Nafikiri kuna kitu unatakiwa kujifunza. Mimi nimewahi kutumia hayo mabasi ya umeme jijini London UK kwa jina maarufu "Trum". Ni aina ya mabasi kama mabasi ya "Ikarus" yaliyowahi kutumika jiji Dar es salaam miaka 80s na 90s! Ni mabasi yanayotumia njia kama za treni lkn yanatumia umeme na mwendo...
Nafikiri una ndoto za mchana aisee! Eti tutafute wapinzani wengine!! Wanasiasa wa kweli uzaliwa....! Wewe umeshindwa nini mpaka uwatafute wengine? Kuwa miongoni mwa waleta mabadiliko unayotaka yatokee!
Kasome sheria ya kodi na deductions kwenye mishahara ya wafanyakazi. Basi wewe na mwajiri wako mnakwepa kodi ya mapato. Sisi posho na allowances zinakatwa kodi!
Ndio posho sio Mshahara. Lakini Posho na Mshahara ukatwa kodi kwa sababu yote ni mapato kwa mtumishi. Posho ni neno tu, hayo ni mapato kwa mtumishi kama ulivyo mshahara hivyo ni lazima posho ikatwe kodi. Mimi ni mfanyakazi kutoka private sekta...posho na mshahara vyote uunganushwa na kukatwa...
Tuache kujipumbaza....posho zote za wabunge zinatakiwa kukatwa kodi. Wafanyakazi kazi wote wanaolipwa posho mbali mbali kwenye mishahara yao uunganishwa na mishahara yao na kukatwa kodi. Mhe. Jerry Silaa ameonewa bure ana hoja ya msingi.
Huyu "Naibu" ni mwanasheria nguri lakini anatumia "tekinikalitizi" kujitetea kuhusu hoja ya Mhe. Jerry Silaa. Ndugu zangu watanzania tutumie elimu zetu kusaidia nchi yetu. Huu utetezi sio sahihi. PAYE kwenye mshahara wa mfanyakazi haikatwi kwenye Basic Salary tu bali kwenye Gross Salary. Huu...
Nakubaliana na wewe. Kinachonishangaza sijui watanzania elimu yetu ni ya namna gani...mimi ni mfanyakazi mbali ya Basic Salary yangu kuna sitahiki zingine kama house rent allowance nk. vinaunganishwa na mshahara wangu na kukatwa kodi. Kwahiyo Mhe. Jerry Silaa ana hoja ya msingi kwamba zile posho...
Mimi nafikiri bunge halijajibu hoja ya Mhe. Jerry Silaa. Hoja ya Mhe. Jerry Silaa katika mkutano wake wa hadhara na wanachi wake jimboni Ukonga alijua kwa dhati kuwa mbunge hukatwa PAYE katika Basic Salary tu kitu ambacho kama ni kweli kuna basi kuna hoja ya kujibu.
Mhe. Jerry katika hoja yake...
Ndugu yangu Lecturer(s) wa namna hii hawafai katika karne hii. Successful Customer Outcome ya kila mwanafunzi wa University au college yoyote ni mwisho wa masomo kufuzu na kupata certificate yake. Kwa nchi za wenzetu ni SCO ya kila Lecturer kuhakikisha anamuwezesha mwanafunzi wake anapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.