Werema, Maswi, Mboma wapumulia mashine

Werema, Maswi, Mboma wapumulia mashine

Mahakama gani imeamua kesi ya hao wezi, hii nchi inaongozwa na sheria. Tuhuma zimetolewa uchunguzi umeanzishwa na umekamilika, ripoti zimekabidhiwa kwa kamati husika, wakimaliza kuifanyia kazi inapelekwa bungeni wabunge wanajadiri, ya PCCB inapelekwa kwa mwendesha mashitaka kama kuna mtuhumiwa atafikishwa mahakamani. Hizi ndio taratibu, taratibu za kisheria hazina ushabiki kama wakwako.
Mimi nimesema mijizi itachoropoka hivi hivi kwa msaada ya watu kama wewe.Uchunguzi utafanyika zitapigwa kona wee then ushahidi hautatosha.Kesi zinaisha au nasingizia.Bilion 300's hizo ndio basi tena ukiona mijitu kama nyie mnahoji mtuhumiwa mpk sijui mahakama iamue yaani taabu tuu.
Angalia nchi zinazojua hela ya umma ni sumu China huko yaani kesi fasta umetajwa kesi mara moja kitanzi sio hapa rais atakenua wee mijizi inaranda randa tuu utasikia kifungo mwaka 1 au 2.Mfano mzuri si Liumba leo hii yupo mtaani hana presha utadhani hakuiba.
Ipo siku tuu hata libya Ghadafi alijua angetawala milele ila kafa kama Mbwa koko na hawa mijizi ya mali za Umma ipo siku tuu.
 
Sakata la IPTL

Umoja wa Ulaya warejea ukoloni mamboleo
¬ Wasimamisha misaada ya maendeleo
¬ Wasaliti washangilia
¬ Serikali yatakiwa kuyashitaki makampuni na mabenki

UMOJA wa Ulaya kwa pamoja na baadhi ya nchi wanachama wake moja moja zimeamua kusitisha au kusimamisha kwa muda utoaji misaada kwa Tanzania kwa madai kwamba haziridhishwi na mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi ndani ya serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Nchi zilizotajwa ni Sweden, Finland, Norway, Marekani na Uingereza. Ni katika nchi hizi mabenki na makampuni ambayo kwa namna moja au nyingine yanahusika katika mgogoro wa ufisadi wa IPTL yana makao makuu yake. Na ni katika nchi hizo kwamba makampuni yaliyoko kwenye mgogoro yalifungua kesi mbalimbali na kudai mabilioni ya fedha dhidi ya kampuni ya VIP Engineering and Marketing na serikali ya Tanzania kuhusu mambo mbalimbali yanayohusiana na mradi wa kufua umeme wa IPTL na hasa suala la akaunti ya ESCROW. Kiasi cha dola za kimarekani milioni 125 zilikuwa zimewekwa katika akaunti ya ESCROW iliopo Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Tumemuona Balozi wa Uingereza akiamsha bendera nyekundu kwa madai kwamba anatetea maslahi ya Benki ya Uingereza ambayo eti ilinunua madeni ya IPTL na hivyo inadai fedha zilizokua zimewekwa kwenye Akaunti ya ESCROW.
Kampuni ya IPTL lilikuwepo siku zote na benki ya Standard Chartered inajua matatizo yote ya ufisadi yaliyoibuliwa katika Mahakama mbalimbali pamoja na ripoti za maofisa wafilisi wa muda wa kampuni ya IPTL hapa nchini. Ikitokea kwamba IPTL na washirika wake wakatiwa hatiani, je kwa vipi Standard Chartered itakwepa mashtaka?

