Balozi wa Iran nchini Tanzania amevitaka vyombo ya habari kuacha kutegemea habari za vyombo vya Magharibi

Jesca hon

Member
Jan 9, 2019
8
59
Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mousa Farhang, kwa vyombo vya habari nchini amevitaka kuacha kutegemea habari za vyombo vya magharibi kwa kuwa havina maslahi kwa nchi za Afrika na zile zinazoendelea, vimekuwa vikiandika mambo mabaya kwa nchi hizo kwa maslahi yao binafsi. "Kwa mfano unaweza kuwa humpendi Rais

Magufuli na si nchi kwa ujumla lakini inakuwaje uadui wako na Magufuli ukawa ni uadui wako na Tanzania nzima? Hili si sahihi na vyombo vya habari vinapaswa kuwa makini”.
IMG_2647.JPG
 
TBC na uhuru na mzalendo vipo
Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mousa Farhang, kwa vyombo vya habari nchini amevitaka kuacha kutegemea habari za vyombo vya magharibi kwa kuwa havina maslahi kwa nchi za Afrika na zile zinazoendelea, vimekuwa vikiandika mambo mabaya kwa nchi hizo kwa maslahi yao binafsi. "Kwa mfano unaweza kuwa humpendi Rais
Magufuli na si nchi kwa ujumla lakini inakuwaje uadui wako na Magufuli ukawa ni uadui wako na Tanzania nzima? Hili si sahihi na vyombo vya habari vinapaswa kuwa makini”.View attachment 1360807

In God we Trust
 
Back
Top Bottom