Siyto kwe;li. ninadhani umepata mafundisho ya mtu moja anayejiita nabii kwani ana maelezo yanayofanana na haya uliyoandika. Soma Biblia Takatifu ndipo utaujua UKWELI nao utakuweka huru.
Mimi sikatai madhara ya Chanjo iliyoharakishwa kama ilivyofanyika na inavyoendelea kufanyika hata sasa kwa ugonjwa wa Corona. Hata hivyo, siwezi kukubaliana kuwa kwa kuwa majaribio yamefanyika nchi za baridi ndiyo iwe sababau ya msingi ya kukataa chanjo. Viongozi wetu watumieni Wataalamu wa...
Nukuu ya:
El Roi
Member
Kama nakumbuka vizuri wakati Lissu anatoa hotuba ya kukubali uteuzi wa kuwa mgombea kupitia chama chake alisema Mambo ambayo nina Shaka Kama yamefahamika kwa chadema wenyewe au sisi wengine. Kwanza aliomba tuondoe notion ya kila wakati wagombea kuja na ahadi kwa lugha...
"Sorry, I Hate Sweeping Statements". Samahani, mimi ninazichukia semi au sentensi za kimkumbo. Eti "English Medium Tanzania zimejaza wakenya tupu, serikali tuanzie hapa". Sentensi hii ndiyo iliyoniingiza kwenye Post hii. Niliposoma post yenyewe ndipo nikaona "Shule nyingi za Private.....". Hata...
"I represent"?????? Whom are you representing in your message? There is a huge difference between "I Represent (Ninawakilisha in Kiswahili)" AND "I Submit (Ninawasilisha in Kishwahili)". You may wish to accept the difference BUT you have the choice.
Tatizo lako Mleta Mada hii hujitambui ingawa jina unalolitumia ni la mmojawapo ya Dini hizo hizo unazozisigina kwa kisigino chako. Kama ni athari ya "Mental Slavery" BASI WEWE MWENYEWE UNAONGOZA KWENYE HILO, Ungelikana hata jina unalolitumia hapa; na si ajabu kwenye Misa unakuwa kiti cha mbele...
Mchango wangu wa kupunguza ajali ni kujifunza kwa wenzetu. Mimi nimebahataika kusafiri nchi mbali mbali za nje kusini mwa bara letu la Afrika na Uingereza, Uholanzi na Marekani. Kwa wenzetu hawa wana magari mengi kuliko sisi ingawa pia barabara zao ni bora zaidi kutokana na uchumi wao. Lakini...
Mwandishi wa hii mada wewe si mwakilishi wa Wastaafu hata kidogo na umetoa sentensi ya mkumbo mno wa UELEWA wa Watanzania wote milioni 55-plus - sijui umeupimaje! Mbona hukuja kunipangia matumizi ya mshahara wangu aliokuwa unabaki baada ya kukatwa mchango wa mfuko niliokuwa ninachangia kwa nguvu...
Kwako Ph-25:
Awali ya yote niweke wazi kuwa dhambi hazitokani tu na "Amri Kumi za Mungu" bali kila lisilo la haki ni DHAMBI, 1Yoh 5:17.
Tofauti ipo kati ya Uasherati na Uzinzi ingawa tendo lenyewe linafanana. Uasherati ni kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume asiye na ndoa na anafanya tendo hilo na...
Mkiti: Kuilaumu UKAWA pekee bila kukumbuka matukio halisi yaliyosababisha hata hao UKAWA kujitoa itakuwa sawa na kujificha kwenye usemi wa "mbuni kufukia kichwa chake mchangani huku kiwili-wili chote kikiwa wazi!" Hapo tayari utakuwa umejiweka kwenye upande moja wa itikadi za siasa za Tanzania...
Kwa bahati mbaya Yeye na Sisi hatukuchukua hatua yo yote. Leo hii Yeye hayupo, sisi tupo, hatuna la kufanya kwani tulitakiwa tupate ufumbuzi wakati ule ule alipotumbia. Yetu macho tu!
Mleta mada, kama lengo la kuleta mada yako hii ni utetezi kwa D A Bash..., basi umepoteza muda wako na wetu pia. Uliyoyaeleza yanatofautiana kabisa na suala lililoko mezani. Vyetivya D A Bash.. vinahitajika hapa na sii vinginevyo. Kama lengo ni kumwosha huyo D A Bash.., BAHATI MBAYA, kwenye...
Observation yako ninaomba ikumbuke kuwa "Osama Bin Laden" alikuwa agent wa Marekani awali kabla hajawageuka. Alipowageuka Wamarekani alikanwa hata na nchi yake Saudu Arabia. Hao washirika wa Osama kutoka Saudi Arabia walikuwa Recruited na Osama, Mshirika wa awali wa Wamarekani. Ukizingatia...
Sipendi kuamini kuwa Tatizo la Trump ni "religious profiling of terrorists" - kama anavyoliweka Coral. Katika hotuba yake ya juzi Trump alieleza kuwa nchi hizo zina mfumo dhaifu sana wa "VETTING" ya watu wao ambao watu makini hawawezi kuuamini. Hapo pana tofauti kubwa baina ya "Religious...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.