Recent content by jembe2015

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka akutana na Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antonio Guterres jijini New York

    Mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka ambaye Yuko Marekani kwa matibabu ya ENT (Ear Nose and Throat) amepata nafasi kusalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Antonio Guterres ofisini kwake mjini New York. Profesa Tibaijuka na Bwana Guterres walifanya kazi pamoja wakiwa Wakuu wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka joined Nobel Peace Laureates’ Noble Visit To Bahrain, By Babafemi A. Badejo

    Premium Times September 17, 2018 Nobel Peace Laureates’ Noble Visit To Bahrain, By Babafemi A. Badejo2018-09-17T20:14:41+00:00Opinion Comment It is not often that individuals so recognised for peace in the world find time to come together to share their experiences in the Arab world. So, it was...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba amcharukia Zitto Kabwe

    Sihungi mkono maneno ya Zitto kabisa,namwona kama kichaa ila niongee kuhusu huyu Mwigulu, yeye amezoea kutafta huruma kwa watu kama mwenzie Zitto,nachoona hapa Mwigulu alitaka kupigilia msumari maneno ya Zitto ila kwa stahili ya kujifanya anamponda,Mwigulu huna jipya tusha kufahamu na unafiki...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka Ashiriki Mazishi ya Kofi Annan nchini Ghana

    Mazishi ya Kofi Annan Acra Ghana. Profesa Tibaijuka akiwa na rais Mstaafu wa Mozambique Mhe.Joachim Chisanno.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nani kuiwakilisha Tanzania Mazishi ya Koffi Annan?

  6. J

    JamiiForums Tanzania Nani kuiwakilisha Tanzania Mazishi ya Koffi Annan?

  7. J

    JamiiForums Tanzania HRH Premier to meet Anna Tibaijuka and other high-level delegation of Nobel laureates

    Sept 10,Manama: A call for the international community to adopt a new approach to tackling global threats has gone out from His Royal Highness Prime Minister Prince Khalifa bin Salman Al Khalifa. He made the comment yesterday as he met a high-level delegation of Nobel Peace Prize laureates...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka Ashiriki Mazishi ya Kofi Annan nchini Ghana

    #UpdatesFromGhana#Prof.Anna Tibaijuka leo tarehe 13/9/2018 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa wa saba (1997-2006) Bwana Kofi Annan anayezikwa leo tarehe 13/9/2018 nchini Ghana.Viongozi mbalimbali duniani wameshiriki mazishi hayo wakiongozwa na Katibu mkuu wa sasa wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji watu waliosomea bima na wenye uzoefu

    Nahitaji watu waliosomea bima na wenye uzoefu husio pungua miaka miwili ya sekta hii,wawe na vyeti vya bima.Wawe wenyeji ktk mikoa ifuatayo, MWANZA, GEITA, MARA ,KIGOMA NA KAGERA. Tuma CV pamoja na vyeti vya matokeo yako yaani transcript kwenda kwenye email ifuatayo bimaservices@gmail.com
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu Hassan Milanga ateuliwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Biharamulo. Aanza kwa kutoa matusi mazito

    Ndugu Hassan Milanga ateuliwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Biharamulo. Aanza kwa kutoa matusi mazito Bwana Hassan Milanga Diwani mstaafu wa Muleba mara baada ya kupewa taarifa kwamba ameteuliwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Biharamulo amewashangaza wengi kwa kukataa kushika mkono Al Haji...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Vituo vya mafuta vya Oilcom ni wezi sana hasa Ubungo

    ungetoa elimu ningekuelewa sana kuliko maswali yako .Hata kama gari umemiliki miaka kumi ingesaidia nini. Nadhani ujikite kutoa elimu uliyo sema sina au kama na wewe ni mdau mwenye share zake oilcom tujue
  12. J

    JamiiForums Tanzania Vituo vya mafuta vya Oilcom ni wezi sana hasa Ubungo

    Shukrani mkuu nimekuelewa uwa najitahidi japo sio mara zote,shukrani kunikumbusha
  13. J

    JamiiForums Tanzania Vituo vya mafuta vya Oilcom ni wezi sana hasa Ubungo

    Samahani sikuwajuza kigari chenyewe nilichonacho ni ki IST mnajua hakinywi mafuta na jana nilijihakikishia kwa kujaza mafuta ya elfu kumi nikarudia mzunguko ule ule na zaidi na bado mpaka sasa mafuta yapo
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vituo vya mafuta vya Oilcom ni wezi sana hasa Ubungo

    Naomba kuwapa tahadhari, hizi Oilcom wasipojirekebisha wateja wote watahama. Ni wezi sana na nimefuatilia wanakuibia hata ukiwa unaona tena na risiti wanakukatia. Mfano juzi Jumamosi niliweka mafuta pale Oilcom Ubungo karibu na stand,niliwambia waniwekee ya elfu kumi na tano, ndani ya dakika...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mgombea udiwani Kata ya Buhangaza Wilayani Muleba akimbilia Dar es Salaam na kutelekeza uchaguzi

    Muleba 7/02/2018. Mchezo wa kuigiza wa Nelson Athanasio Makoti mgombea udiwani wa Chadema Kata ya Buhangaza aliyedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana lakini akaibukia hospitali ya Kagondo na kukutwa mzima wa afya umeingia sura mpya baada ya mgombea huyo kutoweka tena kutoka hospitali hiyo na...
Back
Top Bottom