Wakati Bank wanakuita mteja,
TRA wanakuita Mlipa kodi,
Dini yako wanakuita Muumini,
TV wanakuita mtazamaji,
Radio wanakuita msikilizaji,
Hotel wanakuita Mgeni
Wanasiasa wanakuita mpiga kura,
Kwenye gari wanakuita abiria
Mungu katika Isaya 43:1 anakuita wewe u wangu..tena nimekuita kwa jina lako...