Ona njaa na ujinga vinavyowasumbua vijana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ona njaa na ujinga vinavyowasumbua vijana!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jibaba Bonge, Sep 27, 2010.

 1. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  [​IMG]


  [​IMG]
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  HIKI NDO KIZAZI AMBACHO SERIKALI INATAMANI IENDELEE KUKITAWALA MIAKA YOOTE?:mad2:
   
 3. P

  Positive Thinker Senior Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni njaa kwani angekuwa najua hapo alipo umaskini umetokana na yeye mwenyewe kutotaka kuleta mabadiliko
   
 4. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kama wamefanya kwa msukumo wa kitu flani nyuma...
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Hawajui wataoga wapi hayo marangi!!chini yeboyebo ajui ccm inawenyewe??:mad2:
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  How fortune for the governments that the people they administer don't think??
   
 7. S

  Selemani JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  This elitist attitude ya Chadema ndio inawakosesha kura, and you make fool of yourselves. You are the only party ambayo you feel entitled kupewa nchi. That Sisi Chadema ndio wasomi, tunaojua maslahi ya taifa and anybody else who disagree with us, basi ni mjinga, sio msomi, na fisadi. I don't even know where you get this attitude, unbelievable.

  Quite frankly, that is one of the reason a lot of folks aren't going to vote for you. The lack of class and uungwana. The feeling of entitlement and know-it-all. The rest of Non Chadema Tanzanians are useless, clueless, and vibaraka wa ufisadi. And the irony of it all, is you have embraced, Marando, Shibuda, Mbowe (the most incompetent human being in politics), and bunch of CCM sore losers in your party. Hebu kuweni na uungwana kidogo, do not disparage somebody who happened not to agree with your views. That is not how we conduct politics in this country. Vukeni boda muende Kenya, if you inject this kind of attitude in our politics.
   
 8. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  He! we Selemani ukweli mwengine hausemwi,,shauri yako
   
 9. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  HAYO NDIYO MAISHA BORA TULIYOAHIDIWA 2005. CCM KEEP IT UP WAZIDI KUWA MASKINI WATANZANIA BADO HAWAJAJUA UBAYA WENU. JEIKEIMWENYEWE; UPO HAPO?
  [​IMG]
  ONA NA VIATU VYAKE!!!!!!! SHAME TO CCM​
   
 10. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Your statements contradict themselves and point back to you. BTW, who said that people who are against ccm are CHADEMA members? Is it wrong to point out ills in the society? Should we lie down and die without shouting out against ufisadi. Watch out when you are accusing someone of anything, because by doing so, you might be exposing your true image!
   
 11. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ujinga na umaskini wa M TZ ndio mtaji mkuu wa Kijani - Kama huyo kijani aliyebeba bango, hata ukimuuliza
  limeandikwa nini na maana yake hatoweza kutoa jibu.

  Ni kama bango tuu - muhimu ni malipo kwa mhusika !!!!
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kwa hili Selemani nakuunga mkono mia kwa tisini

  However, nina wasiwasi hii ungeiwekea thread yake maana inakua diluted na hao vijana ambao kwa kweli hawa-make sense hata kidogo kujichora-chora wakati waweza kuuliza a very basi question kuhusu uraia wao wakashindwa kukujibu

  I second your point but i find it rather ectopic and would be better if you had a thread for it

  Tuna tatizo kubwa la kutopenda kukosolewa na its unfortunate na chadema, kafu na ccm wote wanalo
   
 13. S

  Selemani JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Chief--Naona hatujaelewana vizuri. Wewe piga kelele kwa kadri unavyoweza juu ya uozo wa CCM. Lakini kwa hao makada hapo juu walioamua kujichora picha, wamekukosea nini mpaka muanze kuwaita "they don't think". Hawana uwezo wa kufikiria, eti kwa sababu ni wanachama wa CCM. Hili ndio tatizo lenu. Na Wadau wa CUF mnasema wanakula sahani moja na CCM. Mzee Cheyo, Mrema, Mbatia--hao wote ni vibaraka wa mafisadi. For some reasons Chadema have been able to make an enemy out of everybody. You are the savior of our Republic, and everybody else is clueless, and fisadi. But you have been able to find room for the most opportunistic politicians of all time (Mabere Marando), and you want us to vote for a party headed by Chairman Mbowe.
   
 14. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Most incompetent this, most incompetent that... hebu acha kutufanya wote hatujui what CCM stands for and what its top echelons is up to.. Ukiwa na chama chenye uongozi unaowapigia debe watu wenye kesi mahakamani, utajiita uko kwenye chama makini kweli?? Tatizo la baadhi ya watu kama wewe mnafikiri watu wanao mpigia debe ndugu Slaa hapa JF na kwingine wote ni Chadema!! Your judgement is miscued and completely wrong!
  Wengi tumekulia katika CCM, but it's about time nchi inabadilika na kupata kiongozi anayeonesha uzalendo wa kweli kwa Taifa letu. As it stands, uongozi wa CCM have failed this!
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Can't talk much about Kikwete, he's still our president for Gawd's sake!!.... but, what about Makamba??!!! Pls tell me more about incompetence...!!
   
 16. J

  Jembejipya Member

  #16
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe kilichokuuma nini hapo???si mapenzi yao wenyewe wameamua kujichora...hebu zungumzeni yaa maana mnakuwa kama mapunguani!(msonyooooooooooo)
   
 17. Bally B

  Bally B Senior Member

  #17
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 11, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Most of CCM members they are not reading Nyakati na huu ndiyo mwanzo watakubali tu,huyo mtoto alitakiwa kuwa shule muda huo lakini ndo hivyo tena kapewa F1000 amesahau shida zote kwa siku moja na anakuja kukumbana ghazabu ya miaka mitano mmeona bana!!!Upuuuuuuzi mtupu
   
 18. S

  Selemani JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  I guess kuanzia matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka Oct 31st we will know who is incompetent or not. Au sio Chief? Tuombe uzima tu. InshaAllah.
   
 19. t

  truth Member

  #19
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao vijana hawana access ya internet, lakini hamna tofauti na wanaotumwa kwa njaa zao kupost mambo yaliyokinyume na maadili ya kitaifa ONLINE!!!
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Vipi? mbona unaanza kuwashambulia CHADEMA out of the blue? wamefanyaje hapa?
   
Loading...