Recent content by JEMELA

  1. J

    JamiiForums Tanzania Meya CHADEMA azikataa milioni 200 za CCM

    Yana mwisho haya
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema aliniponza kukaribia kufukuzwa chuo Kikuu mwaka 2011

    Your English is so pathetic...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha siasa nadharia. Lema ni shujaa, ni kama Mandela

    B
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkubali mkatae Lema 'jembe' sana. Mbowe huaminiki vya kutosha basi tu

    Ebwanae, si ushabiki usio na tija wala nini ila ni ukweli usiopingika kwamba siasa za kiuanaharakati ndizo zilizosababisha hata ambao hatukuijua CHADEMA tukapenda siasa. Zama hizo Zitto Kabwe, Dr SLaa n.k. wapo CHADEMA. Kuondoka kwa hao watu lilikua pengo kubwa sana kwa upinzani hasa CHADEMA...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Walimu Kondoa Girls waamriwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa kuanza kulipa kodi ya nyumba

    Mkuu una maana gani unavyosema hamna mnachoongea..
  6. J

    JamiiForums Tanzania Walimu Kondoa Girls waamriwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa kuanza kulipa kodi ya nyumba

    Huwa zinafanyiwa ukarabati na serikali kuu.Halmashauri haikuwahi kufanya ukarabati hata mara moja.Hoja inayotumiwa ni kuwa kila halmashauri inautaratibu wake wa kutafuta vyanzo vya mapato hivyo Kondoa girls haina haki ya kujilinganisha na shule za halmashauri nyingine kama msalato ..weruweru...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Walimu Kondoa Girls waamriwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa kuanza kulipa kodi ya nyumba

    Katika hali ya vitisho na lugha ya udhalilishaji kupitia D.O na SLO wa Kondoa mji,waalimu wa Shule ya Sekondari ya wasichana kondoa wameamriwa kuanzia mwezi huu walimu wanaoishi kwenye nyumba za shule hiyo watalipa kodi shilingi elf 50 kama hawataki wakapange mtaani wapange foleni kwenda chooni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Kulia. .Lowasaaaaaa..kushoto..Lowasaa..Kusini..Lowasaaa..kaskazini Lowasaaa..hatutaambiwa chochote tubadili muelekeo...msitusihi tuacheni tutampigia kura LOWASA kama ni kujuta au kufurahia tuko tayari kwa yote sharti tu Lowassa ndiye chaguo letu.LONG LIVE LOWASA.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Chopa 12 Lowassa kampeni ya toroka uje?

    Kukalia kisu chenye ncha kinachoelekea juu kupo palepale october 25.Mnara wa Babeli lazima uanguke.Hakuna falme itakayodumu milele.Hata ubabe wa marekani unakikomo.Ugiriki inayokopeshwa kila siku iliwah kuwa dola yenye yenye nguvu na iliyotawala dunia sembuce chichem?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    We acha uongo..nimepita na Machame inayoelekea Kondoa asubuhi wakati askari wanapima hata kabla mwili haujaondolewa.majeraha anayo kichwani na gari kwa mbele hasa upande wa kulia iko nyan'ga so tumia akili kujiuliza hayo maswali na si kutumia unazi wa chama unachoshabikia. Acha uchapati...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mrema kutoka mheshimiwa kuelekea kuwa mdharaulika

    ‘‘nani kama mimi inji hii''
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mrema kutoka mheshimiwa kuelekea kuwa mdharaulika

    Mrema ni kisiki gani wewe?Nenda vunjo ukapeleleze ndio ujue kama Mrema wa sasa ni kisiki au mgomba.
  13. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilimaliza 2014 sasa ni zamu ya CCM

    ......ccm ni chama dhalimu ambacho kinaelekea ukingoni.Iko wapi KANU na mabavu same?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mrema kutoka mheshimiwa kuelekea kuwa mdharaulika

    Mzee sijajua kwanini anashindwa kusoma alama za nyakati.Angekuwa anakubalika pamoja na uzee wake sawa lakini si kama ilivyo kwa Mugabe.Simchukii mzee Lyatonga lakini namsikitia atakavyoreact baada ya kushindwa ubunge huususan maradhi yanayomkabili sijui atakuwa imara kiasi gani kukubali kuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mrema kutoka mheshimiwa kuelekea kuwa mdharaulika

    Bwana Agustino Lyatonga Mrema ulifanya mengi makubwa yenye manufaa katika taifa hili na watanzania wote wanafahamu.Lakini ni vyema ungetambua hayo uliyafanya kwa wakati uliopasa uyafanye. Mimi ni mwanavunjo.Tulikuchagua kipindi kilichopita kuwa mbunge wa Vunjo ili umalize kwa hadhi harakati...
Back
Top Bottom