Ww jamaa mbona mweupe sana kwenye football, namba 6 si eneo la kiungo mkabaji tu.. namba 6 kuna viungo wa aina tofaut tofaut
defensive midfielder ni namba 6
Holding midfielder ni namba 6
Deep lying playmaker ni namba 6
Wote hao ni namba 6 ila kila mtu ana majukum yake uwanjan.
Sio kila team...
Mbona nimejibu sema una uelewa mdogo, Zidane ndo namba 6 hapo anakuwa kama deep lying playmaker, Zidane ni pure midfielder anaweza cheza 6,8,10 na hata kutokea pembeni huku hao mabek mmoja anasogea juu team ikiwa inamiliki mpira.. ungekua unajua deep lying playmaker majukum yake uwanjan...
Nani kakwambia kila team inahitaji kiungo mkabaji? Nani kakwambia kila mfumo unahitaji kiungo mkabaji? Barcelona ya Pep haikua na kiungo mkabaji. Busquet sio defensive midfielder, kuna aina 3 za namba 6 ktk mpira wa kisasa.
Kuna defensive midfielder huyu ni namba 6 kazi yake ni kukaba tu.
Kuna...
Kwa wataalamu wa au waliotumia hizi TV 2 naomba ushauri kati ya haier na hisense TV gani nzuri na mara.
Nilikua na samsung imekufa sasa huku kwa samsung naona parefu sana. nimeshuka hapa kati kabla sijafika huko chini kwa wachina kina vitron na kina Alitop. Msaada wakuu.
Hata huku wapo, mimi kuna mrangi mwenzangu alinisumbua ivo miak 2 nikaamua kumpiga tofali.. hataki sex hataki kiss, ila ela anataka.
Ana force leta posa tumalize ili swala.
Tumia njia zote Hollah, nikaamua kumpa tofali
Hata huku wapo, mimi kuna mrangi mwenzangu alinisumbua ivo miak 2 nikaamua kumpiga tofali.. hataki sex hataki kiss, ila ela anataka.
Ana force leta posa tumalize ili swala.
Tumia njia zote Hollah, nikaamua kumpa tofali tu
Capripoint mbona maskin wapo tena na wavuvi choka mbaya wapo.. au ww unaongelea capripoint ipi?
Shuka mpaka chini nyumba nying tu za wabangaizaji wamejenga
Hii ni kweli mfano halisi ni me na mwenzangu kwasasa mapenz hamna kabisa, kila mtu hana muda na mwenzake imebakia tu kuambiana kila mtu aangalie mambo yake ndo kilichobaki.
Simuombi penz simtafuti nayeye saiv hanitafuti kila mtu mbabe,, sitaki kumtakia maneno ya kumuacha kwasababu...
Tukuulize swali uliingia nao kwenye mahusiano ya sirias umuoe?
Nakushauri tafuta pesa wanawake wana nyenyekea sana kama wakijua unajiweza.. sasa ww unaombwa 20k unaanza sababu kibao unategemea nn?
Ushauri wangu achana mahusiano sirias ya mapenz unapoteza muda wako na pesa zako, tafuta pesa...
Mkuu humu Jf kila mtu ni mjuaji sana achana nao, mimi mwenyewe nimekulia kwa mjomba wangu kwa miaka 4 mpka nilivojipata ndo nikaondoka leo yeye hayupo wanae ndo wananiangalia mimi
Naona watu wengi hawaelewi wakisikia neno"walikua wanachimba chini undergroun"
Ipo hivi magorofa ya zaman unakuta kule chini kulikua ni stoo hata mbili au unakuta chini pote kulikua stoo sasa mmiliki anaamua kubadili zile stoo za under ground kuwa maduka kama magorofa meng ya kisasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.