Nimeletewa binti wa kazi mchawi/mshirikina, mke wangu hataki kumuondoa

mgungani

Member
May 13, 2022
38
60
Nimeagiza binti wa kazi kutoka mikoani ila ameletwa mchawi na mshirikina. Tumeona dalili zote za kichawi ikabidi tumbane akakubali ila anasema yeye anatumika ila si hiyari yake.

Ameanza maombi maalumu ili aache hiyo hali ila sijui itakuwaje. Huwa anakaa chumba chake na tunamwachia nyumba na mtoto tunakwenda kazini, kazi za nyumbani yuko vizuri sana, namwambia wife amtoe lakini anasita kisa wasichana wa kazi wamekuwa shida.

Naombeni ushauri kwani hiyo hali imenitisha mno.
 
Nimeagiza binti wa kazi kutoka mikoani ili ameletwa mchawi na mshirikina.tumeona dalili zote za kichawi ikabidi tumbane akikubali ila anasema yeye anatumika ila si iyari yake.ameanza maombi mwalimu ili apache hiyo hali ila sijui itakuwaje.huwa anakaa chumba chake na tunamwachia nyumba na mtoto tunakwenda kazini.kazi za nyumbani yuko vizuri sana.namwambia wife amtoe lakini anasita kisa wasiliana wa kazi wamekua shida.naombeni ushauri kwani hiyo hali imenitisha mno.

Angalien jinsi ya kumtoa uchawi
 
Hatua ya kwanza muamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako

Muanze kideal naye kihasahasa kwa maombi yasiyo kata
Nakuhakikushia ata akiondoka hakuna uchawi atakao uacha hapo
 
Huyo mtoto wenu anahitaji maombi, maana anaweza akawa kashaingizwa ktk chama cha kichawi
 
Achana na Imani za kishirikana. Pambana na maisha Kwa Hali halisi usitumie nguvu za Giza ambazo ni za kufikirika tu. Mtumishi wa kazi unamuhusisha na uchawi Kwa kipimo kipi Cha kujua huyu mchawi. Jaribu kujielimisha tabia za binadamu na jinsi maisha yalivyo kidunia
 
Nimeagiza binti wa kazi kutoka mikoani ili ameletwa mchawi na mshirikina.tumeona dalili zote za kichawi ikabidi tumbane akikubali ila anasema yeye anatumika ila si iyari yake.ameanza maombi mwalimu ili apache hiyo hali ila sijui itakuwaje.huwa anakaa chumba chake na tunamwachia nyumba na mtoto tunakwenda kazini.kazi za nyumbani yuko vizuri sana.namwambia wife amtoe lakini anasita kisa wasiliana wa kazi wamekua shida.naombeni ushauri kwani hiyo hali imenitisha mno.
Sasa ww unaishi na mchawi nyumbani kwako na unamuachia mtoto wako, kumuondoa umeshindwa eti mke sijui kasema nn, kweli ww unajielewa ww na ni mlinzi wa familia yako kweli, au ndio ninyi mmeolewa badala ya kuoa, maana unaishi na hatari ngoja yakukute ya kukuta ndio utanyooka vzr
 
Nimeagiza binti wa kazi kutoka mikoani ila ameletwa mchawi na mshirikina. Tumeona dalili zote za kichawi ikabidi tumbane akakubali ila anasema yeye anatumika ila si hiyari yake.

Ameanza maombi maalumu ili aache hiyo hali ila sijui itakuwaje. Huwa anakaa chumba chake na tunamwachia nyumba na mtoto tunakwenda kazini, kazi za nyumbani yuko vizuri sana, namwambia wife amtoe lakini anasita kisa wasichana wa kazi wamekuwa shida.

Naombeni ushauri kwani hiyo hali imenitisha mno.
Ungeshusha kwanza pumzi ndyo ungeandika
 
Aliyeanza kurogwa ni mkeo.

Subiri zamu yako.

Elewa ujumbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom