Elections 2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

Nape Ni paka shume mbona ameshidwa kumvua gamba na xxa anakalbia kuchukua nchi.......ha ha ha ha anakumbuka shuka kumekucha
 
juzi usiku nimemwona makongoro mitaa ya ufipa,sijui anataka kukimbia ccm!!halafu tabia yake ya kupiga misele na lile vx la east africa aache,yani mateja ya pale american chips kinondoni ndio washikaji zake...

hahahaha mkuu bakiza na kesho,ndio mgombea wao huyo
 
Tunamsubiri Nape alete hilo chaguo lake tumwonyeshe hii Tz sio ile ya 1995 atafurahi.
 
Matamko ya nape ni sawa na msalit yuda alipokuwa chadema.hayatekelezek
......
Sis tunasubir kumwapisha dr.slaa
 
Kwani kuna mtu ccm sio fisadi?
Mfumo wa ccm ndo unaomfanya mtu awe fisadi....

Consider:
Mmiliki wa Lake Oil, Lake Gas, Dalbit Transport, Uda, nk.
Aliingia madarakani akiwa sio fisadi lakini sasa ni fisadi (bilionaire). Ccm ni janga.
 
kama nukwel hayo kwann ucnge mzuiya wakati wa kuchukua fomu ucwachanganye watanzania bhana nyinyi nyote ni mafsad
 
Naunga mkono hoja, kama kunakauli ambayo nape aliwahi kuitoa na kuingia akili mwangu hii ni ya msingi sana,

Hata asipotaja jina fisadi anajulikana huhitaji elim kubwa kujua kuwa nan ni fisadi may b uwe c mtanzania na umeingia jana airport, ila kama umekaa zaidi 24hrs utajua tu kuwa yuleeee jamaa ni mpigaji ..
 
Kuna lile jamaa moja lilifika kusema litaingia mwituni lakini Uwezo wa mola karim ni mkubwa limeingia ardhini halitoki milele Mmungu ametuepusha nalo isije ikawa na kauli za nape nazo zikaja kuzaa mengine ?
 
Nape anatetea kibarua chake lakn maji yameshazidi unga ajiandae kwenda mipasho ama taarabu sababu kibarua kitaota mbawa muda si mrefu

Ndani ya ccm hakuna mgombea safi. Walio safi hawsjagonbea urais. Kwa uchaje ni Kangi Lugola, Deo Filikunjombe, Ole Sendeka, angalau walikemea ufisadi bungeni hasa kwenye Richmond, escrow, epa,tokomeza, Jairo nk. Kwa hiyo wananchi watampata mgombea safi nje ya ccm.
 
Kashajua kuwa mamvi atachaguliwa kwa ule mkwara wa kikongwe mganga wa kienyeji ngombare mwiru!!!sasa wanatishana nyau...nape bwana siku hizi tumbo lake kubwa!!!
Mganga kajirudi na kuwaacha waumini njia panda!
 
Back
Top Bottom