CCM, KIKWETE & family against SERA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM, KIKWETE & family against SERA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Msanii, Sep 25, 2010.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kabla na wakati wa kampeni za uraisi na wabunge kuanza, Chaka-Chua Mafuta (CCM) na mgombea wake wa urais kwa ushirikiano mkubwa na mkewe walitengeneza slogan ya kampeni ya kitanda kwa kitanda, shuka kwa shuka and so forth.

  Kuna uwezekano kampeni za mwaka huu hasa zinazoendeshwa na CCM zinapingana na sera ya taifa ya kupambana na ukimwi na tutegemee maambukizi kuongezeka katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.

  Wakuu tukienda kiundani zaidi utagundua hizi slogan nilizotaja zinashawishi wenye ndoa kuingia mchangani kusaka kura za CCM.......

  Wewe unaionaje hii
   
 2. m

  muafaka Senior Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi naiona inafanana na akili yako wewe. We are discussing serious issues about our nation and here comes Msanii na hoja ya kuzimu. Hah! hah !!
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  kama kuna sera nzuri halafu hamna watu wa kuzitekeleza au kufaidi hizo sera unadhani tupo sahihi hapo?
  tatizo sio hoja za kuzimu, tatizo ni usahihi wa fikra na mipango.
  Kiongozi hawezi kuwa mlipukaji wa maneno ya hovyo hovyo kisha tuamini yuko sahihi kwa sababu anatuongoza. la hasha. tunapaswa kumwambia mfalme kwamba nooooo hapo upo uchi n.k.

  Ni sawa na watu wanaomwona MAKAMBA kuwa ana hekima na busara za kiutawala ilhali ni mtukanaji na mbezaji kwa kiwango cha kutisha
   
 4. J

  Jembejipya Member

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaaani kama kuna ujinga uliosemwa humu ndani huu unaongoza wewe unafikiri kweli au ilimradi tu umeandika kitu???JICHUNGE!
   
 5. m

  muafaka Senior Member

  #5
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Msanii, urais wa nchi changa si lele mama. Tutasikia maneno matamu sana toka kokote kule BUT when it comes to realities! my friend kama ungekuwa objective huenda hata usingemsakama Rais wako kwa lugha ya aina hiyo. The world is full of opposing forces, everyone preaches attractive promises as if we are in IDEAL world. You should expect nothing new and probably expect retarded development. Why? because most preachers have not come into the real world. I personally can see the contribution of we the opposition however we might be good on the OFFENSIVE and no one can prove we can be good in the REAL WORLD, REAL WORLD my friend.

  If I were you I would consider this as just a political game and whoever wins takes his chance but not to OFFEND anyone whether in power or not.
   
 6. Y

  YgJunior Member

  #6
  Sep 26, 2010
  Joined: Jan 12, 2008
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wakina dada wanaokatika viuno kwenye kampeni za ccm mungu awasamehe, miti iliyopandwa kwa kutumbukizwa kwenye barabara ya sam mujoma baada ya kubandikwa picha za wagombea wa ccm imeanza kufa, yaani hadi miti imeanza kuilaani ccm kazi kweli kweli
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ....IMEWAUMA eeeeh???!!!!!
  ....naona unajitahidi kutishia hapo lakini hiki ni kisiki siogopi kusema kile ninachoamini.

  Mnapromoti tabia za kishetani kwa kuhamasisha kampeni za kitanda kwa kitanda et all.

  Nenda kawaambie msanii kasema hivyo
   
 8. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  aluta kontinua mapambano bado yanaendelea!!!!

  chadema juu!!!!!!!!
   
 9. m

  muafaka Senior Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  JF mawazo ya kila mchangiaji yanathaminiwa lakini tusifike mahali pa kukosa hekima. Hoja yaweza kutolewa kwa lugha nzuri tu na watu wakaipenda. Huna sababu ya kutumia lugha za kukudharaulisha hata wewe. Hata kama unadhani uko anonymous lakini jenga credibility kwa kutoa hoja kwa lugha nzuri kama members wengine ili uwe na manufaa kwa taifa na siyo lazima kwa Chadema pekee. Cheers Man
   
 10. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Tena huyo kiongozi wa Chaka Chua Mafuta kawaambieni mliopata UKIMWI ni viherehere vyenu.
   
 11. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180

  mbona hueleweki mkuu?? hebu andika kwa Kiswahili tujue kama kweli unamaanisha uliyoandika....
   
 12. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  anatania tu,hakua akimaanisha..
   
Loading...