Recent content by Jeff lee

  1. Jeff lee

    Biashara ya viazi mviringo

    Vp kaka, bado unaendelea na biashara hii, nataka tufanye kazi
  2. Jeff lee

    Hivi mnaooa siku hizi huwa mnawazaga nini? Poleni sana!

    Amna kitu inaboa ka kuishi kibaharia maana kazi zote zako so kuna mda unakuta unamis at ue na mke wa kukushauri kukusaidia kazi na mambo ya kupeana raha kwa bed,,. Oa mshikaj ang
  3. Jeff lee

    Mke wangu mrembo ananichanganya akili. Naombeni ushauri ulio rafiki !

    Yan unabadili namba na bado anaoigiwa, my friend jiongeze tu hapo
  4. Jeff lee

    Mikopo ya halmashauri

    Aisee hata sisi tunafatilia hizo mambo, tumeshandaa katiba tukafanya na uchaguzi wa viongozi na kuwekeana viwango vya mkopo kwa kila mmoja sasa tunasubili mkaguzi aje ajiridhishe na biashara tuliyonayo, kikundi chetu kinaitwa Isaka youth Traders
  5. Jeff lee

    Kosa la Vijana wengi kabla ya sex

    😅😅 Watu mmechafukwa atar
  6. Jeff lee

    Baby my ex hana pakuishi anaomba ajihifadhi hapa kwetu.

    We uwajui watu kiundani, anang'ata huku anapuliza
  7. Jeff lee

    Simiyu: Polisi wa Bariadi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya BAWACHA

    2020 ifike waone kam wataupata urais wapuuz awa, sisiem
  8. Jeff lee

    Wasio na kazi ajira hipo hapa

    K inamaanisha laki
  9. Jeff lee

    Wasio na kazi ajira hipo hapa

    Asante kwa kutujuza, em nieleweshe hio mizigo inakua ni ya watalii au ni vip, na ajira hio inatoka serikalin au kwa mtu binafsi!?.
Back
Top Bottom