Katika nyakati tofauti Mahakama za Kimataifa na mahakama za kawaida katika nchi za Magharibi zimetoa hukumu na maelekezo kwa kampuni zinazoshitakiana. Baadhi ya maelekezo ya mahakama ya New York ni yale yanayosema kwamba kesi nyingine zingelifunguliwa Tanzania kwa sababu mahakama yake ina uwezo wa kusikiliza mashauri hayo.
Mahakama nyingine Uingereza iliagiza fedha hizo zibaki kwenye akaunti ya ESCROW mpaka mfumo mwafaka wa ukokotoaji utakapopatikana. Hakuna mfumo wa ukokotoaji unaoweza kupatikana nje ya wahusika katika IPTL ambao ni wale walionunua hisa za Mechmar ambayo ilikuwa na asilimia 70% na VIP Engineering and Marketing iliyokuwa na asilimia 30%.
Na hicho ndicho kilichofanyika baada ya PAP ambayo ilinunua hisa za Mechmar katika IPTL kununua hisa za VIP Engineering and Marketing na kukubali kubeba madeni halisi ambayo IPTL itakuwa inadaiwa, kuongeza uzalishaji wa umeme kutoka megawati 100 kufikia megawati 500 na pia kupunguza bei ya umeme ambao kampuni hiyo inaiuzia TANESCO.
Awali Mahakama za usuluhishi za kimataifa kama ICSD ambapo shauri kati ya TANESCO na IPTL lilipelekwa kufafanuliwa ni kiasi gani IPTL iliwekeza ili kiasi cha capacity charge kieleweke. Uamuzi wa Mahakama hiyo ulimaliza ubishi kati ya TANESCO na IPTL na kuweka kiwango cha malipo ya dola za kimarekani milioni 2.6 na hivyo kuweka wazi kuhusu malipo kwenye akaunti ya ESCROW yanatoka wapi. Kufuatana na nyaraka zilizopo, fedha zote zilizoingizwa kwenye Akaunti ya ESCROW zilitokana na IPTL kuuza umeme TANESCO kwa kiasi kilichokubaliwa.
Jambo ambalo limesababisha hatua hizo kuchukuliwa, zinahusu jinsi fedha zilizohifadhiwa katika akaunti maalum ya ESCROW kutokana na malipo ya mauzo ya umeme iliyoyafanya kampuni ya IPTL kwa TANESCO zilivyoidhinishwa kuchukuliwa.
Kuna baadhi ya watu wasaliti na hata ya baadhi ya vyombo vya habari kushangilia jambo hilo la Umoja wa Ulaya kurejea kutoa misaada kwa masharti ya kisiasa. Wakati mageuzi ya kiuchumi yana anza katikati ya miaka ya 1980, sera za kurekebisha uchumi ambapo Tanzania ilianza kupata misaada kutoka mashirika ya fedha duniani yaani IMF na Benki ya Dunia, ilikuwa lazima misaada ya kiuchumi kutolewa kwa masharti ya nchi husika kutekeleza masharti ya kisiasa.
Baadhi ya masharti ya kisiasa yalikuwa kwamba ni kuachana na itikadi na sera za Ujamaa na Kujitegemea, kuwanyang'anya mawaziri madaraka na kuyaweka mikononi mwa watendaji wakuu na warasimu serikalini na pia kukubali mfumo wa vyama vingi vya siasa na tafsiri ya utawala bora ambayo inatolewa na mashirika ya kimataifa kwa muktadha wa siasa na itikadi za kiliberali.

Kutoa misaada kwa masharti ni jambo ambalo nchi nyingi za Afrika na nyinginezo katika maeneo ya nchi changa zilikuwa zinayakataa. Sababu ya kukataa ni kwamba kila nchi ina historia yake, utamaduni wake, na mchakato wake katika kupata, kulinda na kuboresha uhuru wake na kutengeneza mazingira ya kupata maisha bora kwa watu wake.
Kwamba kila nchi na kila taifa hupitia majaribu yake ambayo kwa namna moja au nyingine yanatengeneza makovu na vilevile mafunzo kuhusiana na kwa vipi taifa linajiamirisha na kujitengenezea ustaarabu wake bila kudhibitiwa na nguvu kutoka nje.
Vita ya kupambana dhidi ya kuwekewa masharti katika kupata mikopo na misaada imepiganwa na viongozi wetu akiwemo Mwalimu Julius Nyerere ambapo katika nyakati tofauti aliwahi kuhoji tangu lini Shirika la Fedha la Dunia (IMF) liligeuka kuwa wizara ya fedha ya nchi wanachama?
Katika hali isiyo ya kawaida nchi za Umoja wa Ulaya zimeanza kuinua vichwa na kutaka kurejesha mfumo wa masharti katika kutoa misaada yake. Kama ni kuamua kusitisha kutoa misaada kwa sababu za kiuchumi na kifedha au kutokana na kubadilisha mikakati ya mahusiano ya kiuchumi kati ya nchi na nchi, hilo linawezekana. Na wakati mwingine inawezekana kabisa kupunguza kutoa misaada kutokana na mtikisiko wa uchumi duniani kama ilivyotokea kati ya mwaka 2007 mpaka 2011.

Lakini ni jambo la kishenzi kusimamisha kutoa misaada kwa sababu ya tukio moja ambapo nchi husika zina maslahi katika jambo hilo na hasa kwa kuzingatia kwamba mabenki na mashirika ya nchi hizo kwa namna moja au nyingine yanahusika katika kutengeneza mgogoro.
Ni jambo la ajabu kwamba wakati watu wanashikilia suala la akaunti ya ESCROW ya IPTL kuwa na utata, mkataba wenyewe hauna chembe ya utata na unatamka wazi kwamba fedha zilizowekwa kwenye akaunti ya ESCROW ni mali ya IPTL na serikali ya Tanzania wakati Benki Kuu ni wakala anayetunza akaunti hiyo.
Kwa vipi nchi za Magharibi ambazo zinajua ukweli wa kuhusika kwa mabenki na makampuni yao katika mgogoro wa kifisadi wa IPTL zinatoa shutuma kwa Tanzania na kutoa masharti ya kupata misaada badala ya kushirikiana na Tanzania kuziweka kizimbani kampuni na benki zinazohusika katika mgogoro wa kifisadi wa IPTL?
Katika madai na hukumu zilizokwisha kutolewa nje ya nchi, udhalimu wa IPTL ulikuwa unaibuliwa hasa kuhusiana jinsi wakurugenzi wa kampuni hiyo kwa kushirikiana na mabenki ya nje na wakora walivyokuwa wanatumia njia za kihalifu kuparanganya mahesabu na kufanya kama vile IPTL imekopeshwa fedha kumbe hayo ni madeni hewa ambayo inabebeshwa IPTL.

Wanaonufaika ni wakurugenzi binafsi wa Mechmar na wakurugenzi wa mabenki ya kimataifa.
Kwa mfano tangu mitambo ya IPTL ilipoanza kufua umeme, kiasi kikubwa cha fedha zaidi ya dola milioni 200 zilikuwa zimelipwa kwa IPTL kabla ya kufunguliwa akaunti ESCROW Benki Kuu ya Tanzania.

Fedha hizo zilikuwa ni kiasi kinachotosha kulipa madeni ya IPTL. Kwa vipi wakurugenzi wa IPTL na Benki ya Standard Chartered waliamua kutotumia fedha iliyopatikana kulipa madeni kwa wadai ni kitendawili.
Lakini habari za uhakika zinasema kwamba wakurugenzi wa kampuni ya Merchmar ambayo ilikuwa na hisa nyingi katika IPTL kwa kushirikiana na wakurugenzi wa Benki ya Standard Chartered waliamua kuzungusha fedha walizolipwa na TANESCO badala ya kulipa deni. Kwa upande mmoja watakuwa wamepata faida binafsi na kwa upande mwingine watakuwa wameongeza madeni kwa IPTL na kuchelewesha kupanua uwezo wa IPTL kufua umeme zaidi kwa kutumia gesi badala ya mafuta mazito na kupunguza gharama za uzalishaji.

