Wakamatwe hawa na kushitakiwa kwa kuihujumu ndege yetu ya TCL (SA) part 2

jenga hoja

Member
Sep 26, 2018
30
131
1.Waziri mstaafu Razaro Nyalandu
2.Dkt.kibuta ONGWAMUHANA
3.Wakili Erick Ng'amariyo

(Patriotic quotation)

Tukisema ukweli mnasema tumetumwa,lkn tutasema ukweli daima na ukweli utatuweka huru.

Ukweli Ni kwamba Hermanus styne aliyekua anaida serikali miaka ya 1980 alimkataza Wakili wa kitanzania Erick Ng'amariyo kuendelea na madai au kesi dhidi ya serikali akitsema "sitaki kugombana na serikali".kwa kusisitiza kutoendelea na madai ayo mzungu steyn akamlipa Erick Ng'amariyo milioni 200 Kama malipo ya kumsimamia mahakamani.

Baada ya hapo Erick Ng'amariyo akawasiliana na mtu mmoja aitwae dkt.kibuta ongwamuhana ambaye Ni mkurugenzi mmiliki wa kampuni ya mawakili iitwayo B&E AKO LAW AND ADVOCATES, Pia dkt.kibuta kwa wasio mfahamu amewai kushutumiwa kwa kashfa kubwa katka Chuo kikuu cha Daresalaam.

KWANINI WAKAMATWE NA WAHOJIWE?

Dkt.kibuta baada ya kushauriana na Erick Ng'amariyo wakamtafuta mtu mmoja anayeitwa Martin Richard steyn na kumwambia ajifanye mtoto wa Hermanus styne ili waendeleze ile kesi wakati ukweli Ni kwamba mzee Hermanus styne hakuwai na hajawai kuwa na mtoto.

Tarehe 30-7-2019 dkt.kibuta, Wakili Erick Ng'amariyo na mtoto feki wa Hermanus styne aitwaye Martin Richard steyn waliandaa kiapo feki (Affidavit) na kumuapisha mtoto feki wa Hermanus styne ili wakafungue iyo kesi na wapige iyo hela shilingi bilion 10 ambazo mzungu Hermanus styne ailachana na madai yake wao wakafoji kufungua kesi kinyume Cha sheria.

Baada ya hapo kesi ikasajiliwa na kupewa kesi namba 28/991/04 ya mwaka 2019 iliyofunguliwa na mtoto feki wa Hermanus styne aitwaye Martin Richard steyn aliyetengenezwa na Wakili Erick Ng'amariyo na dkt.Kibuta ongwamuhana kwa kushirikiana na waziri mstaafu Lazaro nyalandu na baadhi ya wamiliki wa ndege binafsi ambao ndege zao zimezolota baada ya Rais magufuli kununua ndege za serikali.

WATANZANIA UKWELI UKO HAPA?

ii.Ni kwamba Mzungu Hermanus styne alishaachana na hii kesi mda mrefu Sana na hajui Nini kinaendelea na wahuni wameifufua kesi iyo kwa maslahi yao binafsi.

ii.Ni kwamba watanzania tambueni kuwa Ndege yetu haijashikiliwa na mtu halisi aliyekua anaidai serikali,Bali Ni watanzania wenzetu wanaoshirikiana na huyo mtoto feki wa Hermanus styne.

iii. Mwisho Ni kwamba Mimi Kama mtanzania mzalendo naomba nitumie haki yangu ya kikatiba kwa kuishauri serikali kuwakamata na kuwahoji ipasavyo watu wafuatao.

1.Wakili Erick Ng'amariyo
2.Dkt.kibuta ongwamuhana
3. Waziri mstaafu Lazaro Nyalandu

(Patriotic quotation)
 
Huwezi kumshitaki wakili kwa kesi ya jinai akiwa anatekeleza wajibu wake unaweza mshitaki kama alifanya professional misconduct, professional negligence etc yani Tanzania kuna wapumbavu wengi sana wanaoshindwa kuelewa taaluma ya uwakili ina kinga zake ndo maana ndege inakamatwa huko lipeni madeni ya watu
 
1.Waziri mstaafu Razaro nyalandu
2.Dkt.kibuta ONGWAMUHANA
3.Wakili Erick Ng'amariyo

(Patriotic quotation)

Tukisema ukweli mnasema tumetumwa,lkn tutasema ukweli daima na ukweli utatuweka huru.

