Recent content by Jebel

  1. Jebel

    VPN: Mungu awabariki wazungu kwa hii kitu

    Mwaka wa tano nipo na Sungura wangu huyu. Ni swala la kumwambia tu nataka kwenda UK au US au Toronto hahahahaha.
  2. Jebel

    Unataka kuingia kwenye biashara za pikipiki pita hapa ujifunze kitu

    @mods ni biashara ya Spare za Pikipiki please edit
  3. Jebel

    Unataka kuingia kwenye biashara za pikipiki pita hapa ujifunze kitu

    MIEZI 3 KWENYE BIASHARA YA SPARE ZA PIKIPIKI FAIDA NA CHANGAMOTO ZAKE Salamu, Baada kuiwazia sana biashara hii nikaona si vibaya nikaweka vimillioni kadhaa ili nione kama kweli iko kama isemwavyo, si unajua utamu wa ngoma....... Kituo cha kwanza nikatinga wizara ya JF ili kupekua makaburasha...
  4. Jebel

    Kilimo cha matikiti, ulifanikiwa, wapi ulifeli?

    Niliwahi kushawishiwa na rafiki yangu nikanunua shamba ekari 5 nikazilima zote nikapanda haya madude wewewewe!!!! Shughuli ilianzia kwenye kuota ilikuwa mche mmoja ukiota bunju mwingine unaota kitunda mwingine vigwaza unaofuata kibaha kwa mfipa nikaona hiki kilimo na mimi never again Sasa bwana...
  5. Jebel

    Utajiri uliojificha kwenye kilimo cha mbegu za mchicha

    Ukiubabnisha sana hautapata mavuno mazuri kama lengo ni kulima kwa ajili ya mbegu.
  6. Jebel

    Wazazi hawataki nioe Mwanamke toka Bukoba

    Kabila letu ukizaliwa mtoto wa kiume unaambiwa mapema kabisa usioe muhaya wala mchagga. Binafsi nimeoa MUHAYA na kusema ukweli sijawahi kujutia hata siku moja kuoa Muhaya hata mzee wangu na familia nzima wanampenda mke wangu. Nina miaka na watoto 3 sasa tuko vizuri sana. NB inawezekana...
  7. Jebel

    Mpango wa kuwania ubunge 2025

    Nilighairisha ndugu yangu. Pesa yangu ni pesa yangu naipenda kuigawia watu siwezi. Ndodya bhike ndyame kare.
  8. Jebel

    Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

    Ziweke kwanza Fixed Account bank ya TCB wanatoa hadi 12% annually. Hapo kila mwezi utakuwa unapata karibu laki 8 wakati ukifikiria biashara ya kufanya. NB. KWA KUWA SASA UNA MDA WA KUTOSHA JARIBU BIASHARA YA KUNENEPESHA NGOMBE KISHA KUWAUZA BAADA YA MDA FULANI INALIPA SANA NA HAINA CHANGAMOTO...
  9. Jebel

    "Huyu Mama...mi nikamwangalia tuu". Hii sio lugha ya Mimbarini, ni lugha ya Kijiweni! Rais wa nchi ni Rais, sio 'Huyu Mama'. Lazima aheshimiwe na wote

    Pascal unashida gani na Kanisa katoliki mbona mara nyingi unaonekana kupinga sana ndugu yangu?
  10. Jebel

    Watu 10 wenye mchango mkubwa sana katika nchi hii. Mtazamo wangu

    Binafsi kwa mtazamo wangu, JK ni rais mzuri sana lakini mambo yote ya maendeleo aliyoyafanya alitumia mzigo wa maana wa pesa alizo fundraise Mkapa na hakuacha misingi imara ya kiuchumi wala kuendeleza misingi ya Ben. Rushwa na ufisadi wa kutisha uliota mizizi kipindi chake kwa kuchota pesa...
  11. Jebel

    Watu 10 wenye mchango mkubwa sana katika nchi hii. Mtazamo wangu

    Nafurahi sana kuona mchango wa mtu kama wewe mzee wangu. Asante sana
Back
Top Bottom