Jhounne
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,093
- 2,564
Kwa hyo Sallam SK alikua na Diamond kaumwa yeye pekee na Diamond mzima au diamond kakataa kutumwaNimeshakwambia kilichopelekea nijue ni wao ni simple kwa sababu hao ndio walikuwa kwenye hizo nchi na wenyewe wamethibitisha kuwa wana COVID-19, sasa unapata tabu vipi kuanza kufikiri hawa ni wapya sio wale waliotangazwa na mamlaka asubuhi.
Walichofichwa kipi?
Kwani wale wengine walipotajwa tulitajiwa majina yao. Si tuliambiwa tu uraia wao.
Msipende kufikilia kisiasa kila pahala.
Mnapokuja jukwaani humu lazima muwe na data za ukweli, siyo kuleta uzushi kwa kuwa kuna watu wataamini ulichokiandika wakati si kweli.Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya kuziba mdomo? Lengo lake ni kuzuia unapokohoa chembe za mate yaani umatemate usije ukamwingia jirani yako uliye naye karibu! Wala siyo kwa maana ya kuzuia vimelea visiende hewani!Kwanini unaambiwa ukikohoa uzibe mdomo? Pia kirusi kinakufa? Unajua tabia ya kirusi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na namba kubwa hapo ni Waarabu, black ni 1 tu kama siyo wawili na huyo wa Sudan! Gonjwa hili limekuwa overrated kwa Africa, hasa South of Sahara!Mnapokuja jukwaani humu lazima muwe na data za ukweli, siyo kuleta uzushi kwa kuwa kuna watu wataamini ulichokiandika wakati si kweli.
Ukweli ni kwamba, mpaka kufikia Jana (trh 19 march, 2020) bara la Africa lilikuwa na vifo 16 tu.
Egypt = 6
Algeria = 6
Morocco = 2
Burkinafaso = 1
Sudan = 1
Source: BBC
Mkuu, soma hii lebo kwa maana siku iliyotengenezwa na pale kwenye 'viruses'.Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza Corona ni kirusi au bacteria?
Niliposikia kuwa ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata Corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda Corona ni bacteria.
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa.
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine.
Nilichogundua Corona ni aina fulani ya mafua inayoshambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukweli Bado nachunguza Kama Corona ni kirusi na kama kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokana na mazingira iweje kunawa maji kuwa suluhisho la Corona?
Na je kwanini tunaambiwa tusivae mask kama siyo wagonjwa wakati ni vigumu kumtambua mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unakuja na takwimu za kweli ..... Africa waliofariki na corona hawafiki hata 20 we unatuambia 200 ..... Wakati wanaoumwa tuu hawafiki hata 200Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza Corona ni kirusi au bacteria?
Niliposikia kuwa ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata Corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda Corona ni bacteria.
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa.
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine.
Nilichogundua Corona ni aina fulani ya mafua inayoshambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukweli Bado nachunguza Kama Corona ni kirusi na kama kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokana na mazingira iweje kunawa maji kuwa suluhisho la Corona?
Na je kwanini tunaambiwa tusivae mask kama siyo wagonjwa wakati ni vigumu kumtambua mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza Corona ni kirusi au bacteria?

Huja fanya utafiti wakutosha kuhusu corona...Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza Corona ni kirusi au bacteria?
Niliposikia kuwa ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata Corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda Corona ni bacteria.
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa.
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine.
Nilichogundua Corona ni aina fulani ya mafua inayoshambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukweli Bado nachunguza Kama Corona ni kirusi na kama kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokana na mazingira iweje kunawa maji kuwa suluhisho la Corona?
Na je kwanini tunaambiwa tusivae mask kama siyo wagonjwa wakati ni vigumu kumtambua mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani dr wetu mtafiti hapo juu hii elimu hana.Kaka unaleta imagnation zako kwenye mambo yanayohitaji tafiti....umeshiba vitumbua nadhani ...unajua mechanism ya virusi ...ilivyo sio
Virus wanasifa tofauti tofauti ....Virusi (kutoka Kilatini virus, yaani "sumu“) ni chembe ndogo sana iliyoundwa na maada jenetiki, kama ADN au ARN, katika koti la proteini.
Virusi vinahitaji msaada wa seli za viumbehai ili kutengeneza chembe nyingine za virusi.
Wakati mwingine huhesabiwa kati ya vidubini, lakini wataalamu wengi wanakanusha kwamba ni viumbehai kwa sababu haziwezi kuzaa vyenyewe pia havina metaboli. Si seli yenyewe, lakini vina sehemu za kiini cha seli.
Virusi vinaingia katika seli ya kiumbehai, kama mmea au mnyama au binadamu, na kutumia seli hiihii kuzaa, yaani kujizidisha mara elfu kadhaa. Tendo hili linasababisha vurugu ndani ya seli za mwenyeji, inayoonekana kama hali ya ugonjwa.
