Mkuu kwa hiyo bei utapata meneo ya Tandale kwa Mtogole, Kwa Tumbo, Uzuri, Tandale Tanesco au kwa Alimaua, Kiwalani Bom Bom, Kwa Ali Mboa na Jet Lumo tena utapata chumba kimoja halafu banda la uani lisilo na umeme wala maji wala choo. Choo unajisaidia kwa majirani.