shahidi anasema yule polisi huwa wanacheza nae draft karibu kila siku, wakati huo polisi anasema alikuwa anapita tu na kuona kundi la watu wanaangalia video ya zitto youtube
Wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ninahitaji simu aina ya OPPO R11 nyeusi nimejaribu kuzunguka kariakoo sijapata kwa mwenye ufahamu naomba kujuzwa.
mke wangu, hata akinitania tu, eti mimi kuanzia leo nashabikia CCM, yaani HATA KUGEGEDANA nae ndio mwisho siku hiyo, inafuata talaka, sitaki upuuzi mimi, ukiwa mCCM unakuwa muongo muongo, ukiwa mCCM unakuwa na visasi, ukiwa mCCM
ntajaribu vitunguu swaumu pia sky eclat ni majina gani ya antfungal cream na steroid cream na tablets zipi ili niende dukani nikiwa najua naenda kununua dawa ipi?
habari jf doctor!
Nina tatizo langozi yapata mwezi wa tano tokea lianze, nimekwenda hospitali, nimepima mpaka damu kwa ajili ya HIV nikapewa majibu, nikaambiwa sina HIV, isipokuwa nimeliweka tatizo muda mrefu bila tiba.
Ni kweli tatizo lilianza muda mrefu kuanzia mapajani , kwani...
Hata wewe na familia yako yote mkiongoza vizuri wananchi wote tutawapenda na kuwapa kura zetu, shida ya wananchi si kabila bali ni maendeleo yao wanachi.
Nilipenda pale aliposema, mtu anakuletea mtaji wa watu 1,000,000 ukatae ili iweje? Kwa upande wangu nilichokiona ni kupata supporters wengi kwani lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola, dola haishikwi bila wanachama au mashabiki wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.