Recent content by jet2015

  1. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata wakati mgumu kwa wajumbe Kamati ya Mambo ya Nje

    Acha ubwege wewe kijana lowassa ni next level
  2. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

    Ni mtoto mdogo tu labda anaweza kuamini huo uongo ulioandika Lowassa ndo chaguo sahihi la wananchi jiandaeni tu kisykolojia kuongozwa na Laigwanani
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Lowassa ni chaguo la mungu mtampinga ila hamtashinda, Ameanza Diallo na wengine mnaendelea siku zote mti wenye matunda ndo hupopolewa, Go go Edward
  4. J

    JamiiForums Tanzania Samsung flat screen 43inch inauzwa

    Bei ya mwisho ngapi? Nahitaji hiyo kitu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Edward amebeba matumaini ya watanzani wote, mnapoteza muda bure kumchafua.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Diallo una usafi gani wa kumsakama Edward Lowassa?

    Wana JF, Nimetafakari kinachoendelea sasa Dhidi ya Edward Lowassa ambacho kinafanywa na Ndg Diallo na Genge lao ni kitu cha aibu. Tunafahamu chuki ya Diallo ni pale alipotuma wazee kutoka Mwanza kina Masala Kulangwa kuja Edward kuwa anataka kumuunga mkono but kuna masharti akatoa 1...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    Propaganda team on work, bila kumsema lowasa hulali mwandishi gani wewe unaandika upuuzi huu sisi huko Dodoma tunamuona Edo akifanya mazoezi kila siku.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Bashe na utapeli wa kisiasa

    Bashe hajawahi kutuma vijana Pugu halafu inaonekana wewe upo mbali sana na siasa Bashe na Membe wapi na wapi mwaka 2012 ulikuwa wapi hukusikia mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Membe na Bashe wakati wa mkutano mkuu wa ccm Dodoma? Kigwangallah ndo kinyago cha membe na ndo anazunguka nchi nzima...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Bashe na utapeli wa kisiasa

    Aliempeleka mzee Saidi kigwangalla kwa Bashe ni kijana mmoja anaitwa Allan na alifanya hivyo baada ya yeye kutofautiana na mh kigwangalla na ndo aliyemrekodi huyo mzee na ndo anaujua ukweli wa msaada anaopata kutoka kwa Bashe
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bashe na utapeli wa kisiasa

    Mtoa taarifa ni mpotoshaji mpaka leo hii Bashe anampatia sh laki moja kila mwezi huyo mzee kwa ajili mahitaji yake, tuacheni siasa za kushabiki mwenye laana ni huyo mbunge aliyelewa misifa ya kijinga na kutelekeza mzazi wake
  11. J

    JamiiForums Tanzania dodoma: wapi pazuri kusafisha macho na kuteremsha kitu baridi

    Nenda Matei lounge Area D
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha leo cha Chelsea vs Atletico Madrid

    Team chelsea
  13. J

    JamiiForums Tanzania MBA UDOM: Lecurer kafaulisha 6 na kukamata 28

    Huyo ni ---- fulani mzanzibari anaitwa cartoum anachafua chuo mtu mwenyewe yupo shalo kinoma kuna mdogo wangu kasoma hapo wamemgomea hata hizo sup hawajafanya kesi ipo kwa mkuu wa chuo
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaitisha Mkutano na waandishi wa Habari leo Jumapili

    Chama cha matamko imekula kwenu yetu macho muulizeni na mbowe mbona alilirudi lile v8
Back
Top Bottom