Recent content by Jembejipya

  1. J

    Ridhiwani Kikwete atawazwa kuwa chifu wa wanyakyusa!

    wewe hii pic sasa ndo nana unasemaje???hujaelewa habari hapo juu au una homa ya ubongo?
  2. J

    GE2010 Ona njaa na ujinga vinavyowasumbua vijana!

    wewe kilichokuuma nini hapo???si mapenzi yao wenyewe wameamua kujichora...hebu zungumzeni yaa maana mnakuwa kama mapunguani!(msonyooooooooooo)
  3. J

    GE2010 CCM, KIKWETE & family against SERA

    yaaani kama kuna ujinga uliosemwa humu ndani huu unaongoza wewe unafikiri kweli au ilimradi tu umeandika kitu???JICHUNGE!
  4. J

    GE2010 Tuajiri rais wa kigeni aikomboe tanzania

    Maendeleo ni mabadiliko kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine au Lenin alisema two steps forward and one step backward, na hayo mabadiliko huchukua sura nyingi (phases) kama vile nyanja ya siasa,uchumi,jamii, na kadhalika. Aliyekuwepo Tanzania 1885 wakati wa Berlin conference ataona ni tofauti...
  5. J

    GE2010 Najua baadhi inawauma lakini huyu ataendelea kuwepo

    JAKAYA MRISHO KIKWETE 1.Mtanzania pekee aliyewafanya wapinzani uchwara walie kuomba uongozi. 2.Mtu pekee ambaye mafanikio yake kimaendeleo yanapingwa kwa porojo.(bila takwimu) 3.Mtu pekee katika Tanzania ya leo aliyekubali kuacha sheria iwashughulike wanadhirifu wa mali za umma. 4.Rais wa...
Back
Top Bottom