Prof. Anna Tibaijuka Ashiriki Mazishi ya Kofi Annan nchini Ghana

jembe2015

Senior Member
Sep 21, 2014
118
71
#UpdatesFromGhana#Prof.Anna Tibaijuka leo tarehe 13/9/2018 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa wa saba (1997-2006) Bwana Kofi Annan anayezikwa leo tarehe 13/9/2018 nchini Ghana.Viongozi mbalimbali duniani wameshiriki mazishi hayo wakiongozwa na Katibu mkuu wa sasa wa Umoja wa mataifa Bwana Antonio Guterres pamoja na rais wa nchi hiyo Bwana Nana Akufo-Addo. Kofi Annan alifariki dunia tarehe 18/8/2018 nchini Switzeland wakati akiendelea kupata matibabu.

IMG-20180913-WA0063.jpg
 
"Kadri unavyopanua, ndivyo wanavyotamani"...Prof. Anna Tibaijuka.

Huyu mama wa Kihaya ana vituko sana.

Namtakia ushiriki mwema na arudi salama.


Baada ya ile "gonjwa hili limeingia pahala ambapo sisi sote twapapenda"
 
Mazishi ya Kofi Annan Acra Ghana. Profesa Tibaijuka akiwa na rais Mstaafu wa Mozambique Mhe.Joachim Chisanno.
 

Attachments

  • IMG-20180913-WA0075.jpg
    IMG-20180913-WA0075.jpg
    42 KB · Views: 16
  • IMG-20180914-WA0003.jpg
    IMG-20180914-WA0003.jpg
    59.4 KB · Views: 15
Back
Top Bottom