Recent content by Jesusfreak08

  1. J

    Uliwezaje kuishinda nguvu ya mauti uliposalitiwa na mpenzi wako

    Nakumbuka hata mimi nilikuwaga na hali kama yako na ilinichukua muda mrefu sana kuweza kuishinda nilijaribu kila njia lakini wapi... Cha kwanza kabisa lazima ujue kwamba hiyo ni roho ya shetani inakuwinda kupoteza tumaini la watu utakao kuja kuwasaidia mimi niliishinda kwa kuomba Mungu...
  2. J

    Nilijiona ninapitia magumu kumbe kuna watu ni hustlers zaidi yangu

    Wow! Ujumbe mzuri sana. Katika kitu nilichojifunza kwenye maisha usisahau kusherehekea maisha mafanikio uliyonayo hata kama ni madogo maana hayo ndiyo ya kwako
  3. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Miaka ya ndoa 35.. Tuseme mlioana mkiwa na miaka 30 wewe na mke wako 23 Paka sasa wewe una miaka 65. Na mke wako anamiaka 58 Na mke wake kazi zake ni za mbali miaka 58 mmmmh! na huyo mtoto anakuita baba sio babu kiasi cha kugusisha mwili wake na wako Heeee!!! Hence proved hiyo ni chai...
  4. J

    Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

    Kama ni suala la Uganga kweli basi. Hapo hamna jinsi utatoka zaidi ya kuliamini Jina la Yesu tu. Kujifunza neno ,kuomba na kuhudhuria ibada
  5. J

    Sijui ni uchawi huu?

    Ushauri huu unaweza kukusaidia niliwahi pitia hiyo hali unayopitia Kuna mtu mmoja aliwahi sema ukiona umejaribu mambo yote kwa ushauri wa kisayansi lakini hali ni vile unahitaji nguvu zaidi ni hiyo ni NGUVU YA MUNGU Jambo la kwanza amua kumkabidhi Yesu maisha yako uwe kiumbe kipya kwanza...
  6. J

    Huyu aliye leta mambo ya haki sawa kwa wote ndo mchawi wa ndoa zetu

    Mpango mkubwa wa shetani ni kuhakikisha anaumaliza ubaba ndani ya nyuma na kuiharibu nafasi ya mwanamme kwenye familia kwasababu anajua mwanamme akisimama kwenye nafasi yake katika familia kuna mabadiliko chanya kwa jamii na hata dunia kiujumla. Familia nyingi ambazo baba akapewa nafasi kama...
  7. J

    Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Shetani yupo bize sana kuhakikisha ana kimaliza kitu kinaitwa familia kwa kuwa anajua nguvu iliyopo kwenye katika kuifanya dunia kuwa bora Lakini katika Jina la Yesu kamwe hata weza
  8. J

    Msaada, punyeto inanisumbua sana

    Ok ok pole sana ndugu yangu kwa yaliyokusibu Cha kwanza nikupongeze kwa ujasiri wa kukubali kuandika na kueleza yanasokusibu japo wengi wanapitia lakini ni wagumu kusema ila kwa faida ya wengi tajaribu kueleza. Kwa uelewa wangu PUNYETO haichwi kwa kuepuka mambo ya ngono au kutokaa peke yako...
  9. J

    Maisha yamekuwa magumu sana siku hizi

    Wakati wewe unasema maisha magumu Kuna watu wananunua magari mapya Wanafungua makampuni makubwa Wanaagiza magari nje Tuendelee kupiga kazi hakuna ugumu ila kuna fursa hakuna kufeli ila kuna kujifunzab Tupige kazi tu wakuuu
  10. J

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Karibu sana sabuni za maji kwa matumizi ya kuogea Sina harufu nzuri na zinauwezo wa kukuacha ukinukia baada ya kutumia zipo aina nne Strawberry, Vanilla, lemon Na Rose Kwa Tsh 5,000 Location Mbezi Mwisho Karibu sana
  11. J

    Hivi inakuwaje mifumo ya elimu za wenzetu na mwisho wa siku ndio wanakuja kutusadia kwenye mambo mengi ya kijamii

    Sio wenzetu Wenzetu ni Zimbabwe na kadhalika 😂😂😂... Ok anyway tatizo sio mfumo tatizo ni walimu wanafundisha walivyo fundishwa Maana ukisoma mtaala wa kufundisha umejikita sana kwa mwafunzi au mtoto kuelewa zaidi na sio kukariri
  12. J

    Kuna warembo hawanunuliki. Imagine huyu alikataa 100M TZS!

    Inshort !! Thamani ya mtu huwezi kuilinganisha na kiasi chochote cha pesa Alitambua uhalisia na thamani yake mapema Na Roho mtakatifu hakuwa nyuma kumsaidia
  13. J

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Nawaambia kama upo kwa Mungu unatumikia Mungu na unaongozwa na Mungu Ndoa ni mpango wa Mungu na inabaraka kubwa sana kama mwanzilishi akiwa Mungu Vijana tusioe kwasababu ya tamaa ,tako, sura , sijui rangi Tuoe kwasababu Mungu katueleza kuhusu mwenza. Ndoa ni nzuri sana sana Kama mwanzilishi...
  14. J

    Nimeletewa binti wa kazi mchawi/mshirikina, mke wangu hataki kumuondoa

    Hatua ya kwanza muamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako Muanze kideal naye kihasahasa kwa maombi yasiyo kata Nakuhakikushia ata akiondoka hakuna uchawi atakao uacha hapo
  15. J

    Nani kama mama, huu msemo upo tofauti kwangu

    Mmh mzazi tena mama anamchukia mtoto hii ni ajabu kubwa sana aiseee Kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia aiseee mama mzazi kabisa Isaya 49:15 Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe...
Back
Top Bottom