Recent content by Jerry Mallya

  1. Jerry Mallya

    Ni mwelekeo upi wa Dunia endapo Russia ikijiunga na NATO?

    Jaribu kuwaza dunia bila shetani itakuwaje
  2. Jerry Mallya

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Ukweli nimemuona Lisu anashuka moyo umeniuma sana hakika MUNGU hachezewi sharubu
  3. Jerry Mallya

    Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

    Huyo naibu spika kachukua kadi ccm lini mbona mnaona ya cdm tu
  4. Jerry Mallya

    Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

    Hapo ndio unafiki mkubwa wetu sisi weusi kulia inapolipuliwa Paris na kuona kawaida kwa waliokufa garisa nimeeleweka over
  5. Jerry Mallya

    Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

    Mtoa mada umenigusa hawa wafaransa kama walivyo wazungu wengine nimakatili sana mi sioni uchungu kulipuliwa nikikumbuka kifo cha gadafi
  6. Jerry Mallya

    Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

    Munkari unapungua kwenye majimbo nane isipokua arusha wao ndio wana Munkari sio mtoa uzi ni mshamba wa enzi
  7. Jerry Mallya

    CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa

    Upuuzi ni kuhubiri ukabila tena mbaya kwa chuki za kimaendeleo
  8. Jerry Mallya

    Wawakilishi wateule 27 wa CUF wamepinga uamuzi wa ZEC baada ya kufuta ushindi wao

    Kiukweli nimeamini kuwa bongo hakuna siasa bali uhuni
  9. Jerry Mallya

    Viongozi wa juu wa UKAWA wasimamie uchaguzi wa Meya DAR

    Madiwani 50+wabunge wa tano meya akitoka ccm nahama ukawa
  10. Jerry Mallya

    CCM kukosa dira ya maendeleo Tanzania

    Nampenda magufuli sema hii ya laptop kama kakurupuka hivi kazi anayo
  11. Jerry Mallya

    Makamu wa Rais Gharib Bilal kutangaza kukihama chama cha Mapinduzi

    Haha nasikia pia pinda akizinduka anahamia ukawa
  12. Jerry Mallya

    Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Ukweli ni kwamba mtu pekee aliyekua na uwezo wa kuitoa chadema moshi ni mama minde kwa nguvu aliyokua nayo na sapot ya serikali davis mosha hawezi hakubaliki pia kapata ushindi kwa kuhonga wapiga kura
  13. Jerry Mallya

    Lowassa vita ni vita mura jipange

    Naona umetumwa ila hujitambui subiri october
  14. Jerry Mallya

    Nashindwa kuwaamini wanaume

    Sisi wanaume wengi ni waongo na ukijumlisha na ukicheche wa baadhi yenu ndio kabisa ushauri wangu baki single 4rever
Back
Top Bottom