Thats not a big deal. Issue ni kwamba nakosa kabisa uhuru na simu. Yaani sijui ni anaoteshwa na malaika au ni jini? Haischukui siku mbili tayari password ashaijua. Naweza hata kuweka ya sura ila kwanini anichimbe kwenye simu yangu?
Sure bro kama ni stroke anaweza kupata kwa kweli kwa sababu huyu mwanamke kama kunipenda nahisi ananipenda. Ila hii tabia ya kuchunguza simu, asee siipendi, ananikera mno.
Well said brother lakini tukubali kabisa kuwa si kila kitu tunashea na wake zetu. Wewe mkeo unamweleza kila kitu? Huna hata jambo moja ambalo hapaswi kujua?
Ni kama umeisoma akili yangu. Natamani nitoe kabisa password simu iwe wazi alafu nianze sasa kuchat na wanawake waziwazi. Nikirudi namuwekea mezani aangalie kama ITV.
Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi.
Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na...
Hakuna yeyote anayeweza kuthibisha uwepo wa Mungu kwa ushahidi wa aliyotenda yakionekana na yeye akionekana pia. Unless tutaleta tu story, mapokeo ya nadharia na vifungu vya dini. Kama yupo aliyewahi kukutana na Mungu , athibishe. Nje ya hapo ni blah blah tu. Mungu ni imani, na uwepo wake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.