lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,912
- 3,372
Kama afya mgogoro usijaribu hyo kazi....
Bora ukalime kama shamba unalo
Bora ukalime kama shamba unalo
Aisee kumbe ndio maana mkoa wao ni tajiriWachaga uzeni pombe tu /grocery. Alafu jifunze uandishi mkuu
Kunywa chai mkuu upunguze mawazoWachaga uzeni pombe tu /grocery. Alafu jifunze uandishi mkuu
Huwezi kuwa na nguvu za kupanda mwezi mzima wala huwezi pata tenda kila wikiKwahyo kwa mwezi Una 800000/=
Sawa mkuuAkijitokeza mwenye ufafanuzi unaoeleweka, mnistue
K inamaanisha laki200k
una maanisha nini K ?
AsanteK inamaanisha laki
Wana nini mkuuMadogo bana