Mgombea udiwani Kata ya Buhangaza Wilayani Muleba akimbilia Dar es Salaam na kutelekeza uchaguzi

jembe2015

Senior Member
Sep 21, 2014
118
71
Muleba 7/02/2018.

Mchezo wa kuigiza wa Nelson Athanasio Makoti mgombea udiwani wa Chadema Kata ya Buhangaza aliyedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana lakini akaibukia hospitali ya Kagondo na kukutwa mzima wa afya umeingia sura mpya baada ya mgombea huyo kutoweka tena kutoka hospitali hiyo na kukimbilia Dar es Salaam.

Sakata la mgombea huyo lilianza tarehe 2 Februari baada ya mgombea huyo kudaiwa na Chadema kupotea huku shutuma za kumteka zikielekezwa CCM na viongozi wake. Usiku wa tarehe 4 mgombea huyo aliibukia hospitali ya Kagondo alipojipeleka mwenyewe akitembea lakini akidai ati ameachwa barabara kuu na watekaji wake.

Habari za kuaminika ni kwamba Mgombea huyo hakutekwa bali aliwekwa mafichoni na Chadema wenyewe wakiongozwa na Rodrick Rutembeka mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema pamoja na Diwani viti maalum Adela Thomas maarufu Kalikwela.

Baada ya kuzidiwa na moto wa kampeni za CCM Chadema wakaona watafute kura za huruma kwa kuwadanganya wapiga kura kwamba CCM imemteka mgombea wao. Hata hivyo Rutembeka alisema Chadema itaendelea na kampeni bila kujali hatma ya mgombea wao.

Udanganyifu huu uliingia kasoro kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Chadema tarehe 4 Februari. Akihutubia mkutano huo Rutembeka alipandisha mori na kwa jazba akajisahau na akafichua siri kwa kuwatangazia wananchi kwamba wasiwe na hofu kwani "mgombea wao yuko salama na wa kumuua hayupo".

Baada ya kugundua kosa hilo Chadema wakapaniki na kulazimika kumtoa mgombea wao mafichoni jioni hiyo na usiku saa tano kumpeleka Hospitali ya Kagondo akalazwa pale kisanii kwa hisani ya Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo Dr. Humphrey Batungi ambaye ni shemeji yake Rutembeka .

Kumbe vyombo vya ulinzi na Usalama vilikuwa tayari vinafuatilia sakata hilo mitandaoni. Baada ya Alistides Kashasira (mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini aliyebwagwa na Profesa Anna Tibaijuka katika uchaguzi Mkuu) kutamba kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mgombea Nelson kapatikana kwa kutelekezwa na watekaji wake karibu na Hospitali ya Kagondo.

Hata hivyo majigambo hayo ya Kashasira ambaye ni mfanyakazi wa Barclays Benki Dar es Salaam yakawaponza Rutembeka na Mganga Mkuu ambao walikutwa hospitalini hapo usiku huo kwa pamoja na Polisi na maafisa wa usalama waliokuwa wakihangaika kumtafuta mgombea aliyepotea! Siyo kawaida kwa Mganga Mkuu kuwa kwenye zamu hospitalini saa sita usiku. Aidha mtu aliyetekwa na kutelekezwa na watekaji wake saa tano usiku angelifikaje Hospitali akitembea bila kuwa na dalili za maumivu yoyote kwa mujibu wa watu waliokuwa mapokezi na kumuona alivyoingia akiwa ameavaa suti nzuri inayosemekana kwamba ilikuwa safi?

Sasa imejulikana kwamba kumbe mgombea aliletwa hospitalini hapo na Bwana Rutembeka baada ya kumuita shemeji yake Dr Humphrey kumsaidia kumlaza mgombea huku akiwa mzima.

