Recent content by Jaysmith

  1. Jaysmith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mkuu unajua bolu [emoji16] Kongole kwako[emoji122]
  2. Jaysmith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hili nakubaliana na wewe striker ni muhimu sana
  3. Jaysmith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kitu alichokuwa anakifanya yule striker no. 9 wa Nottingham ndicho aseno tuliitaji ana hold Mpila vizur Mpaka sapoti inapofika si haba nadhani ni Castr kama nitakuwa sijakosea alisema Lukaku angefaa ila tukachukulia utani[emoji16]
  4. Jaysmith

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu umeiweka vema hakuna mali yoyote ya Urusi ambayo imechukuliwa na kutaifishwa/kutumika zaidi ya kushikiliwa tu. Na wanakosa maamuzi ya kutumia mali ya Urusi iliyoshikiliwa kwasababu hapo kabla hakujawai tokea jambo kama hilo.
  5. Jaysmith

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Zuio kuisha mwezi January haiondoi uhalisia kwamba zina hitilafu ndiyo maana zimesimamishwa mpaka uchunguzi ufanyike. Mkuu sijui umemaanisha nini uliposema aliicontrol ndiyo akatumia ijection seat[emoji848]. Mbona video inaonesha vizuri kabisa ndege ilikosa control baada Tu ya kugusa ardhi na...
  6. Jaysmith

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Bila kumsahau Grand Master heshima kubwa kwake natamanai Sana awe anachangia nilikuwa najifunza mengi Sana kwenye machangio yake Ila ndiyo hivo tena.. sasa imebaki kubishana na sio kuelimishana.
  7. Jaysmith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waafrika wanalazimisha mafanikio ya Morocco yawe ya Waafrika wote

    Si hivyo tu bali Kwa kuongezea pia Kwa mashindano ya kombe la dunia yatayofata(2026) Africa itapeleka timu 11(thanks to Morocco) ambapo idadi hii imechangiwa na timu ya Morocco kufika nusu fainali. Je Kwa hapa ni vipi Africa haijanufaika? chance ya kushiriki michuano hii kwa kila nchi Africa...
  8. Jaysmith

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ushabiki umekuwa mwingi kuliko kubadirishana maarifa.
  9. Jaysmith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    The form will win.
  10. Jaysmith

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    "If there is a country that have committed unspeakable atrocities in the world it is the United States of America. They don't care for human beings, fifty seven years ago, when Japan was retreating on all fronts, they decided to drop an atom bomb to Hiroshima and Nagasaki killed a lot of...
  11. Jaysmith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

    Zote mkuu
  12. Jaysmith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

    Shukran mkuu
  13. Jaysmith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

    Msaada kwa anayefahamu muvi zenye mfanano na OPERATION RED SEA Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Jaysmith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta ni kocha mzuri Time will tell. Mark my words Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom