ahead ya kwenda ofisi ya kata.., halafu pia hapo bank utapewa na barua mbili kwa ajili ya wadhamini wako, kwa hiyo ukishajaza hizo barua utaziambatanisha na copy ya kitambulisho chako(cha mpiga kura) kama unacho.. Kama huna ndo utaambatanisha na hiyo barua.. Na itabid uende na kiasi cha pesa ili kukuwezesha kufungua hiyo account..(20,000 au hata 30,000)

2 & 3.. Mkuu hapo sina uzoefu..ngoja waje me natumia crdb tu

kuhusu atm card unapewa bure..

Hilo la kutoa pesa kwa njia ya simu sijawahi kujaribu..

Ahsante[/QUOTE]
Je nikienda na leseni ya udereva haitafaa?
 
kufungua account crdb kwa sasa hiv ni shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom