Si-date tena na mwanamke anayejifanya Sheikha

Ukiingia kwenye mahusiano na mwanamke anaejifanya Sheikha ni mateso tu mkionana ukitaka kubusu anakwambia sjazoea ukitaka kumshika au kumkumbatia hatujaowana bado shida Ina kuja pale unapomwita geto anaanza kukupa hadithi na methali mwisho anakwambia unataka tuzini yaani shida tupu mpaka unafikia kumwambia kwani hujawahi kua na nyege/atakujibu tu shortcut namuogopa mungu / Ila pesa haziogopi na mwanamke huyu humkuti popote pale ispokua Zanzibar/yaani mwanamke wa kizanzibari unamtongoza Mara mbili/

Yaani nyie acheni wazenji wanajifanya wadiini Sana 🤣😎
omba tope, jiongeze na wewe sio kila kitu mpaka ufundishwe
 
Mzee mwenzangu, nadhani tupo dunia mbili tofauti. Yaani ukisoma nyuzi za mahusiano za vijana wetu halafu uje ulinganishe na enzi zetu zile, wallah unaweza kudhani labda kuna sayari 2 tofauti. Kwanza enzi zetu, mwanamke unamsotea hasa yaani, ukimwita mkutane sehemu (huenda hapo ulipiga sound zaidi ya mwezi ) anakuja na mdogo wake ili tu msifanye; wa sasa hvi khaa! 😃 😀 maji mara 1 tu, kakubali.
Mmewasema sana wadada wanaokuja na mashosti zao kwenye dates. Wameelewa somo sasa wanakuja wenyewe mnawasema pia. Nini hasa mnataka?
 
Huyo unatakiwa uwe konki kwenye aya unamtongoza kwa kitabu 😂😂😂
 
Ukiingia kwenye mahusiano na mwanamke anaejifanya Sheikha ni mateso tu mkionana ukitaka kubusu anakwambia sjazoea ukitaka kumshika au kumkumbatia hatujaowana bado shida Ina kuja pale unapomwita geto anaanza kukupa hadithi na methali mwisho anakwambia unataka tuzini yaani shida tupu mpaka unafikia kumwambia kwani hujawahi kua na nyege/atakujibu tu shortcut namuogopa mungu / Ila pesa haziogopi na mwanamke huyu humkuti popote pale ispokua Zanzibar/yaani mwanamke wa kizanzibari unamtongoza Mara mbili/

Yaani nyie acheni wazenji wanajifanya wadiini Sana 🤣😎
Hata huku wapo, mimi kuna mrangi mwenzangu alinisumbua ivo miak 2 nikaamua kumpiga tofali.. hataki sex hataki kiss, ila ela anataka.

Ana force leta posa tumalize ili swala.

Tumia njia zote Hollah, nikaamua kumpa tofali
 
Mkuu vipi

Hatari sana hiyoo
 
☝🏾 Hapa ndipo Kuna point ya msingi. Wale wa kilokole pia wanaomba hela Kila siku ila ukiomba game nasema anamuogopa Mungu
😂😂😂😂😂
Huyo hajakaa Zanzibar, Zanzibar likiingia Giza Kila kitu kinabadililika hiyo din ni kama utamaduni tu, wewe ulikuw unatongoza vitoto . Kaa vizuri na wenyeji Ufahidi mema ya Zanzibar
Mimi mzanzibar haswaa 😂. Kama ndoa Bora nioe mbongo tuuu kuliko mzanzibar mwezangu nazijua tanmbia zao
Alafu akijakukubali hana bikra
Wewe ndo umeongea Sasa umeona 😂
Hata huku wapo, mimi kuna mrangi mwenzangu alinisumbua ivo miak 2 nikaamua kumpiga tofali.. hataki sex hataki kiss, ila ela anataka.

Ana force leta posa tumalize ili swala.

Tumia njia zote Hollah, nikaamua kumpa tofali tu
😂😂😂Mimi sideti Tena na mwanamke wadini. Kanisani /mskitini miksa anakibana hakupi
 
Back
Top Bottom