Msaada, punyeto inanisumbua sana

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.

Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.

Tuungane kuitokomeza punyeto!
 
1.ukiweza kufuta chrome.,tik too na Instagram Punyeto inakwenda na pornography pamoja

2.anza kutafuna kitunguu swaumu tangawizi na asali ku restore ulivyopoteza

3.usiwe na wasiwasi haiathiri Sana kwa miaka kumi ijayo Bado utaweza kuwalamba wasichana

4.ukianza kupiga punyeto mkumbuke Bibi yako au mama yako ulikotoka...huwafanyii haki...

5.shetani wa punyeto huyu hapa huwa anasubiria ukojoe acheke
Screenshot_20220905-132109~2.jpg
 
Ok ok pole sana ndugu yangu kwa yaliyokusibu

Cha kwanza nikupongeze kwa ujasiri wa kukubali kuandika na kueleza yanasokusibu japo wengi wanapitia lakini ni wagumu kusema ila kwa faida ya wengi tajaribu kueleza.

Kwa uelewa wangu PUNYETO haichwi kwa kuepuka mambo ya ngono au kutokaa peke yako

Ila ni ishu ya ufahamu, lazima kwenye ufahamu wako uwe tayari kuacha na kamwe usijifanye kama umeacha ila iambie akili yako kwamba mimi ni mpiga punyeto na nipo tayari kuacha na usiweke nguvu kubwa sana kwenye kujaribu kuacha kwa sababu utashindwa kama ulivyo jaribu. Lakini weka nguvu kubwa kwenye kufanya mambo mengine ya muhimu.

Ukiona bado kimya basi nakushauri muombe Mungu akusaidie kukuponya na kukuondolea hiyo hamasa na hii itakuwa rahisi sana utakapo mkabidhi Bwana Yesu maisha yako yeye ayatawale kwa kuamini kazi ya msalaba

Ni hayo tu ndugu yangu
Ni sawa kupiga punyeto lakini sio sawa kuendelea kupiga punyeto

Kila la kheri
Naomba kuwasilisha.
 
Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.

Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.

Tuungane kuitokomeza punyeto!
Wee kipi bora? Nyeto au gono na ukimwi?
 
1.ukiweza kufuta chrome.,tik too na Instagram Punyeto inakwenda na pornography pamoja

2.anza kutafuna kitunguu swaumu tangawizi na asali ku restore ulivyopoteza

3.usiwe na wasiwasi haiathiri Sana kwa miaka kumi ijayo Bado utaweza kuwalamba wasichana

4.ukianza kupiga punyeto mkumbuke Bibi yako au mama yako ulikotoka...huwafanyii haki...

5.shetani wa punyeto huyu hapa huwa anasubiria ukojoe achekeView attachment 2347516
🤣🤣🤣🤣Aisee
 
Palipo MUNGU hawezi akakaa shetani ,
Nimeteseka kwa hili tatizo toka 2011 , na kanuni niliyotumia ndo hiyo
Tumia siku nzima kusikilaza Gospel Songs na kusoma Biblia , futa kila bongofleva coz itakuvuta polepole hadi kwenye tukio

Ukweli unachokiona katika p*rn na punyeto siyo reality ya mapenzi, lile ni shetani na Baada ya tendo linakupa hofu , stress , negative thought na hamu ya kutaka kujiua

Kesha , funga , soma biblia sana, nenda youtube tafuta makanisa ya online eg: edu educhukwu - atakua role model wako wa ujana , sikiliza worship songs na praise : sanasana za Nigeria

Ukitaka ku-Fail , hili shetani la punyeto uende kupigana nalo physical . Hutoweza kushilinda eti sijui kwa kufanya mazoezi , kukakaa karibu na watu e.t.c
 
Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.

Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.

Tuungane kuitokomeza punyeto!
Mkuu njoo DM,nikushauri na nikupe tiba ambayo utapona,Mimi Dr by professional na vijana wengi hili swala linasumbua sana
 
Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na kushindwa kusimamisha uume.

Nasikitika sana! Nitumie njia zipi ili niache na nisipige kabisa ili niwe kama wanaume wengine? Please msaada, nataka niache na nisirudie tena ujinga huu na uraibu huu.

Tuungane kuitokomeza punyeto!
Kuacha ngumu
 
Palipo MUNGU hawezi akakaa shetani ,
Nimeteseka kwa hili tatizo toka 2011 , na kanuni niliyotumia ndo hiyo
Tumia siku nzima kusikilaza Gospel Songs na kusoma Biblia , futa kila bongofleva coz itakuvuta polepole hadi kwenye tukio

Ukweli unachokiona katika p*rn na punyeto siyo reality ya mapenzi, lile ni shetani na Baada ya tendo linakupa hofu , stress , negative thought na hamu ya kutaka kujiua

Kesha , funga , soma biblia sana, nenda youtube tafuta makanisa ya online eg: edu educhukwu - atakua role model wako wa ujana , sikiliza worship songs na praise : sanasana za Nigeria

Ukitaka ku-Fail , hili shetani la punyeto uende kupigana nalo physical . Hutoweza kushilinda eti sijui kwa kufanya mazoezi , kukakaa karibu na watu e.t.c
Umenena mkuu
 
Back
Top Bottom