Hadi sasa kuna aina za virusi zaidi ya 5000 zilizotambuliwa.
Takriban virusi vyote ni vidogo kuliko bakteria na huonekana tu tangu kupatikana kwa hadubini ya kielektroniki. Lakini mwaka 2014 virusi vikubwa sana, ukubwa wa bakteria ndogo, vimeelezwa: Pithovirus sibericus. Vinaambukiza amiba.
Muundo wa virusi una sehemu mbili pekee: uzi wa ADN au ARN halafu koti la proteini la kulinda uzi huo. Kwa kawaida ADN au ARN ya virusi ina jeni chache kwa kulinganisha na viumbehai, kama makumi kadhaa. Lakini virusi kama Pithovirus na Pandoravirus vina mamia ya jeni.
Ambukizo la virusi katika wanyama na watu husababisha itikio la kingamwili unaoelekea kuua virusi. Lakini mjibizo huu, unaoonekana mara nyingi kwa homa, unaweza kudhoofisha mwili na kuleta hali ngumu hadi kifo. Virusi hatari zaidi ni vile vinavyohama kutoka kwa mnyama kumwathiri binadamu; hivyo huitwa virusi vya zoonosia.
Ni vigumu kupata dawa za virusi kwa sababu virusi huishi ndani ya seli za mwili wa mwenyeji, hivyo kuna hatari ya dawa kusababisha hasara kwa seli zenyewe. Kuna virusi kadhaa ambavyo chanjo kimegunduliwa ingawa hakikingi asilima 100 maana virusi huwa na uwezo wa kubadilika haraka.
Kati ya magonjwa yanayosababishwa na virusi kuna influenza (homa ya mafua) na pia UKIMWI. Aina kadhaa za virusi zinaweza kusababisha saratani.
sent from toyota Allex
Hii idadi ya wagonjwa 6 badala ya 5 inakujajeNimeshakwambia kilichopelekea nijue ni wao ni simple kwa sababu hao ndio walikuwa kwenye hizo nchi na wenyewe wamethibitisha kuwa wana COVID-19, sasa unapata tabu vipi kuanza kufikiri hawa ni wapya sio wale waliotangazwa na mamlaka asubuhi.
Walichofichwa kipi?
Kwani wale wengine walipotajwa tulitajiwa majina yao. Si tuliambiwa tu uraia wao.
Msipende kufikilia kisiasa kila pahala.
Wakati unaendelea kufanya utafiti wako,tungependa kujua na taaluma yako labda itatushawishi kusubiri kazi ya utafiti wako.Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza Corona ni kirusi au bacteria?
Niliposikia kuwa ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata Corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda Corona ni bacteria.
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa.
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine.
Nilichogundua Corona ni aina fulani ya mafua inayoshambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukweli Bado nachunguza Kama Corona ni kirusi na kama kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokana na mazingira iweje kunawa maji kuwa suluhisho la Corona?
Na je kwanini tunaambiwa tusivae mask kama siyo wagonjwa wakati ni vigumu kumtambua mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mkuu wataalam wote magwiji wa afya kutoka nchi mbalimbali zenye tamaduni , deaturi na mila tofauti wamethibitisha ni VIRUS ila wewe nd'o umeamua kwenda ant - clockwise?!! Kuna kinaitwa WHO nafikiri unakifahamu nd'o kimetengeneza jina la COVID - 19 halafu wewe bado unaweza kusema ni BACTERIA ?!! Pia unapotosha kusema unaenea kwa hewa . Sasa issue ingekuwa inasambaa kwa hewa tungesisitizwa mambo ya kunawa mikono ? Jaribu kutulia mkuu naona COVID - 19 imekuathiri kivingine .Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza Corona ni kirusi au bacteria?
Niliposikia kuwa ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata Corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda Corona ni bacteria.
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa.
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine.
Nilichogundua Corona ni aina fulani ya mafua inayoshambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukweli Bado nachunguza Kama Corona ni kirusi na kama kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokana na mazingira iweje kunawa maji kuwa suluhisho la Corona?
Na je kwanini tunaambiwa tusivae mask kama siyo wagonjwa wakati ni vigumu kumtambua mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza Corona ni kirusi au bacteria?
Niliposikia kuwa ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata Corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda Corona ni bacteria.
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa.
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine.
Nilichogundua Corona ni aina fulani ya mafua inayoshambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukweli Bado nachunguza Kama Corona ni kirusi na kama kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokana na mazingira iweje kunawa maji kuwa suluhisho la Corona?
Na je kwanini tunaambiwa tusivae mask kama siyo wagonjwa wakati ni vigumu kumtambua mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Baridi?Ndio kusema mbeya,arusha wajiandae?Korona haienei kwa njia ya hewa. Corona ni vijidudu vinavyoishi katika mazingira ya baridi. Vimelea vya corona haviishii katika mazingira ya joto.