Bashe na utapeli wa kisiasa

Bashe na utapeli wa kisiasa

Nawewe tutaamini vipi kuwa ni hao hao?
Join Date : 15th June 2014
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
kweli hili JUNGU nilikuwa sijaliona kabisa
haya mambo ya Kigwangwala na baba yake wayamalize wenyewe kwani Dr H. Kigwangwala yupo humuhumu JF
Bashe hana makosa kumtembelea Mzee wa watu.
Kama mtu humpendi Baba yako au ni wa Kambo ache wengine wakusaidie
zaidi ya hapo ni Majungu tu hasa kwa wanaNzega na siasa zao
 
Samahani niulize,we ni mlinzi wa Mzee Kigwangala? Umejuaje kwamba mwanae hajaenda kumuona toka mwaka 2010. Au na wewe ni mmoja wa vijana wa Bashe.
...Bashe anakubashia nini?
Mtu ambaye hataki hata kumwona mzee wa watu ofisini kwake, iweje amsaidie pesa shs 100,000/- kila mwezi? Je, pesa hizo anampa nani? Labda msukule. Toa ushahidi wa kimaandishi kuonesha kweli pesa zinamfikia mzee Kigwa huko Pugu, anapeleka nani kama siyo uongo. Bashe anapenda publicity, hatoi pesa ila kwa video na waandishi wa habari kama alivyo fanya kule Nzega hivi karibuni. Aligawa sh m2 kwa kila kikundi cha vijana na akagawa baiskeli 200 mbele ya bosi wake Kinana. Je, ahadi mlizo toa kwa mzee kumsaidia matibabu ziko wapi? Usanii huo. If Bashe is serious, please help this man. Mtumie sasa namba zake hizo. Fulfil your promises. Au alitaka kumchafua Dr Kigwangalla bure tu kwa sababu ya chuki za kunyimwa ubunge? Huyu mtu hafai kwa lolote..!
 
Wana Jamii,
Mwaka jana tarehe 30 mwezi Agosti, kama mtakumbuka vizuri, vijana wanne waliojiita ‘Friends of Membe’ wasomali wawili na wabantu wawili wakiongozwa na jamaa mmoja bonge hivi aliyejulikana kwajina la Allan, walitumwa na Bashe Hussein Bashe, Yule Msomali ambaye ni hasimu wake mkubwa na Dr Kigwangallah, a.k.a Saidi Bagaile mbunge mteule wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora kwenda nyumbani kwa baba mzazi Dr Kigwangallah kule Pugu baada yakupata taarifa kuwa alikuwa akiumwa.
Madhumuni makubwa ya msafara huo mzito yalikuwa ni: (1) kumjulia hali (2) kuonani namna gani wataweza kumsaidia gharama zamatibabu baada ya kuambiwa kuwamtoto wake kamtelekeza.
Naam, vijana hao walipofika walimkuta mzee kweli anaumwa. Walionesha utu kwa kumuahidi yafuatayo: kumtibia nje ya nchi hasa India mara moja, kuweka umeme nyumba yake na kuikarabati, kuchimba kisima na hatimaye kumsaidia gharama za chakula.
Walisema watamobilize funds kutoka kwa mhishimiwa Membe na wengine ili kutimiza lengo hilo.
Walichukua baadhi ya documents na kuondoka. Kesho yake yaani tarehe 31 Agosti, 2013 jamaa wawili, akiwemo msichana, walifika na kupiga picha za video.
Ili kujua hasa ni kwa kiasi gani Bashe na wenzake wametekeleza ahadi zao, juzi nilifunga safari hadi Pugu.
Nilimkuta mzee Kigwangallah akiwa amelala, yuko hoi kweli anaumwa, si mchezo. Maradhi yamemshika barabara na anahitaji msaada wa haraka ili kuokoa maisha yake.
Kumbe ahadi za Bashe na kundi lake la kitapeli ilikuwa ni fix. Hakuna chochote walichoahidi kimetekelezwa hadi sasa kimefanyika. Huu ndio utapeli wa Bashe na jamaa zake hao.
Walitaka kugain political mileage out of the suffering of Mzee wa watu! Nasikia documents walizo chukua walizitumia kuomba msaada kwa watu lakini mlengwa hakupata kitu na anaendelea kuteseka na ugonjwa wake.
Hivi sasa hata akipigiwahapokei simu na alipotembelewa ofisini kwake Sinza, yasemekana alikataa hata kumwona mzee Kigwangallah na ujumbe wake. Hii ndio tabia ya Bashe, msomali mhaini kweli.
Kwa upande wa Dr Kigwangalla, yeye kaonesha dhahiri ushenzi wake. Hamjali kabisa baba yake mzazi. Hatoi huduma yoyote toka aukwae ubunge mwaka 2010, ila kidogo sana amekuwa kama karogwa vile.Baba yake anaumwa hataki kumtibia na pesa anazo. Yuko busy na mambo yake; hana shida na baba yake wala nduguze.
Wana jamii, msaadawenu unahitajika haraka. Msaidieni mzee wetu moja kwa moja kupitia namba zake za simi zifuatazo: M-Pesa 0754 042 105 au Airtel Money 0784 630 195.
Nawasilisha

