Kumekuwa na hali ambayo haieleweki, watu tumefungua madai ya Mafao tangu November mwaka jana, lakini hadi sasa tunakaribia mwezi April ukienda unapigwa tarehe tu, mimi mwenyewe binafsi sasa ni mara ya nane napigwa tarehe, ukiomba kwenda kwa Meneja wanakukatalia, na hii inaonekana ni usanii wa...