Ukweli Ni kwamba Hermanus styne aliyekua anaida serikali miaka ya 1980 alimkataza Wakili wa kitanzania Erick Ng'amariyo kuendelea na madai au kesi dhidi ya serikali akitsema "sitaki kugombana na serikali".kwa kusisitiza kutoendelea na madai ayo mzungu steyn akamlipa Erick Ng'amariyo milioni 200 Kama malipo ya kumsimamia mahakamani.

Baada ya hapo Erick Ng'amariyo akawasiliana na mtu mmoja aitwae dkt.kibuta ongwamuhana ambaye Ni mkurugenzi mmiliki wa kampuni ya mawakili iitwayo B&E AKO LAW AND ADVOCATES, Pia dkt.kibuta kwa wasio mfahamu amewai kushutumiwa kwa kashfa kubwa katka Chuo kikuu cha Daresalaam.

KWANINI WAKAMATWE NA WAHOJIWE?

Dkt.kibuta baada ya kushauriana na Erick Ng'amariyo wakamtafuta mtu mmoja anayeitwa Martin Richard steyn na kumwambia ajifanye mtoto wa Hermanus styne ili waendeleze ile kesi wakati ukweli Ni kwamba mzee Hermanus styne hakuwai na hajawai kuwa na mtoto.

Tarehe 30-7-2019 dkt.kibuta, Wakili Erick Ng'amariyo na mtoto feki wa Hermanus styne aitwaye Martin Richard steyn waliandaa kiapo feki (Affidavit) na kumuapisha mtoto feki wa Hermanus styne ili wakafungue iyo kesi na wapige iyo hela shilingi bilion 10 ambazo mzungu Hermanus styne ailachana na madai yake wao wakafoji kufungua kesi kinyume Cha sheria.

Baada ya hapo kesi ikasajiliwa na kupewa kesi namba 28/991/04 ya mwaka 2019 iliyofunguliwa na mtoto feki wa Hermanus styne aitwaye Martin Richard steyn aliyetengenezwa na Wakili Erick Ng'amariyo na dkt.Kibuta ongwamuhana kwa kushirikiana na waziri mstaafu Lazaro nyalandu na baadhi ya wamiliki wa ndege binafsi ambao ndege zao zimezolota baada ya Rais magufuli kununua ndege za serikali.

WATANZANIA UKWELI UKO HAPA?

ii.Ni kwamba Mzungu Hermanus styne alishaachana na hii kesi mda mrefu Sana na hajui Nini kinaendelea na wahuni wameifufua kesi iyo kwa maslahi yao binafsi.

ii.Ni kwamba watanzania tambueni kuwa Ndege yetu haijashikiliwa na mtu halisi aliyekua anaidai serikali,Bali Ni watanzania wenzetu wanaoshirikiana na huyo mtoto feki wa Hermanus styne.

iii. Mwisho Ni kwamba Mimi Kama mtanzania mzalendo naomba nitumie haki yangu ya kikatiba kwa kuishauri serikali kuwakamata na kuwahoji ipasavyo watu wafuatao.

1.Wakili Erick Ng'amariyo
2.Dkt.kibuta ongwamuhana
3. Waziri mstaafu Lazaro Nyalandu

(Patriotic quotation)
Senseless song from Lumumba.
 
We ni Lofa, Deni La Steyn limeanza kulipwa tangu awamu ya Kikwete kabla ya Huyo Jiwe wenu, leo Iweje Ndege ikamatwe mwanze kujifariji na uongo eti Martin Steyn sio mwnawe.

Wapuuzi mnadanganya wapuuzi wenzenu.
 
Mmhhh .hii nitajipa muda kidogo kiongozi. Nashukuru kwa kujua vipya kuhusu hii kitu inaendelea nchini juu ya ndege ya Shirika LA Tanzania
 
Kumbe Musiba kuna watu wanamuamini?
Hivi katika upuuzi wako ulioandika hapa kwa nini hakuna connection ya Lazaro Nyarandu? Au mhemuko?
 