Sakata la IPTL halikuanza leo ambapo Umoja wa Ulaya na baadhi ya wanachama wake wameamua kusitisha misaada. Tangu awali bendera nyekundu ilishaonyeshwa kwamba kampuni ya Mechmar ambayo ilikuwa inamiliki asilimia 70% ya hisa zote katika IPTL kwa kushirikiana na mabenki na makampuni ya uhandisi yaliyoko Umoja wa Ulaya yalikuwa yamesuka njama za kifisadi kwa madhumuni ya kuhamisha mtaji kutoka Tanzania kwa kubuni madeni hewa na kuzidisha viwango vya uwekezaji ili TANESCO ilipe kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya Capacity charge.
Benki zilizohusika ni benki ya Standard Chartered ya Uiengereza yenye matawi yake Hong Kong, Malysia na Tanzania na kampuni ya Uhandisi ya Watsilla ya Uholanzi na Finland ambayo ilikuwa na kazi ya kusanifu, kufunga na kusimamia mitambo hapa nchini. Kwa nyaraka zilizopo mabenki na makampuni hayo yamehusika kwa kiasi kikubwa katika kukuza mgogoro wa IPTL na kusababisha hasara kubwa kwa maslahi ya Tanzania.
Benki na kampuni hizo kwa nyaraka tofauti yalikuwa yanaghushi nyaraka na kushuhudia uongo kuhusiana na gharama halisi za kununua mitambo na kutoa huduma nyingine za kiufundi na pia kuhusiana na uchukuaji na urejeshaji madeni kwa njia za ujanjaujanja.
Habari za kampuni ya IPTL kuwa na mkakati wa kifisadi ndani na nje ya nchi zilianza kujitokeza tangu mwaka 2002 ambapo kampuni ya VIP Engineering and Marketing ya wazawa ikiwa na asilimia 30% katika IPTL iliyoingia ubia na kampuni yaMechmar ya Malysia kupeleka kesi mahakamani ikitaka itolewe amri ya mahakama ya kuifilisi IPTL ili ubia ufikie kikomo na kila mmoja alipwe haki zake kwa kulingana na hisa alizokuwa nazo na pia faida iliyopatikana.
Kwa upande mwingine mkataba huo unaelekeza namna ya kuingiza pesa zitokanazo na mauzo ya umeme kwa TANESCO, kutoa pesa kwa ajili ya kuwekeza pesa hizo katika miradi mbalimbali na kwa vipi faida itakayopatikana inakwenda kwa nani.

Katika gazeti moja la kila juma (siyo Taifa Imara) liliandika makala iliyosomeka kwamba, "BOT iliwekeza dola za Marekani milioni 22 nchini Ufaransa, iliwekeza shilingi bilioni 48, katika Hati Fungani (Treasury Bills) za siku 182 na shilingi bilioni 8, zilikuwa salio katika akaunti zilizowasilishwa baada ya uwekezaji kufanyika"
Waandishi wa makala hiyo inayozungumzia BOT kutumia kiasi cha pesa za akaunti ya ESCROW kuwekeza katika masoko ya mitaji ndani na nje ya nchi ni jambo ambalo limo katika mkataba wa kuanzishwa kwa akaunti ya ESCROW. Vinginevyo fedha hizo zingekuwa na faida gani kama zingebaki kuwa mtaji mfu (dead capital).
Vipi upo kwenye list nini yaani lazima mijizi tule kichwa mmezidi?
 
Cha moto watakiona, wezi wakubwa...mara mtoto wa mkulima, mara kumwita mbunge tumbili, mara sio fedha za umma....

Now THE TRUTH IS CLEAR....TSHS 321 Billions ni za UMMA, zatakiwa zirudi TANESCO.....wahuni, wezi wamezichota na kubaki kuhonga kila mtu, media, majaji, bloggers JUST TO LIE PUBLIC....mmanyoko zenu mtakoma....!!!!