Baada ya taarifa za tukio hili kuenea kwenye mitandao ya kijamii na magazeti Rutembeka akaogopa zaidi na kakimbia na kurejea Dar es Salaam bila kuaga. Diwani viti maalum Adela Thomas Kalikwela akabaki kufanya mpango kumkimbiza mgombea maficho mapya Dar es Salaam ili hasihojiwe na Polisi wa Muleba. Kisingizio na propaganda za Kalikwela ni kwamba mgombea kafuata matibabu zaidi. Kalikwela anatamba juu ya mafanikio hayo kwenye mtandao usiku wa tarehe 6 bila kutafakari athari zake. Ni mchezo mchafu na wa kitoto. Ni dhihaka kwa wapiga kura kwa Chadema kutaka kuendelea kupiga kampeni za matusi na kashfa kwa CCM na viongozi wake bila mgombea kuwepo.

Katika ujumbe wake mitandaoni Diwani Kalikwela amekiri kwamba kweli mgombea wao hana jeraha lolote lakini analazimisha ati huenda viungo vimeumia!. Ni dhahiri mbinu chafu zinafanyika kuwadanganya wananchi wasijue ukweli. Inaonekana taarifa mgombea wa Chadema ameondoka baada ya ugomvi wa Fedha za uchaguzi ndani ya Chama hicho ni za kweli.

Hakika uchunguzi wa Polisi ukikamilika tutajua mengi na wataumbuka wengi.
Aidha watasaidia kufungua macho ya wananchi juu ya udanganyifu wa baadhi ya wanasiasa wasio na maadili wakiongozwa na Rutembeka, Kalikwela na wenzao.

Chini ni video ya mkutano alio hutubia bwana Rutembeka akiwaeleza wananchi kuwa mgombea yuko salama hakuna wa kumdhuru.
 
Attachments

  • VID-20180206-WA0113.mp4
    10.2 MB · Views: 36
Ni kiongozi Yupi anaejali matumbo ya wengine?
Hayupo si katika chama tawala wala upinzani kila mtu anajali kujaza choo kwa njia zake, wengine kwa kuita wanyonge, wengine makamanda, wengine wanawindwa na wasio julikana, wengine ugomvi wa ndani kimsingi ni uroho wa madaraka sawa na uroho wa kutaka sahani kubwa la ubwabwa kama sheikh mussa au pombe kama nabii tito au sifa kama diamond na tamaa kama Shephard Bushiri!!

We must change, tamaa mbele mauti nyuma..
 
Muleba 7/02/2018.

Mchezo wa kuigiza wa Nelson Athanasio Makoti mgombea udiwani wa Chadema Kata ya Buhangaza aliyedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana lakini akaibukia hospitali ya Kagondo na kukutwa mzima wa afya umeingia sura mpya baada ya mgombea huyo kutoweka tena kutoka hospitali hiyo na kukimbilia Dar es Salaam.

Sakata la mgombea huyo lilianza tarehe 2 Februari baada ya mgombea huyo kudaiwa na Chadema kupotea huku shutuma za kumteka zikielekezwa CCM na viongozi wake. Usiku wa tarehe 4 mgombea huyo aliibukia hospitali ya Kagondo alipojipeleka mwenyewe akitembea lakini akidai ati ameachwa barabara kuu na watekaji wake.

Habari za kuaminika ni kwamba Mgombea huyo hakutekwa bali aliwekwa mafichoni na Chadema wenyewe wakiongozwa na Rodrick Rutembeka mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema pamoja na Diwani viti maalum Adela Thomas maarufu Kalikwela.

Baada ya kuzidiwa na moto wa kampeni za CCM Chadema wakaona watafute kura za huruma kwa kuwadanganya wapiga kura kwamba CCM imemteka mgombea wao. Hata hivyo Rutembeka alisema Chadema itaendelea na kampeni bila kujali hatma ya mgombea wao.

Udanganyifu huu uliingia kasoro kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Chadema tarehe 4 Februari. Akihutubia mkutano huo Rutembeka alipandisha mori na kwa jazba akajisahau na akafichua siri kwa kuwatangazia wananchi kwamba wasiwe na hofu kwani "mgombea wao yuko salama na wa kumuua hayupo".

