Recent content by JB MUNA

  1. J

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zimenichania mikeka yangu ya mamilioni
  2. J

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna timu kama borusia Dortmund.. AC Milan...Attretico Madrid siwezi kuzibetia hata siku moja
  3. J

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Mh Mwigulu nakushukuru kwa ufafanuzi yakinifu....Namuomba Mungu amlinde Ben Saanane huko alipo....
  4. J

    Dr. Slaa avuliwa nguo, dili alilipanga Josephine. Alonga na Mwakyembe kabla hajaingia kwenye mkutano

    Nimeamini Dr Slaa na Pro.Lipumba wanatumika sio bure..Watanzania wawe macho na watu hawa..
  5. J

    CCM kwanini lakini??

    Nimeona tangazo linalorushwa na Star Tv juu ya mgombea wa UKAWA Mh Edward Lowasa hakika CCM mnaboa sana..Si democrasia ya kweli kutoa picha za kumchafua mgombea binafsi.Hakika wananchi ndo wana jukumu la kuchagua kiongozi yeyote wamtakao.Naomba CCM mbadilike pia NEC waingilie kati juu ya...
  6. J

    Kaimu Balozi wa Libya nchini Tanzania ajipiga risasi na kufariki

    Membe amekwiba pesa za Libya zaidi ya USD dollar millioni 20...
  7. J

    Joshua Nassary ametoa pesa wapi ya kukodisha Helkopta?

    Mafisadi wapo hata kwenye CHADEMA..
  8. J

    GE2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

    Nape hawezi chochote nyie subirieni...
  9. J

    Membe: Nitakuwa Rais ambaye hajawahi kutokea duniani

    Membe sio presidential material.. na isitoshe amewekwa agombee kwa shinikizo la mkuu wa kaya ili kumdhibiti Lowasa.Ndo maana hayuko serious...
  10. J

    Chikawe amuomba radhi Benard Membe kwa kujiunga na Team Lowassa

    You are a talented fool....
  11. J

    Lowassa avunja record tena, elfu 58 wamdhamini Iringa..

    Lowasa ni chaguo la mungu...
  12. J

    Hakatwi mtu hapaaa! Lowassa anaaminika kwa wengi

    LOWASA ndo habari ya mujini....
  13. J

    Edward Lowassa special thread

    LOWASA ndo raisi mtarajiwa...CCM wakifanya makosa basi jamaa atachukua nchi akiwa upinzani..
  14. J

    Jeshi la Marekani laanza kujitayarisha kwa ajili ya mwisho wa dunia unaokaribia

    Kuna zaidi ya vimondo 1500 ambavyo vinaweza kuanguka kwenye dunia yetu na kusababisha madhara makubwa hata kusababisha dunia yetu kuangamizwa kabisa...Ni dalili za nyakati za mwisho.
  15. J

    Hakuna anayechukia tajiri, tunachukia utajiri wa wizi - Lowassa tuelewe

    Amemwibia baba yako hizo mali??..
Back
Top Bottom