Nimepita mitandaoni leo naona kuna mjadala ambao sijauelewa. Nawaona wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanajadili na kupaza sauti zao kuhusu Wakili Peter Mdeleka kuwa ametekwa na watu wasiojulikana.
Nasikitika kuona watu ambao wananafasi ya kuwaambia wananchi ukweli, kutumia nafasi zao...
Hizi siasa za Tanzania hazina usawa[emoji847][emoji847][emoji847]tukiwi tumelala kumbe kuna Makamanda wezetu wanapata michongo kama hii;
Salaam kamanda Yerricko Nyerere,
1. Nakutaarifu kuwa wewe pamoja na makamanda wenzako wanne (4) ambao ni:-
I. Zuberi Mzava
Ii. Noel Shayo
Iii. Aminata...
Mimi ni Mtanzania ninaishi nchini Marekani katika mji wa Chicago kiitikadi ni mfuasi wa CHADEMA, nimeguswa kuandika Makala hii kueleza masikitiko niliyonayo kwa vyama vya upinzani nchini hususani chama changu.
Nianze na kusema kuwa CHADEMA kilikuwa ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania...
Uzi Maalum wa Kujuzana yaliyomo kwenye kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi. Karibuni kwa yaliyomo ili na wasiosoma vitabu wapate ujumbe.
Tanzania na Kenya zimekubaliana kushirikiana kuondoa vikwazo vya biashara na kufungua milango Zaidi ya kuwekeza na kuinua uchumi baina ya nchi zote mbili.
Makubaliano hayo yamefikiwa kufuatia Ziara ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan nchini Kenya ikiwa...
Kwanza ninaanza kwa kuwasalimia kwa salamu ya jina la Jumuiya ya Afrika Mashariki, poleni na hongereni kwa utekelezaji wa Majukumu yenu ya kila siku.
Nimeguswa kuwatumia ujumbe wa wazi kufuatia ujumbe wenu mlioutoa kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu wa kumtaka...
MRADI MKUBWA WA KUJENGA TAIFA 2021
Mwaka 2020 umemalizika. Tunaanza mwaka mpya wa 2021.
Ipo miradi mingi mikubwa ya kitaifa inaendelea. Tunamshukuru Mungu miradi mikubwa ya madaraja, reli, barabara, viwanja vya ndege, ndege, vyuo vikuu na kufua umeme inaendelea vizuri na kukamilika kwake...
Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mousa Farhang, kwa vyombo vya habari nchini amevitaka kuacha kutegemea habari za vyombo vya magharibi kwa kuwa havina maslahi kwa nchi za Afrika na zile zinazoendelea, vimekuwa vikiandika mambo mabaya kwa nchi hizo kwa maslahi yao binafsi. "Kwa mfano unaweza kuwa...
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, amebainisha kuwa kwa sasa, Tanzania inashika nafasi ya kwanza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini ikiwa imefikia asilimia 74 ya vijiji vyote. Awali, Nigeria ndiyo ilikuwa ikiongoza ikiwa na asilimia 72 lakini tumeipita.
Ameyasema hayo jana Februari...
Serikali kupitia wizara ya Nishati itaanza rasmi utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa njia kuu ya kusafiriaha umeme wa Grid ya Taifa kutoka Tabora hadi Mpanda. Kwa taarifa zaidi soma hiii[emoji116]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.