1.Waziri mstaafu Razaro nyalandu
2.Dkt.kibuta ONGWAMUHANA
3.Wakili Erick Ng'amariyo

(Patriotic quotation)

Tukisema ukweli mnasema tumetumwa,lkn tutasema ukweli daima na ukweli utatuweka huru.

Ukweli Ni kwamba Hermanus styne aliyekua anaida serikali miaka ya 1980 alimkataza Wakili wa kitanzania Erick Ng'amariyo kuendelea na madai au kesi dhidi ya serikali akitsema "sitaki kugombana na serikali".kwa kusisitiza kutoendelea na madai ayo mzungu steyn akamlipa Erick Ng'amariyo milioni 200 Kama malipo ya kumsimamia mahakamani.

Baada ya hapo Erick Ng'amariyo akawasiliana na mtu mmoja aitwae dkt.kibuta ongwamuhana ambaye Ni mkurugenzi mmiliki wa kampuni ya mawakili iitwayo B&E AKO LAW AND ADVOCATES, Pia dkt.kibuta kwa wasio mfahamu amewai kushutumiwa kwa kashfa kubwa katka Chuo kikuu cha Daresalaam.

KWANINI WAKAMATWE NA WAHOJIWE?

Dkt.kibuta baada ya kushauriana na Erick Ng'amariyo wakamtafuta mtu mmoja anayeitwa Martin Richard steyn na kumwambia ajifanye mtoto wa Hermanus styne ili waendeleze ile kesi wakati ukweli Ni kwamba mzee Hermanus styne hakuwai na hajawai kuwa na mtoto.

Tarehe 30-7-2019 dkt.kibuta, Wakili Erick Ng'amariyo na mtoto feki wa Hermanus styne aitwaye Martin Richard steyn waliandaa kiapo feki (Affidavit) na kumuapisha mtoto feki wa Hermanus styne ili wakafungue iyo kesi na wapige iyo hela shilingi bilion 10 ambazo mzungu Hermanus styne ailachana na madai yake wao wakafoji kufungua kesi kinyume Cha sheria.

Baada ya hapo kesi ikasajiliwa na kupewa kesi namba 28/991/04 ya mwaka 2019 iliyofunguliwa na mtoto feki wa Hermanus styne aitwaye Martin Richard steyn aliyetengenezwa na Wakili Erick Ng'amariyo na dkt.Kibuta ongwamuhana kwa kushirikiana na waziri mstaafu Lazaro nyalandu na baadhi ya wamiliki wa ndege binafsi ambao ndege zao zimezolota baada ya Rais magufuli kununua ndege za serikali.

WATANZANIA UKWELI UKO HAPA?

ii.Ni kwamba Mzungu Hermanus styne alishaachana na hii kesi mda mrefu Sana na hajui Nini kinaendelea na wahuni wameifufua kesi iyo kwa maslahi yao binafsi.

ii.Ni kwamba watanzania tambueni kuwa Ndege yetu haijashikiliwa na mtu halisi aliyekua anaidai serikali,Bali Ni watanzania wenzetu wanaoshirikiana na huyo mtoto feki wa Hermanus styne.

iii. Mwisho Ni kwamba Mimi Kama mtanzania mzalendo naomba nitumie haki yangu ya kikatiba kwa kuishauri serikali kuwakamata na kuwahoji ipasavyo watu wafuatao.

1.Wakili Erick Ng'amariyo
2.Dkt.kibuta ongwamuhana
3. Waziri mstaafu Lazaro Nyalandu

(Patriotic quotation)
Mkuu unaweza kuwa na point lakini eleza vile vile kama Steyn alifuta madai yake nahakamani kisheria.

Kama hakufuta basi ulichoeleza ni ngano tu.
 
Kesi humalizwa kwa kufutwa. Kama huyu mzungu hakufuta hii kesi baada ya kutusamehe, basi hakuwa na nia ya kutusamehe. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki rais wetu na mawakili wote wanaolishughulikia hili swala ili liishe tuendelee kutumia dege letu.
Kama hakuwa na nia nayo kwanini wakili mzalendo awe kimbelembele kwa jambo lisilo la kwake??..

Mangi katanguliza tamaa na itamtokea puani.
 
Back
Top Bottom