Recent content by jerryempire

  1. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kutinga mchana huu Stand ya Magufuli. Kutatua mgomo wa madereva

    Kwani mgomo upo mpaka leo
  2. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Punguza punyeto
  3. jerryempire

    JamiiForums Tanzania MEGA THREADS: OKOA MUDA NA PESA YAKO: Acha Mimi Nikufanyie Maombi Yote ya Serikali

    Mimi mfanya biashara nlikuwa nataka bima kwa ajili ya mtoto mchanga umri miezi 5 nipe details tufanye kazi
  4. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Mimba imenifanya nichukie kuoga

    Ni kawaida my dear mie mke wngu alikuwa hataki kabisa kuoga hadi nkawa na kazi ya kumuogesha asubuhi na usiki
  5. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Walichokifanya Madee na Babu Tale ni chukizo mbele ya Allah. Sijapendezwa nalo

    Wangese sana hao watu,asipokuwa makini hapo wanataka wamtumie tu kama headline
  6. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza magari used hapa TZ inahitaji mabadiliko makubwa sana

    Asante boss tunafanyia kazi maoni yenu
  7. jerryempire

    JamiiForums Tanzania KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

    Basi ndo kishamlamba tena kwa ushamba wake anaweka vyeti tin mpaka na picha kabisa kama anamtumia babaake kudadadeki kumbe analichonga kaburi lake mwenyewe ngoja wanayanga waamke walivalie njuga ataelewa athari zake soon, maana sababu inaonekana alitaka amfanye mwenzie kitega uchumi mwenzake...
  8. jerryempire

    JamiiForums Tanzania KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

    Mwanangu nakuomba futa hii post haraka sana kabla washkaji hawajaamka maana wakiamka na kusave na kuanza kufatilia ote wawili mnapoteza na mnaweza kuchezea fine ana mvua ya kutosha tu toa haraka hii post la sivyo huo wivu wako wa kitoto unaenda kukugharimu pakubwa
  9. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Bi Ayi Dham'bin' Kut'lat kwa kosa gani umeuwawa

    Hyo ni ajali kazini tu wangapi humu tumepitia masoto ya wanajeshi na hakuna walikosema kama wengekuwa wanania ya kuwauwa wangewaulia pale pale getini wasingeambiwa waondoke. Back 2010 nishapitaga eneo la jeshi banana ambko hawaruhusu kutembea raia nikala budy kuanzia saa 1 mpka saa 5 usku...
  10. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Naomba Mkopo wa kukopeshwa

    Ukizidsha mara 10 utapata jibu kamili
  11. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

    Hii ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kupanda boti na kwenda zanzbar miaka ya 2008s huko. Sababu ya kwenda ilikuwa nataka nianze biashara ya simu used baada ya biashara ya simu ya mwisho kuuza kunipeleka police (simu ya wizi). Kwenye kupambsns kwangu kuuza na kununua simu nikawa...
  12. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    TOyota passo new model engine 1000cc mwaka 2012 50000k km full documents naiuza kwa 12.5m je unatafuta gari ya kununua au unataka kuuza gari yako basi jibu lako ni mimi nitafute kwa no hizo kwa ajili ya kununua gari bora na hata kuuza gari yako 0795967364
Back
Top Bottom