Kiwanja kinauzwa Nyamhongoro Mwanza

Kifuniko

Member
May 20, 2011
97
17
Jamani nina plot nauza ipo Nyamhongoro Block B, ina ukubwa wa sq m 640 (21mx30m) ina bomba la maji na nguzo ya umeme, ina vyumba 4 , library,dining, stoo , sebule na kitchen. Nyumba iko kwenye lenta. Atakaeonyesha nia bei tutaongea. Nawasilisha mada
 
Mkuu labda ungeweka details zaidi, kama vile kiko umbali gani kutoka barabara kuu, nyumba iliyopo imejengwa na tofali gani, kama kina hati, sababu ya wewe kuuza na bei ikiwezekana.
 
Jamani nina plot nauza ipo Nyamhongoro Block B, ina ukubwa wa sq m 640 (21mx30m) ina bomba la maji na nguzo ya umeme, ina vyumba 4 , library,dining, stoo , sebule na kitchen. Nyumba iko kwenye lenta. Atakaeonyesha nia bei tutaongea. Nawasilisha mada
vipi tena mkuu unauguza nini? au umeamua kwenda kusoma kwa mara ya pili kama mimi? aisee hali ni mbaya saana - tuuze tulivyonavyo.
 
Jamani nina plot nauza ipo Nyamhongoro Block B, ina ukubwa wa sq m 640 (21mx30m) ina bomba la maji na nguzo ya umeme, ina vyumba 4 , library,dining, stoo , sebule na kitchen. Nyumba iko kwenye lenta. Atakaeonyesha nia bei tutaongea. Nawasilisha mada

Mkuu Hebu Rudi tena utujibu maswali....Bei na Number ya simu tuwasiliane na wewe...kwani wengine tuko hapa hapa mwanza na maeneo hayo yanahusika sana..kwa sasa....pls.
 
Mkuu tafuta jinsi nyingine ya kutatua tatizo.usiuze nyumba.bora usote selo miezi sita ukirudi utaikuta.mimi sikubaliani na wazo lako.mbona hiyo nyumba unaweza kuitumia kama dhamana ukatatulia matatizo yako?jikaze kisabuni mkuu.mia
 
Jamani nina plot nauza ipo Nyamhongoro Block B, ina ukubwa wa sq m 640 (21mx30m) ina bomba la maji na nguzo ya umeme, ina vyumba 4 , library,dining, stoo , sebule na kitchen. Nyumba iko kwenye lenta. Atakaeonyesha nia bei tutaongea. Nawasilisha mada

Weka mawasiliano yako
 
Kaka naomba ni PM fasta tuongee bei.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom