Matusi ya nini? Wanaomfunza adabu wapo kwenye kitengo Chao Wala hawahusiki na Mambo mengine unayosema kuwa ya msingi. Na hayo yanaendelea kufanyika wakati huyu akifunzwa adabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kilimuudhi. Kama hiyo koraan ilikuwa ofisini, je ni mahali pake? Siku hizi ukienda maofisini unakuta watendaji wameweka biblia au koraan mezani.Zinasaidia nini? Pengine huyu alihitaji msaada Fulani kikazi, alafu badala ya kujibiwa huyu officer anakalia kusoma koraan. Ungekuwa wewe...
Alafu alikuwa waziri pekee aliyekuwa analala na ilani ya CCM, akienda chooni anayo. Na alishona mashati yenye mifuko ya bendera ya taifa. Kumbe anaenda kusaini mikataba ya ovyo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yako kama yako sawa, ila kiswahili chenu kinafanya MTU asifuatilie maelezo yako. Mf kazi mahalumu , mahali halipo rais nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunahitaji kutafakari upya viashiria vya ubaguzi. Wakati wa chama kimoja tuliamini kuwa tunaweza kubaguana kwa rangi,kabila,dini, nk.Sasa hivi siasa ya vyama vingi imeongeza wigo wa ubaguzi. Kama sasa tumeanza kubaguana wale wa CCM na wapinzani. Kama uongozi hautakuwa makini, tutaumizana ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.