Recent content by Jerick06

  1. Jerick06

    Wizi wa Fastjet, TCAA mpo kweli?

    boyaaaa mtoa mada.
  2. Jerick06

    Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    rekebisha post yako, Sio TWITTER ni fb , insta na whatsapp tu.
  3. Jerick06

    Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    Ku-Unfriend tu, mimi nimeanza kuunfollow, ku-unfriend au kublock . na zile page nilizokuwa nimelike na kuonyesha interest ya ushoga kama ya obama, alicia keys, leonald di caprio zooote tupa kule.. unlike. Inabidi kila mtu afanye hivi kwa kuchukua ushoga. kwani ndivyo uanza taratibu. Just...
  4. Jerick06

    Ushoga hapana Tanzania: Let's say #NoToLoveWins

    GADEMU For this. HAPANA. nitafunga na kusali niwe zinjathropus. Wanyama pekee ndo awana tabia za kifuska.
  5. Jerick06

    Ushoga hapana Tanzania: Let's say #NoToLoveWins

    Unajua Sometimes Kumwelewesha mtu mwenye itikadi za kishoga atasababisha unukie harufu ya ushoga mwisho wa siku na wewe jamii ikuone kama shoga. Hivi ni kweli unaona sahihi kukaa katika jamii inayokuzunguka na mashoga au wasagaji. Haiingii Akilini. Gademu.
  6. Jerick06

    Ni halali Kinana wa CCM kuongozwa kwa king'ora na Polisi?

    Ilo sio la kujadili , hata wewe unaweza kuomba polisi wakupe escort kwa vigezo
  7. Jerick06

    Ushoga hapana Tanzania: Let's say #NoToLoveWins

    wewe ndo ufwatilie mambo Read Obama’s Speech About Same-Sex Marriage Ruling 12:40 PM ET SHARE Obama gave this speech after the historic Supreme Court ruling on Friday Our nation was founded on a bedrock principle that we are all created equal. The project of each generation is to...
  8. Jerick06

    Ushoga hapana Tanzania: Let's say #NoToLoveWins

    Nimesikitishwa sana sana na sheria za Marekani pamoja na viongozi wake, akiwamo Potus Barack Obama, John Kerry pamoja na vioo vya jamii, kama Leonardo DiCaprio. Jamani, mimi si-support hata kidogo USHOGA pamoja na ITIKADI ZAKE. Pengine Kwangu ndo Ikawa ndio sababu ya kutokutembelea au kuingia...
  9. Jerick06

    Lowassa kusababisha ukosefu mkubwa wa ajira kuanzia Julai 2015

    Weweee... pamoja na ayo maneno mengi... Hata paka aibe nyama zote jikon lakin mchuzi utanyweka tu.. Kubali kataa...💃💃💃
  10. Jerick06

    Mshahara anaolipwa Mkwasa unaleta picha gani kwa Watanzania?

    acha ufala wewe... unaleta picha gani.. mbona unajishusha sana saman.. kwani ulikuwa ujui wanazolipwa wazungu wakija kufundi.. samahanini moderators lakin kuna wengine wanaudhi umu ndan.. uwa sichangii lakin kwa hili hapana.. kwanza kabla ya kuandika topic fwatilia jambo.. au unataka alipwe pesa...
  11. Jerick06

    Kuna application ya kuroot simu kweye playstore?

    100% hakuna naikitokea kuwepo inaondolewa mara moja. Kwasababu inakuwa kinyume na masharti ya Android.
  12. Jerick06

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Nawanaokufaga wanelala ni hivihivi. Hata kama marehemu alikuwa anaumwa analose hope na kujikuta akilala huku akiwakatika taratibu hizi na kujikuta anashindwa kurudi katika mwili wake.
  13. Jerick06

    CCM isipomweka LOWASSA imeangukia pua, na CHADEMA (UKAWA) awatofanya makosa miaka 100

    Kwa watangaza nia wote wa CCM na harakati za kutafuta wadhamini ni dhairi CCCM inanafasi nzuri sana ya kubeba kombe mwaka huu Oktoba. Lakini sigarantee hii kitu, kwan Lowassa amekuwa na ushawishi mkubwa sana kwa watu wote. Watu wanasema tu mara lowassa anatoa pesa kwa watu Hata kama...
  14. Jerick06

    Mgomo wa amani DIT- Dar es Salaam Institute of Technology. june 2 2014

    Mpaka sasa, Mitihani imeamliwa kuendelea kwa mujibu wa kikao cha bodi ya chuo lakini bhado awajaelewana na serikali ya wanafunzi DITSO. mitihani itafanywa chini ya ulinzi mkali kuanzia saa nane hapohapo wanafunzi bado wanagoma kutokufanyika mitihan iyo mpaka wale wasiolipa waruhusiwe kufanya...
  15. Jerick06

    Mgomo wa amani DIT- Dar es Salaam Institute of Technology. june 2 2014

    hali bado ni ya kinagaubaga, Wakubwa wa chuo bado wapo katika kikao ili kutoa muafaka. ntawajulisha katika maamuzi yao
Back
Top Bottom