Tshs... 321, 000, 000, 000.00 /= RUDISHENI HARAKA
 
Maswali kwa pande zifutazo. 1. Je nikweli tanesco haikugundua huu wizi tokea 2002 au walinyamazia? Kwa ninin wamiliki IPTL hawatajwi sana kwenye hili kwani wao hawana makosa? Kama account ilikua hai tokea 2002,nani ajitokeze anieleze kua RICHMOND NA DOWANS hawausiki? Kama acount ilikua hai tokea 2002, kwanini walioingizwa mtegoni ni wachache? Wangapi wamepita na wameshika wa uaziri mkuu na uanasheria mkuu?
Nani shujaa na mchambuzi aje aseme kua mkuu wa nchi hausiki?(ikumbukwe kua yeye ni mkuu wa nchii hvyo mikataba nyeti yote lazima aijue ) Nani haamini kua wawekezaji hawa wa nishati waligubdua udhaifu wetu wa kutokujua kusoma na kupitia na ku negoshieti mikataba tangu awali hata kabla ya 2002? Mwaka 2002,ni mwaka ambao Raisi mkapa alikua madarakani,je nikweli hausiki?Mwisho kati machache nilio nayo, Je sakata hili halina uhusiano na mbio za uraisi?kama sivyo kwanini limeibuliwa mda huu?
NAWASILISHA. jibu sipendi maswali
 
Vipi upo kwenye list nini yaani lazima mijizi tule kichwa mmezidi?

Unataka niwe na mawazo mfu kama ya kwako??

Umoja wa Ulaya warejea ukoloni mamboleo
¬ Wasimamisha misaada ya maendeleo
¬ Wasaliti washangilia
¬ Serikali yatakiwa kuyashitaki makampuni na mabenki

UMOJA wa Ulaya kwa pamoja na baadhi ya nchi wanachama wake moja moja zimeamua kusitisha au kusimamisha kwa muda utoaji misaada kwa Tanzania kwa madai kwamba haziridhishwi na mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi ndani ya serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Nchi zilizotajwa ni Sweden, Finland, Norway, Marekani na Uingereza. Ni katika nchi hizi mabenki na makampuni ambayo kwa namna moja au nyingine yanahusika katika mgogoro wa ufisadi wa IPTL yana makao makuu yake. Na ni katika nchi hizo kwamba makampuni yaliyoko kwenye mgogoro yalifungua kesi mbalimbali na kudai mabilioni ya fedha dhidi ya kampuni ya VIP Engineering and Marketing na serikali ya Tanzania kuhusu mambo mbalimbali yanayohusiana na mradi wa kufua umeme wa IPTL na hasa suala la akaunti ya ESCROW. Kiasi cha dola za kimarekani milioni 125 zilikuwa zimewekwa katika akaunti ya ESCROW iliopo Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Tumemuona Balozi wa Uingereza akiamsha bendera nyekundu kwa madai kwamba anatetea maslahi ya Benki ya Uingereza ambayo eti ilinunua madeni ya IPTL na hivyo inadai fedha zilizokua zimewekwa kwenye Akaunti ya ESCROW.
Kampuni ya IPTL lilikuwepo siku zote na benki ya Standard Chartered inajua matatizo yote ya ufisadi yaliyoibuliwa katika Mahakama mbalimbali pamoja na ripoti za maofisa wafilisi wa muda wa kampuni ya IPTL hapa nchini. Ikitokea kwamba IPTL na washirika wake wakatiwa hatiani, je kwa vipi Standard Chartered itakwepa mashtaka?

Katika nyakati tofauti Mahakama za Kimataifa na mahakama za kawaida katika nchi za Magharibi zimetoa hukumu na maelekezo kwa kampuni zinazoshitakiana. Baadhi ya maelekezo ya mahakama ya New York ni yale yanayosema kwamba kesi nyingine zingelifunguliwa Tanzania kwa sababu mahakama yake ina uwezo wa kusikiliza mashauri hayo.
 