Baada ya kugundua kosa hilo Chadema wakapaniki na kulazimika kumtoa mgombea wao mafichoni jioni hiyo na usiku saa tano kumpeleka Hospitali ya Kagondo akalazwa pale kisanii kwa hisani ya Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo Dr. Humphrey Batungi ambaye ni shemeji yake Rutembeka .

Kumbe vyombo vya ulinzi na Usalama vilikuwa tayari vinafuatilia sakata hilo mitandaoni. Baada ya Alistides Kashasira (mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini aliyebwagwa na Profesa Anna Tibaijuka katika uchaguzi Mkuu) kutamba kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mgombea Nelson kapatikana kwa kutelekezwa na watekaji wake karibu na Hospitali ya Kagondo.

Hata hivyo majigambo hayo ya Kashasira ambaye ni mfanyakazi wa Barclays Benki Dar es Salaam yakawaponza Rutembeka na Mganga Mkuu ambao walikutwa hospitalini hapo usiku huo kwa pamoja na Polisi na maafisa wa usalama waliokuwa wakihangaika kumtafuta mgombea aliyepotea! Siyo kawaida kwa Mganga Mkuu kuwa kwenye zamu hospitalini saa sita usiku. Aidha mtu aliyetekwa na kutelekezwa na watekaji wake saa tano usiku angelifikaje Hospitali akitembea bila kuwa na dalili za maumivu yoyote kwa mujibu wa watu waliokuwa mapokezi na kumuona alivyoingia akiwa ameavaa suti nzuri inayosemekana kwamba ilikuwa safi?

Sasa imejulikana kwamba kumbe mgombea aliletwa hospitalini hapo na Bwana Rutembeka baada ya kumuita shemeji yake Dr Humphrey kumsaidia kumlaza mgombea huku akiwa mzima.

Baada ya taarifa za tukio hili kuenea kwenye mitandao ya kijamii na magazeti Rutembeka akaogopa zaidi na kakimbia na kurejea Dar es Salaam bila kuaga. Diwani viti maalum Adela Thomas Kalikwela akabaki kufanya mpango kumkimbiza mgombea maficho mapya Dar es Salaam ili hasihojiwe na Polisi wa Muleba. Kisingizio na propaganda za Kalikwela ni kwamba mgombea kafuata matibabu zaidi. Kalikwela anatamba juu ya mafanikio hayo kwenye mtandao usiku wa tarehe 6 bila kutafakari athari zake. Ni mchezo mchafu na wa kitoto. Ni dhihaka kwa wapiga kura kwa Chadema kutaka kuendelea kupiga kampeni za matusi na kashfa kwa CCM na viongozi wake bila mgombea kuwepo.

Katika ujumbe wake mitandaoni Diwani Kalikwela amekiri kwamba kweli mgombea wao hana jeraha lolote lakini analazimisha ati huenda viungo vimeumia!. Ni dhahiri mbinu chafu zinafanyika kuwadanganya wananchi wasijue ukweli. Inaonekana taarifa mgombea wa Chadema ameondoka baada ya ugomvi wa Fedha za uchaguzi ndani ya Chama hicho ni za kweli.

Hakika uchunguzi wa Polisi ukikamilika tutajua mengi na wataumbuka wengi.
Aidha watasaidia kufungua macho ya wananchi juu ya udanganyifu wa baadhi ya wanasiasa wasio na maadili wakiongozwa na Rutembeka, Kalikwela na wenzao.

Chini ni video ya mkutano alio hutubia bwana Rutembeka akiwaeleza wananchi kuwa mgombea yuko salama hakuna wa kumdhuru.

Maandishi meeeeeeeeeeeeeeeeeeeengi,hoja sifuri
 
Noana mnatafuta kichaka cha kujifichia hilo lilitegemewa la kusema alifichwa na chadema jaribun kuja na maelezo mapya kwa hiyo hata mwandishi azoli wa mwanachi kafichwa na chadema?
 
aa.jpg
 
umbea mtupu..mkoa masikini kama mavi..sijui Barclay's buree kabisa kelele nyingi mjini..kwenu hamna kitu!
 
Tangu lini umekuwa msemaji rasmi wa chadema
 
Back
Top Bottom