Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 3,716
- 11,703
Bila shaka wewe sio salaried worker. The more you earn the higher the taxes. Yes, kuna watu wanalipa PAYE zaidi ya 30%.
Usiwe unabisha ndugu kama hufahamu omba watu wakueleweshe. Kodi kwa mishahara iliyo chini ya 1,000,0000 hukatwa kwa asilimia, mfano kima cha chini kodi ni 9%. Lakini mshahara wowote unaozidi 1,000,000 kodi huwa ni 130,000 + (30%x inayozidi kwenye 1,000,000). Mfano kama mshahara ni 4,500,000 basi kodi itakuwa 130,000 +(30%x4,500,000)=130,000 + (0.3x4,500,000)=130,000 +1.350,000=1,480,000 ambayo ni karibu na 1.5 milion.Naibu spika wa JMT amesema mbunge anakatwa kodi.
Na kwa figure ya mshahara wa mbunge alioutaja ambao ni 4.6 minions na kodi ikuwa ni 1.5 milions kwa hesabu ya haraka tu unakuja kuona kuwa kodi anayokatwa mbunge ni zaidi ya 30% au tufupishe tuseme tu ni 30%.
Hivi tuna wabunge wazalendo kiasi hiki?
Miaka yote wainyamazie tu kodi kubwa inayogusa mfupa wao kiasi hiki?
Note: Mkitaka kuwadanganya wananchi basi tafuteni uongo mtakatifu.
Aweke salary slips za wabunge wazalendo tuzione
MMH. Sijaelewa. Hivi hayo makato yao ni tofauti na PAYE?? Maana nikipiga kodi ya kipato cha TZS 4,600,000/- ni TZS 1,070,000/- (Hapo less NSSF). Tukisema hawakatwi NSSF kodi ni TZS 1,208,000/-. Namheshimu Naibu Spika lakini hapa unatupotosha….Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.
Nilichokiona kwanza ITV haina watangazaji wazuri wa kuuliza maswali, pia huyu bibi anaongea kama vile watanzania wote ni wajinga kama waliopo jimboni kwake.Nimemsikiliza akiongea anaonekana kuwaaminisha watu wabunge hawapati kingi kama wakurugenzi wengine kwenye mashirika ya umma.
Lakini anasahau kwa idadi ya wabunge mara hizo posho na mishahara bado hesabu inakuwa kubwa, amesema wabunge pamoja na waziri mkuu wanafika 395 ukipiga mara hizo figure utaona wanavyolifanya taifa kuzidi kuwa masikini.
Kigezo kingine alichotumia ku-justify hizo posho zao amesema hata wafanyakazi wengine wa umma wakisafiri hulipwa pesa za usafiri na gharama nyingine.
Lakini tunaona hawa wafanyakazi huwa wanacheleweshewa posho zao wakati mwingine hawapati mpaka wanafika vituo vyao vya kazi, na hata mishahara huchelewa, hili kwa wabunge haliwezi tokea.
Issue nyingine aliyozungumzia kuhusu wabunge 19 waliokuwa wa Chadema, anasema Chadema ndio wanatakiwa kumaliza taratibu zao ndani ya chama ndio bunge liwaondoe au lah.
Hapa Tulia anajua fika mtu akishaadhibiwa adhabu yake huanza kutekelezwa pale inapotolewa, sio mpaka atakapokata rufaa either akishinda ndio asiadhibiwe, au akishinda ndio aadhibiwe, na KM wa Chadema alishawaandikia barua kuwajulisha kuhusu hilo, lakini nashangaa bado wanakuwa wagumu kuelewa.
Kwanini hao watumishi wa mbunge wasilipwe direct na serikali kama watumishi wengine? hapo kuna ujanja ujanja mwingi snAnang'aka Nini huyo?
Aweke salary slip public Kama kweli ameamua kutuaminisha!
Mwamba Ngoma..Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.
Atuambie tu serikali inatoa kiasi gani kwa mwezi kulipa wabunge wote? Hapo tutagawanya wenyewe namba haidanganyi. Aliebuni namba moja kwa moja peponi.Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.
Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.

Nilikuwa Mbeya juzi juzi kwa kweli anasumbua sana na misafara yake kila mara,Mbeya yenyewe mjini barabara ni moja tu inayoingia mjini.Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.
Wanafikiria wanaongoza ma nyumbu, Kwa mtu mwenye upeo timamu hawezi elewa mauchafu aliyoyazungumza.Kwanini alipwe pesa za mfuko wa jimbo (za umma) ziwekwe kwenye akaunti ya mtu binafsi (mbunge mwenyewe). Kwanini mbunge amlipe katibu wake kwa kwa kutumia pesa za umma huku hiyo nafasi upatikanaji wake hauwi wa ushindani? na huyo dereva wa mbunge huwa anapatikana kwa mchakato upi wa ajira?
Huyu "Naibu" ni mwanasheria nguri lakini anatumia "tekinikalitizi" kujitetea kuhusu hoja ya Mhe. Jerry Silaa. Ndugu zangu watanzania tutumie elimu zetu kusaidia nchi yetu. Huu utetezi sio sahihi. PAYE kwenye mshahara wa mfanyakazi haikatwi kwenye Basic Salary tu bali kwenye Gross Salary. Huu ndio ukweli na kama kuna watu wa TRA au watalaamu wa kodi watusaidie sio wabunge kuja kujitetea.Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai posho ya kikao ni Tsh 120,000. Pia Kuna posho ya kumlipa Dereva na Katibu wa Mbunge na posho ya mafuta. Pia Kuna mfuko wa Jimbo.
Watu wa nje ya Bunge wakipiga hesabu wanadai ni Tsh 11,0000,000 jambo ambalo sio kweli. Hizo hela zinapita kwa Mbunge japo zote sio zake.
Kwa kauli hii ya Naibu spika wa Bunge ni dhahiri kuwa wabunge wanakatwa Kodi tofauti na uvumi uliopo mtaani.
Haya maswali ya msingi hawayataki kujibu wanakazana kuwapa wanaodiriki kusema adhabu...Are they for public or for their personal interests?Kwanini alipwe pesa za mfuko wa jimbo (za umma) ziwekwe kwenye akaunti ya mtu binafsi (mbunge mwenyewe). Kwanini mbunge amlipe katibu wake kwa kwa kutumia pesa za umma huku hiyo nafasi upatikanaji wake hauwi wa ushindani? na huyo dereva wa mbunge huwa anapatikana kwa mchakato upi wa ajira?
Posho pia hukatwa Kodi?Kodi hukatwa mshahara pamoja na posho.
Hakuna mwenye jibu, labda viongozi wa hazina na Bunge.Kwanini hao watumishi wa mbunge wasilipwe direct na serikali kama watumishi wengine? hapo kuna ujanja ujanja mwingi sn
Kodi ya mshahara wa shs 4,600,000 ni shs 1,208,000 na kabla ya July 2021 ilikuwa shs 1,210,500. Je kwa nini katoa hesabu isiyo sahihi?Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.