Recent content by jem the great

  1. J

    Ujumbe kwa waliochaguliwa ifm

    Kama ningekula bata nisingejilaumu..sasa bata sijala na mambo yamenikuta
  2. J

    Diamond amnunulia gari mzee gurumo!!

    Anaejua Habahatishi...!!!!mtameza sumu mfe huku mnaona..aliyenazo muheshimu ridhiki yake ni pana.....haterz malizien!!!!!
  3. J

    Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

    Sion kama kuna shida..mwambie atafute njia ya kuitumia vzur mkiwa ndan ya sita kwa sita
  4. J

    Ujumbe kwa waliochaguliwa ifm

    Tax haiko vbaya..umesoma nn advance?
  5. J

    Ujumbe kwa waliochaguliwa ifm

    Kila kitu kinaenda sawa kama ukijituma..de issue n kutojisahau 2..
  6. J

    Ujumbe kwa waliochaguliwa ifm

    Kaka big up saana..umekaza aloo..
  7. J

    Ujumbe kwa waliochaguliwa ifm

    Ndugu zangu first year students naomba mtambue kama mmekuja vitan na sio eneo la masharabaro wala masister duu!!pale chuo ukizubaa first year unaweza kuondoka semister ya kwanza tena kwa urahisi tu kama usipokua makini..mimi n mmoja wapo wa waliodisco first semister na sio kama sikusoma...
  8. J

    Wale wa IFM..

    Ifm wametoa list ya wanafunzi wa 1st year...kupata majina tembelea website yao..
  9. J

    Wadada Tuolewe Tu Wanaume Wa Kawaida! Mwanaume Anakuw Wa Maana Kabl Hujamkubali Tu! Ukimkubali Ovyo!

    Tatizo galz wapo selected sana yan kinapendwa "kitu" na sio "Mtu"..na mwisho wa siku wa dat type wanaishia kua ma bimdogo 2...
  10. J

    Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

    Pass mark zinaruhusu sema kwenye choice ya chuo na faculties ndo pakua makini
  11. J

    wale wa ifm 2kutane hapa

    Ndugu zangu ifm sio rahs kama mnavyoichukulia....u have 2 study...msul wa pale s wa kichumba..kurepeat a year na kudisco kwa semister n jambo rahs saana kama usipokua makini
  12. J

    Mpenzi wangu kagegedwa nampenda nifanyeje?

    Usimwamin mwanamke kihivyo huo n ushenz wao na unafki wa kupretend kupenda kumbe wako pande hata 3..je usingechukua cm angekuomba msamaha??kama unampenda msamehe
Back
Top Bottom