Wee kenge tunakujua, ----------- hadi ma.kalio yako umeuza....kazi ku copy na ku paste...!!!

Watu kama ww ni kuua na kuchoma moto na majivu yako kutupa baharini ktk kina kirefu upotea ktk nchi yetu Tz....

Useless pu.ssy

Mahakama gani imeamua kesi ya hao wezi, hii nchi inaongozwa na sheria. Tuhuma zimetolewa uchunguzi umeanzishwa na umekamilika, ripoti zimekabidhiwa kwa kamati husika, wakimaliza kuifanyia kazi inapelekwa bungeni wabunge wanajadiri, ya PCCB inapelekwa kwa mwendesha mashitaka kama kuna mtuhumiwa atafikishwa mahakamani. Hizi ndio taratibu, taratibu za kisheria hazina ushabiki kama wakwako.
 
Unataka niwe na mawazo mfu kama ya kwako??

Umoja wa Ulaya warejea ukoloni mamboleo
¬ Wasimamisha misaada ya maendeleo
¬ Wasaliti washangilia
¬ Serikali yatakiwa kuyashitaki makampuni na mabenki

UMOJA wa Ulaya kwa pamoja na baadhi ya nchi wanachama wake moja moja zimeamua kusitisha au kusimamisha kwa muda utoaji misaada kwa Tanzania kwa madai kwamba haziridhishwi na mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi ndani ya serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Nchi zilizotajwa ni Sweden, Finland, Norway, Marekani na Uingereza. Ni katika nchi hizi mabenki na makampuni ambayo kwa namna moja au nyingine yanahusika katika mgogoro wa ufisadi wa IPTL yana makao makuu yake. Na ni katika nchi hizo kwamba makampuni yaliyoko kwenye mgogoro yalifungua kesi mbalimbali na kudai mabilioni ya fedha dhidi ya kampuni ya VIP Engineering and Marketing na serikali ya Tanzania kuhusu mambo mbalimbali yanayohusiana na mradi wa kufua umeme wa IPTL na hasa suala la akaunti ya ESCROW. Kiasi cha dola za kimarekani milioni 125 zilikuwa zimewekwa katika akaunti ya ESCROW iliopo Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Tumemuona Balozi wa Uingereza akiamsha bendera nyekundu kwa madai kwamba anatetea maslahi ya Benki ya Uingereza ambayo eti ilinunua madeni ya IPTL na hivyo inadai fedha zilizokua zimewekwa kwenye Akaunti ya ESCROW.
Kampuni ya IPTL lilikuwepo siku zote na benki ya Standard Chartered inajua matatizo yote ya ufisadi yaliyoibuliwa katika Mahakama mbalimbali pamoja na ripoti za maofisa wafilisi wa muda wa kampuni ya IPTL hapa nchini. Ikitokea kwamba IPTL na washirika wake wakatiwa hatiani, je kwa vipi Standard Chartered itakwepa mashtaka?

Katika nyakati tofauti Mahakama za Kimataifa na mahakama za kawaida katika nchi za Magharibi zimetoa hukumu na maelekezo kwa kampuni zinazoshitakiana. Baadhi ya maelekezo ya mahakama ya New York ni yale yanayosema kwamba kesi nyingine zingelifunguliwa Tanzania kwa sababu mahakama yake ina uwezo wa kusikiliza mashauri hayo.
Hapa umepost siasa hao wezi ndio wanatakiwa sana.Tunajua wazungu wanavutia kwao lakini tunaitaka mijizi ya kiswahili iliyoshirikiana na hao.Richmond walisave,Rada change ikarudi ila hii lazima tule kichwa.Wewe umepost story wakati muda wake ushaisha.Ripoti ipo kwa Kamati ya Kinazitto tunasubiri ije bungeni.Hayo mengine kelele tuu hii nchi ukishaacha siasa upenyo tuu mnatoroka.BUT NOT THIS TIME
 
Pinda must Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
naona we punguwani unafikiria ni jinsi gani fisadi lowassa atakavyopenya kuteuliwa na ma-ccm. ndo maana uko bize kuwatukana wanaohatarisha kitumbua cha bosi wako. upuuzi kabisa.
 
