Msiwachague wala lushwa, msiwachague wa-la-lu-shwa ---jpm"jamaa ni mshamba sana'' na Nape
"kujimwambafai" na JK
"not to that extent..'' na jpm
"hakuna kuweka mpira kwapani.." na Jafo
"..hakuna kukimbiana hapa.." waziri Jafo
"..tuna raisi wa ajabu kweli kweli.." na Lisu
"watanzania tembeeni kifua mbere tuko kwenye light truck.." na JPM
Ulienda Marekani kusomea upumbavu?---jpm
Nitahakikisha kufikia 2020 hakuna vyama vya upinzani---jpm