Kwanza ondoa hayo majina ya kibaguzi (Rascism) kama vile Msomali,Mbantu n.k
 
Bashe upo na wapambe wako? Msaidie mzee wa watu, mungu atakulipa. Rafiki yako Saidi hana habari na baba yake mzazi, anamwona takataka tu
 
Ni bahati mbaya sana Tanzania inakaribisha wageni hadi chumbani mtu kama Bashe hastahili hata ubalozi wa nyumba kumi huyu ni mgeni siku Somalia ikitulia atarejea nyumbani kwao yeye Rage na Kinana.

Mkuu Ngongo!

Wajua wenye ni mmojawapo ya Wanajamvi wenye kuhishimika hunu-JF...sasa jitahidi uachane na hizo siasa za kuchafuana mitandaoni!? Daah!

Sasa, ikiwa weye umeamua kufanza siasa za majitaka...je wale vilaza akina yericko nyerere na yule hate preacher nicholas watafanza shughuli ipi!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Acha kumchafua Mu-Arusha mwanzio na Mbunge wako wa zamani pale Arusha...Mzee wetu Col Abdilrahman Kinana! Daah!

Kwani Mtanzania kuwa na asili ya nchi nyangine pana ubaya amma kasoro ipi!?...mbona mnataka kuzidi kulipasua Taifa letu kwa ubaguzi wa makabila na ukanda, jamani!?

Tukianzisha mitindo na dasturi za kuchokoana kama hivi kwenye nasaba zetu, je kweli atabaki "Mtanganyika-asilia"/Native yeyote hapo!? Daah!

Mbona hata Rais wetu wa awali Bwana Julius Nyerere, nae pia alikua ana asili ya Taifa la kigeni...na mbona hakukuwa na ubaya wowote na mpaka kesho tunamuenzi kwa kumpachika jina la "Baba wa Taifa"!? Duuh! Teeeh! Teeeh! Teeh!

Ahsanta sana.
 
Ha ha ha ha! Dah ninapenda sana uandishi wako .Kudos !
 
...Bashe anakubashia nini?
Mtu ambaye hataki hata kumwona mzee wa watu ofisini kwake, iweje amsaidie pesa shs 100,000/- kila mwezi? Je, pesa hizo anampa nani? Labda msukule. Toa ushahidi wa kimaandishi kuonesha kweli pesa zinamfikia mzee Kigwa huko Pugu, anapeleka nani kama siyo uongo. Bashe anapenda publicity, hatoi pesa ila kwa video na waandishi wa habari kama alivyo fanya kule Nzega hivi karibuni. Aligawa sh m2 kwa kila kikundi cha vijana na akagawa baiskeli 200 mbele ya bosi wake Kinana. Je, ahadi mlizo toa kwa mzee kumsaidia matibabu ziko wapi? Usanii huo. If Bashe is serious, please help this man. Mtumie sasa namba zake hizo. Fulfil your promises. Au alitaka kumchafua Dr Kigwangalla bure tu kwa sababu ya chuki za kunyimwa ubunge? Huyu mtu hafai kwa lolote..!

Huyo Bashe mnamahusiano gani we na yeye mbona unamtetea sana. Kwanza hujajibu swali halafu naona unaporomosha data zisizo na ushahidi.Au kakutuma umsaidie kukusanya michango ya matibabu ya mzee Kigwangala. We utakuwa 'mbwiga' wake wa karibu bila shaka.
 
Hapa naona kama tumchulia kifo tu mzee wa watu....toka lini mgonjwa akajadili badala ya kutibiwa?

Mwanae ni Dr wa mifugo au binadamu?
 
.... Naona yeye ni Dr. wa kutibu machizi wenzake. Dr wa binadamu kamwe hawezi kumtelekeza mgonjwa, tena baba yake mzazi..! Naambiwa yeye ndiye first born kwa wazazi wake hao waliofunga ndoa halali ya kiislamu huko Nzega mwaka 1974. Dr kazaliwa mwaka 1975 katika hospitali ya Maweni, Kigoma. Leo anamnyanyasa baba yake, hiyo ni laana ya wazi kabisa. Kilicho mponza Msomali Bashe ni kiherehere chake kutuma vijana wake kwenda Pugu, kutoa ahadi za kumsaidia matibabu mzee wetu na kisha kukacha! Pesa walizo kusanya kwa Membe na wengine ziko wapi? Huo ni wizi dhahiri, utapeli na uzandiki.
 
