Recent content by Jelavic

  1. Jelavic

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Wakati wowote Godbless Lemma atatangaza na kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA ili kumkabili Hezekiah Wenje ambae ameshatangaza

    Hatuitaji mchungaji sisi sio parokia, tunaitaji jembe, mh heche au wenje.
  2. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    TUNAVIJANA WA HOVYO SANA KATIKA NCHI HII, HIVI KWELI MTU ANASHINDWA KUELEWA MISIMAMO YA INDIA JUU YA DINI YA UISLAM, KWAIYO ULITEGEMEA WANGEMUONAJE KAMA SIO GAIDI. KWANZA UGAIDI NI NINI ? SEMA MNAOGOPA JAMAA KAJA KIPINDI KIBAYA ,WATU WAMETOKA KUMSHEREKEA YESU ,YEYE ANAKUJA KUSAFISHA MAMBO JUU YA...
  3. Jelavic

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naona safari ya Askofu Gwajima kurudi CHADEMA 2025

    gwajima hana nguvu hiooo ya kuizidi ccm. labda ubunge wa jimbo
  4. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Malengo ya vita ilikuwa. Kuwarudisha mateka wote. Kuvunja miundo mbinu ya hamas Kuwakata viongozi wote hamas. Hadi sasa hakuna liliotimia bado ,huenda yattamia yote ila muda waliochukua ni zaidi ya matarajio, manzoni walisema itachukua wiki tu kufikia malengo saiz tunaenda mwezi wa tatu mambo bado
  5. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Israel yafanya shambulio la kigaidi Beirut na kumuua moja viongozi wa HAMAS Saleh al-Arouri, Saleh al-Arouri alikuwa Naibu Rais wa HAMAS, na kiongozi Mkuu wa hamas katika eneo la West Bank huko gaza. Saleh al-Arouri ameisha wahi kukamatwa zaidi ya mara nane na jeshi la Israel, na ameisha wahi...
  6. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Kimwili tuko katika ardhi huru ya Tanzania, kifikra tuko utumwani Ulaya

    KIMWILI TUKO KATIKA ARDHI HURU YA TANZANIA, KIFIKRA TUKO UTUMWANI ULAYA. Siku ya leo miaka 62 iliyopita ardhi yetu ya Tanzania ilitambulika rasmi kama ardhi huru. Kwajitihada za wazee wetu ambao pengine baada uhuru hawakujulikana sana. Lakin swali la kujiuliza, Ardhi imekuwa huru sio mali...
  7. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi nafaka za Ukraine mlizo dai ni kwaajili ya nchi masikin na zinazoendelea?

    Tukirudi nyuma kidogo, Tareh 22/6/2022 urusi na Ukraine kwa usimamizi wa uturuki na umoja wa mataifa waliingia mkataba wa makubaliano ambao urusi iliridhia nafaka za Ukraine ziruhusiwe kutoka Ukraine kupitia bahari nyeusi kwaajili program ya umoja wa mataifa ya kuhami nchi masikini dhidi ya...
  8. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ukraine itakavotapakaa damu, ni ishara ya ujinga wa mwanadamu

    Vita ya Ukraine itaenda kutengeneza mpangilio mpya wa dunia, urusi hana mpango na wala hafikirii kushindwa kama alivo sema Vladimir Putin wataendelea mpaka malengo yao yatimie, kushinda kwa Urusi maana yake kufeli kwa siasa za marekani za kutetea mfumo wao wa mda mrefu (demkrasia) na hii maana...
  9. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Afrika ndio atakayepata hasara katika vita kati ya Ukraine na Urusi

    Kinachoendela hivi sasa kati ya urusi na Ukraine katika ile miji ya donbas ni hatari kwa africa. Urusi imeitambua miji ya Donetsk na Luhansk kama nchi huru zinazojitegemea, haya maeneo kijiografia yamepakana na urusi lkn kwa makubaliano ya umoja wa mataifa baada vita ya pili ya dunia ni sehem...
  10. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Mbowe hatofungwa ila anampisha Rais ajenge uchumi kwanza

    Kwa jinsi kesi inavyoenda na hukumu ndogo ndogo zinavotupiliwa mbali ni wazi tayari kuna malekezo ya wapi kesi ifike na mpaka ifike huko basi muda utakuwa umsogea sana rais atakuwa ameisha onesha muelekeo wake anatupeleka wapi. Wakati SSH anaingia na wapinzani wakaanza makongamano ya katiba...
  11. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Sudan: Mawaziri 12 wajiuzulu kupinga makubaliano na Jeshi

    Hana haja ya kuamimiwa na wanachi kwan mwanzo anaingia vile vyama vilivyomchangua vilipewa idhini na wanachi..? Viliiba maandamano ya wanachi vikafanya majadiliano na wanajeshi baadae vikamchagua hamduk. Nani alivipa mamlaka hivi vyama je niwananchi..? Serikali za mpito ndio hivi angalia Libya...
  12. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Sudan: Mawaziri 12 wajiuzulu kupinga makubaliano na Jeshi

    Hata wasinge jiuzulu kwa mujibu wa makubaliano waliongia baina ya jeshi na hamduk yanamtaka aunde serikali isiyo ya vyama ( technocrats) na vyama vijiandae na uchaguzi, wamewajibika kisiasa tu hata wasingewajibika ilikuwa ni lazima watolewe.
  13. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Sokomoko la zawadi ya gari ya Rais mstaafu Mwinyi

    Kwanza serikali inahaizna ya magari kama yale mengi, wamechagua tu moja wamempa wala hajanunuliwa. Halafu gari walilompa sio hisani sababu ya uzuri wake au urefu au uzee wake, kama hivyo basi kuna wazee wengi na kuna watu wafupi wengi, ila kapewa sababu alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  14. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Kama tunavojua mwenyekiti wa CCM aliwahi kutamka haiwezekani mavyeo mengi yote apewe mtu mmoja. Na leo kamteua pole pole kuwa mbunge, kwa namna tunavojua mbunge anatakiwa mda mwingi awe bungeni na field kwa wananchi jumbo ambalo halita mpa nafasi kubwa pole pole ya kuoperate kama katibu...
  15. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Mnyika usiwe Katibu wa kwanza katika historia ya CHADEMA aliyeua Baraza la Wanawake (BAWACHA), thamini juhudi zao kukufikisheni mahali mlipo leo

    Unapozungumzia Viti maalum wa 2020 hawa 19 WALIOCHAGUANA unazungumzia ngome kongwe ya viongozi wa wanawake wa chadema (BAWACHA). Nakukumbusha katibu mkuu utendaji wako juu ya hili kundi sio tu unawaathiri wao kama viti maalum bali unaathiri mfumo mzima wa balaza lako la wanawake ambalo ndio...
Back
Top Bottom