Recent content by jenga hoja

  1. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Kunyimwa tendo la ndoa

    Vipi kwa legal system ya bongo mke anabakwa????. Na Kama unaweza kumbaka Ni kifungu Cha Sheria gani kime establish ilo??? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Makonda kukosa nafasi kikatiba

    Mtoa uzi ulishauriana na mwanasheria ata wa first year kabla ujaachia hizi pumba humu ndani. Legislative power anayo yote makonda hata wewe ukitaka unaweza fanya ivyo.
  3. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa Polisi na huyu wa PCCB Bukoba wafukuzwe kazi kwa kumtorosha mtuhumiwa wa mauaji kituo cha Polisi

    Malalamiko yako nimeyapokea nitayafanyia kazi. Alisikika Diwani Athumani baada ya kuapishwa magogoni
  4. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na Afisa Usalama wa Taifa

    Mletee zari ngosha au Paul Christian utawajua wengi sana.
  5. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Tumefika Hapa? Hakika Tumepoteza Mwelekeo kama Taifa

    Dotto Bulendu namfahamu vizur Sana na Ni ndugu yangu wa karibu Sana. lkn lazima nikili kwamba.... Tangu kusitishwa kakipindi kake Flani pale star TV na kauwezo kake ka kufikiri kameshuka Kama 37% ivi,yaani anacopy tu matukio pumba tupu ataki kuumizwa kichwa
  6. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Vikao vya Bunge vyaanza leo. Miraj Mtaturu aapishwa rasmi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki

    No problem...... sisi tunachotaka Ni maji kwa haraka, yaletwe na mtaturu ama na lisu Cha msingi yaletwe maji tupige mbizi
  7. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Miraji Mtaturu anaweza kuweka record ya kuwa mbunge aliedumu kuwa mbunge kwa muda mfupi kuliko wabunge wote katika nchi hii

    Tatizo kichwani mwako tayali Kuna hukumu uliyotayali kukubaliana nayo na usiyo tayali kukubaliana nayo. --Uliyotayali kukubaliana nayo utaamini jaji ametenda haki --Na usiyotayali kukubaliana nayo utaamini jaji hajatenda haki
  8. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Wakamatwe hawa na kushitakiwa kwa kuihujumu ndege yetu ya TCL (SA) part 2

    Tunamshitaki Wakili kwa Mambo yafuatayo --kumsaliti mteja wake na kumtafuta mdai feki na kumuapisha kinyume na taratibu --kukiuka malipo ya awali ya mteja na kujifanya yeye Ni miongoni mwa wadai. Malipo yake yalikua milion 200 lkn akajivika udai ili avune billion 10
  9. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Wakamatwe hawa na kushitakiwa kwa kuihujumu ndege yetu ya TCL (SA) part 2

    1.Waziri mstaafu Razaro Nyalandu 2.Dkt.kibuta ONGWAMUHANA 3.Wakili Erick Ng'amariyo (Patriotic quotation) Tukisema ukweli mnasema tumetumwa,lkn tutasema ukweli daima na ukweli utatuweka huru. Ukweli Ni kwamba Hermanus styne aliyekua anaida serikali miaka ya 1980 alimkataza Wakili wa...
  10. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Kibatala amkimbia shahidi ambaye ni mwanasheria

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani. Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti...
  11. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Kwanini Prof.Kabudi na AG wasishtakiwe kwa kuingiza taifa letu hasara?.

    Nina wasiwasi na vyeti vyako. Kwasababu dg unapenda Sana kuongea unachoambiwa kuliko unachokijua.
  12. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kukamatwa kwa ndege South Africa tusidanyanywe na kutupiana lawama, Serikali inatakiwa kulipa madeni

    Na badae kuuwa mamilion ya watu baharini
  13. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kukamatwa kwa ndege South Africa tusidanyanywe na kutupiana lawama, Serikali inatakiwa kulipa madeni

    Error posting inaweza tokea sio kila Jambo Ni nidhamu
  14. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kukamatwa kwa ndege South Africa tusidanyanywe na kutupiana lawama, Serikali inatakiwa kulipa madeni

    Kama Tanzania na watanzania wataendelea kukubali kutumika na kutumiwa kufikia kiwango hiki,Basi nchi hii inaenda pabaya Sana na Kila mtu anatakiwa kukemea kwa nguvu zote ukoloni maomboleo huu na upapeti wa namna hii. Kwa taarifa zilizotufikia kutoka Afrika kusini na zilizopo kwa sasa...
  15. jenga hoja

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu: Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya Serikali dhidi ya Lissu, Shauri la msingi kuendelea kusikilizwa...

    Iyo issue ni suala la kitaaluma, kwahiyo Ni taaluma za watu pia,kwa ufupi mwanasheria mkuu wa serikali anahusika katika masuala yote yenye public interest........kojoa ukalale
Back
Top Bottom