Mimi nimesema mijizi itachoropoka hivi hivi kwa msaada ya watu kama wewe.Uchunguzi utafanyika zitapigwa kona wee then ushahidi hautatosha.Kesi zinaisha au nasingizia.Bilion 300's hizo ndio basi tena ukiona mijitu kama nyie mnahoji mtuhumiwa mpk sijui mahakama iamue yaani taabu tuu.
Angalia nchi zinazojua hela ya umma ni sumu China huko yaani kesi fasta umetajwa kesi mara moja kitanzi sio hapa rais atakenua wee mijizi inaranda randa tuu utasikia kifungo mwaka 1 au 2.Mfano mzuri si Liumba leo hii yupo mtaani hana presha utadhani hakuiba.
Ipo siku tuu hata libya Ghadafi alijua angetawala milele ila kafa kama Mbwa koko na hawa mijizi ya mali za Umma ipo siku tuu.

Siyo mzima wewe. Umeshindwa kuelewa hoja ndogo tu uliyojengewa! Umehojiwa huyo mwizi amehukumiwa kwa mahakama gani? Acha ushabiki.
 
macho yetu wazalendo wa nchi hii yapo kwako Mkuu Zitto, Mkuu filikonjombe na Mkuu Ally Kessy. tafadhalini watendeeni haki wa Tanzania.
 
Hapa umepost siasa hao wezi ndio wanatakiwa sana.Tunajua wazungu wanavutia kwao lakini tunaitaka mijizi ya kiswahili iliyoshirikiana na hao.Richmond walisave,Rada change ikarudi ila hii lazima tule kichwa.Wewe umepost story wakati muda wake ushaisha.Ripoti ipo kwa Kamati ya Kinazitto tunasubiri ije bungeni.Hayo mengine kelele tuu hii nchi ukishaacha siasa upenyo tuu mnatoroka.BUT NOT THIS TIME

Kumbe unajua ripoti ipo kwa kamati husika, sasa hayo matokeo ya kamati wewe umeyatoa wapi? Usishabikie udaku sasa kama unajua ripoti haijawasilishwa bungeni, subiri hiyo 26/11 alafu rudi humu uniambie huu ujin,ga wako. Eti wezi acha kubeba ajenda zisizo na vichwa wala Masaburi.
 
macho yetu wazalendo wa nchi hii yapo kwako Mkuu Zitto, Mkuu filikonjombe na Mkuu Ally Kessy. tafadhalini watendeeni haki wa Tanzania.

Hawawezi kubadilisha kilichoandikwa kwenye ripoti lakini. Msije kuwahukumu wao matakwa yenu yasipotimia.
 
Cha moto watakiona, wezi wakubwa...mara mtoto wa mkulima, mara kumwita mbunge tumbili, mara sio fedha za umma....

Now THE TRUTH IS CLEAR....TSHS 321 Billions ni za UMMA, zatakiwa zirudi TANESCO.....wahuni, wezi wamezichota na kubaki kuhonga kila mtu, media, majaji, bloggers JUST TO LIE PUBLIC....mmanyoko zenu mtakoma....!!!!

Tshs... 321, 000, 000, 000.00 /= RUDISHENI HARAKA

Acha kutokwa povu wewe, President wa mirembe. Urudishiwe pesa gani? fedha za escrow siyo mali ya umma na hakuna chenji bado TANESCO INADAIWA.
 
Wee kenge tunakujua, ----------- hadi ma.kalio yako umeuza....kazi ku copy na ku paste...!!!

Watu kama ww ni kuua na kuchoma moto na majivu yako kutupa baharini ktk kina kirefu upotea ktk nchi yetu Tz....