Hata mie nimesikitika dr wa binadamu amuone binadamu mwenzake anateseka hivi hvi tena baba yake mzazi kbs? Sijawahi ona msukuma wa hivi asiye kuwa na huruma kiasi hivi

Nways since sisi sote ni binadamu kila mmoja anajua alichotendwa na mwenzake na ndiyo watu hawamlaumu diamond kwa kumtelekeza baba yake mzazi na kumtukuza mama ake mzazi kisa baba alimzingua mama enzi za penzi lao

So haya ya kingwa na baba yake tumwachie yeye sisi yetu maombi na michango tu
 
Ni bahati mbaya sana Tanzania inakaribisha wageni hadi chumbani mtu kama Bashe hastahili hata ubalozi wa nyumba kumi huyu ni mgeni siku Somalia ikitulia atarejea nyumbani kwao yeye Rage na Kinana.

Wewe ni mzembe katika wazembe. Wakati somalia ilipokuwa na serakali tulivu na yenye muelekeo, Bashe alikuwa mwanafunzi nzega, Rage alikuwa anafanya kazi mradi wa Dodoma Capita city, Kinana alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya njee na pia akawa waziri wa ulinzi. Wakati wote huo hawakurudi somalia. Hawa ni watanzania na ndugu zetu.
 
.... Naona yeye ni Dr. wa kutibu machizi wenzake. Dr wa binadamu kamwe hawezi kumtelekeza mgonjwa, tena baba yake mzazi..! Naambiwa yeye ndiye first born kwa wazazi wake hao waliofunga ndoa halali ya kiislamu huko Nzega mwaka 1974. Dr kazaliwa mwaka 1975 katika hospitali ya Maweni, Kigoma. Leo anamnyanyasa baba yake, hiyo ni laana ya wazi kabisa. Kilicho mponza Msomali Bashe ni kiherehere chake kutuma vijana wake kwenda Pugu, kutoa ahadi za kumsaidia matibabu mzee wetu na kisha kukacha! Pesa walizo kusanya kwa Membe na wengine ziko wapi? Huo ni wizi dhahiri, utapeli na uzandiki.

Bashe hajawahi kutuma vijana Pugu halafu inaonekana wewe upo mbali sana na siasa Bashe na Membe wapi na wapi mwaka 2012 ulikuwa wapi hukusikia mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Membe na Bashe wakati wa mkutano mkuu wa ccm Dodoma? Kigwangallah ndo kinyago cha membe na ndo anazunguka nchi nzima kumtafutia kura za Urais, aliyemrekodi baba yake na kigwangala ni rafiki yake anaitwa Allan baada ya kuzinguana na kigwangala
 
Mkuu Gs-300 ha ha ha ha ha ha ha ha.

Mkuu Ngongo!

Wajua wenye ni mmojawapo ya Wanajamvi wenye kuhishimika hunu-JF...sasa jitahidi uachane na hizo siasa za kuchafuana mitandaoni!? Daah!

Sasa, ikiwa weye umeamua kufanza siasa za majitaka...je wale vilaza akina yericko nyerere na yule hate preacher nicholas watafanza shughuli ipi!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Acha kumchafua Mu-Arusha mwanzio na Mbunge wako wa zamani pale Arusha...Mzee wetu Col Abdilrahman Kinana! Daah!

Kwani Mtanzania kuwa na asili ya nchi nyangine pana ubaya amma kasoro ipi!?...mbona mnataka kuzidi kulipasua Taifa letu kwa ubaguzi wa makabila na ukanda, jamani!?

Tukianzisha mitindo na dasturi za kuchokoana kama hivi kwenye nasaba zetu, je kweli atabaki "Mtanganyika-asilia"/Native yeyote hapo!? Daah!

Mbona hata Rais wetu wa awali Bwana Julius Nyerere, nae pia alikua ana asili ya Taifa la kigeni...na mbona hakukuwa na ubaya wowote na mpaka kesho tunamuenzi kwa kumpachika jina la "Baba wa Taifa"!? Duuh! Teeeh! Teeeh! Teeh!

Ahsanta sana.
 
Last edited by a moderator:
Bashe hajawahi kutuma vijana Pugu halafu inaonekana wewe upo mbali sana na siasa Bashe na Membe wapi na wapi mwaka 2012 ulikuwa wapi hukusikia mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Membe na Bashe wakati wa mkutano mkuu wa ccm Dodoma? Kigwangallah ndo kinyago cha membe na ndo anazunguka nchi nzima kumtafutia kura za Urais, aliyemrekodi baba yake na kigwangala ni rafiki yake anaitwa Allan baada ya kuzinguana na kigwangala
...WANA JAMII! Tuweni na moyo wa huruma, upendo na moyo wa kusaidiana. Nimewasiliana na Mzee Kigwangallah punde tu. Anasema hajapata msaada wa aina yoyote so far kutoka kwa mtu. Si Bashe, wala mwana jamii katoa mchango wake. Tunaishi maisha gani sasa? Mtoto wake kamtupa, nasi pia tunafuata mkondo huo huo. Ubinadamu uko wapi sasa?
 
Back
Top Bottom