Kwani ripoti ya PAC, aliichambua kwa sababu ya chadema au kwa sababu ya bunge? Hio ni gea ya kutaka zitto alegeze msimamo ili aje bila masharti hapana ,lazima mbowe asimame hadharani aombe radhi.....na pia ztto lazima arejeshewe vyeo vyake vyote ndani ya chama.
Maswali kwa pande zifutazo. 1. Je nikweli tanesco haikugundua huu wizi tokea 2002 au walinyamazia? Kwa ninin wamiliki IPTL hawatajwi sana kwenye hili kwani wao hawana makosa? Kama account ilikua hai tokea 2002,nani ajitokeze anieleze kua RICHMOND NA DOWANS hawausiki? Kama acount ilikua hai tokea...
Hongera prof.shujaa cku zte hutetea na huwasemea watu wa makundi yote,siasa inakutaka uwe mnafiki kama hv,lkn ukijifanya eti ww una msimamo (radical ) utafia njaa.tafuta mboga ya wanao,time is money mkumbo,,ila jitahid wasikupige kumbo hao unawapamba
Hujaonyesha ushahidi yakinifu ni kwa namna 6 ameungana na mafisadi,na pia utuonyeshe namna gani mafisadi wamempokea sitta, tazama kauli zko maana hao unawaita mafisadi hakuna hukumu ya mahakama,chenge,lowaasa na rostam hao wte wametumwa na vigogo zaid,wao walitumika tu kusafisha njia ya uchotaji...
Kwann unatuongelea cc wananchi juu ya mgombea tumtakae? Huu si muda wa kusema fulan hafai,mambo hua yanabadilika na binadamu tunabadilika,hiii ppolitics,inawezekana makonda asifae kitabia lkn akatufaa kisiasa,vigezo vya mtu kua kiongozi(mbunge ) ni tofauti na vigezo vya mtu ane takia kuoa,ww...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.