Useless pu.ssy

Embu ukooo! kich/.aa wewe, usintoe kwenye topic.
 
Wee kenge tunakujua, ----------- hadi ma.kalio yako umeuza....kazi ku copy na ku paste...!!!

Watu kama ww ni kuua na kuchoma moto na majivu yako kutupa baharini ktk kina kirefu upotea ktk nchi yetu Tz....

Useless pu.ssy

Umepanic rais wa mirembe, tuliza kinund,u hicho dawa iingie. Wezi kubwa kwenye hii nchi ni Lowasa, Rostam na Mkono.
 
Hoja ya msingi hapa ni kwamba fedha imepotea katika mazingira yanayoonyesha kukosekana uadilifu....kwa maneno mengine wizi!
Sasa mnaong'ang'ania kuwa ati ripoti haikutaja wahusika kwa hiyo watu wasiseme kuhusu kuhusika kwa watu mbalimbali wakati huo ndio ukweli mnataka kusema nini? Whether ujanja ujanja utawacholopoa wahusika, au siasa kutumika kulizima hili bado haviondoi ukweli kwamba kuna wezi wamekwiba mkwanja na kujilimbikizia kwa njia za wizi! Msianze kulifiisha nguvu suala kubwa kama hili ati kwa visingizio vya sheria. ---------!
 
Baada ya kupokea ripoti hiyo, Zitto akihojiwa na waandishi wa habari, alisema wa kwanza kuhojiwa na kamati yake atakuwa ni CAG.Zitto alisema kwamba na kwamba kamati itafanya kazi iliyokabidhiwa na Ofisi ya Spika kwa siri.

Alisema watafanya kazi hiyo kwa siri kwa kuwa ndani ya suala hilo kuna mambo ya mahakama, hivyo wanaepuka kuingia katika malalamiko hapo baadaye ya mtu kuonewa na kwamba, watahakikisha wanatenda haki.

Zitto anatuacha kisanii hapo, kila mara alikuwa akisisitiza kuwa watuhumiwa watahojiwa mbele ya waandishi wa habari, leo anasema watawahoji kwa siri. Stuka mtanzania, lengo la hili zengwe ni watu kupata umaarufu wa kisiasa tu, Zitto alikuwa hajui kuwa mambo mengi ya IPTL yapo mahakamani?
 
Hoja ya msingi hapa ni kwamba fedha imepotea katika mazingira yanayoonyesha kukosekana uadilifu....kwa maneno mengine wizi!
Sasa mnaong'ang'ania kuwa ati ripoti haikutaja wahusika kwa hiyo watu wasiseme kuhusu kuhusika kwa watu mbalimbali wakati huo ndio ukweli mnataka kusema nini? Whether ujanja ujanja utawacholopoa wahusika, au siasa kutumika kulizima hili bado haviondoi ukweli kwamba kuna wezi wamekwiba mkwanja na kujilimbikizia kwa njia za wizi! Msianze kulifiisha nguvu suala kubwa kama hili ati kwa visingizio vya sheria. ---------!

Fedha haikupotea mkuu, fedha wamelipwa IPTL/PAP sababu ni fedha yao iliyokuwa imetunzwa kwenye tegeta escrow account, pale BOT. Wewe atajina la account linashabihiana na wamiliki wake IPTL ipo Tegeta, account inaitwa Tegeta escrow account. IPTL hawawezi kujiibia fedha zao wenyewe.
 
Tafadhali tusaidane hapa mkuu: pamoja na uelewa wangu mdogo, je hiyo nguvu yoote iliyotumika tangu kuanza kujengwa kwa hoja hii na maneno makali na mazito yanayorushwa humo Bungeni na kwenye vyombo vya habari, hadi leo inaitwa "sakata", "kashfa", na mengine mengi yaani hakuna dalili za upotevu wa fedha?
 
Back
Top Bottom