Mkuu, mada yako mie naona umemtazama jide na swala lake katika upande mmoja kama vile yeye ni mtu wa nongwa sana na visasi bila sababu, sina tatizo na mtazamo wako ila hakika nina mtazamo tofauti na wewe kwa hili,
mie naona jide is not acting, she is just reacting, she did not start the issue...