William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,377
huy jamaa bwe$ge kweli,hela ya ccm au kodi zetu?
- Genius umekuja mbio kumjibu -----? hahahahahahahaha
Le Mutuz
huy jamaa bwe$ge kweli,hela ya ccm au kodi zetu?
- Warioba ajiunga na Upinzani hawezi kuwa Mwanachama wa CCM halafu akapingana na CCM haijawahi kutokea Duniani, unafukuzwa chama mara moja!!
Le Mutuz
waliojiandikisha kupiga kura=...
waliopiga kura=...
kura za ndiyo=...
kura za hapana=...
kura zilizoharibika=...
sijui kwanini takwimu huwa zinaainisha namna hiyo badala ya kusema kura zote ni za ndiyo!!
kama kuna idadi ya kura za hapana maana yake wapo waliomkataa na ndio maana hakupata idadi ya kura zote za waliopiga kura, alishinda kwa sababu kura za ndiyo zilizidi kura za hapana na kukidhi idadi inayotakiwa kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, elewa hivyo wewe mburulaz!
jibu hoja wewe acha kunya pembeni!
Punguza mipasho babu,ongea kama kama wazee wenzako jibu kwa hoja.
wewe tayari ni mjinga tu umekulia maisha ya kifala ndomana una kosa maarifa...- Nikijbu nitakuwa kama wewe jipime mkuu mzima wewe kweli? hahahahaha
Le Mutuz
- Na wewe genius umekuja kumjibu mburulazzzzz jamani JF leo kimetokea nini huko hahahahaha
Le Mutuz
- Another genius hahahahaha
Le Mutuz
- Kaka umeanza tena matusi yako si ulisema unataka niache kumshambulia mgombea wako Lowassa kwa sababu nina nguvu sana na niache kumshambulia kwenye blog yangu leo yamekuwa haya, karibu sana mkuu sana si unajua kwamba I love this hahahahahahah,
- Wananchi wa Tanzania hawajamwambia Warioba kwamba wanataka Serikali 3 mimi sijawahi kuwmambia Warioba ninataka Serikali 3 labda anazungumzia wananchi wa UKAWA, hivi kwani ili Lowassa apate huo urais mnaoutaka ni lazima mumvuruge Rais wa sasa?
Le Mutuz
wewe hutaki serikali 3 ila wananchi walio wengi walitoa maoni yao wanata serikali 3 na report ya kisayansi iliyotolewa na Tume ya jaji warioba imeweka wazi na ccm mmenajisi maoni ya umma.
Kuhusu lowasa mnatakiwa mumpasue ili mpasuke naye na chama chenu vizuri sisi UKAWA tukija tunawanawa very easy.
Kaka lazima akubali alichofanya Makonda pale ukumbini kwani according to Makonda mwenyewe hata huyu mtoto wa WM mstaafu Jumenne Malecela alikuwepo kwenye ule mkutano wa Serena.
Watoto wa vigogo hawa bwana wanaakili za nzi.
Warioba ni Kiongozi wa Taifa mstaafu aliyekuwa amewahi kushika nafasi nyingi na kubwa sana za Taifa ikiwa na maana alipokuwa Makamu wa Kwanza wa Rais angeweza kushika Urais kama anything could have happened to the President.
Kinachoshangaza na kuhuzunisha ni jinsi Warioba ambavyo amekuwa na msimamo wa kuipinga CCM na Serikali yake baada ya kuvitumikia kwa uaminifu mkubwa karibu robo tatu ya maisha yake hapa Duniani, amekuwa akililia Serikali Tatu kitu ambacho sasa kinamfanya aonekane kwamba Rasimu na Tume yake nzima walikuwa na agenda ya siri maana haiwezekani kwamba kazi yake ilikuwa kupokea mawazo ya wananchi sasa
Dawa yao inachemka, iko siku watalia na kusaga meno...
- Ona huyu naye emty head kaja kujibu arguments za chekechea so ina maana na wewe ni checkechea kama mimi? hahahahahahahahahah ipi bora kulamba viatu vya chama tawala au Chadema? maana lazima wewe unawalamba Chadema ndio maana umesema au? hahahahaha
Le Mutuz