Recent content by jayjayjay

  1. J

    Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

    Kwa hiyo kwa shahada hiyo ya juu, atakuwa nani? Mchungaji?? Hahaha
  2. J

    Mzee wa Upako Alipofuturu Nyumbani Kwa Waziri MKuu,

    Acha uchochezi janjaweed, futari kila mtu anashiriki
  3. J

    Waislam iogopeni dhambi ya kitimoto

    Kiingiacho sio haramu ila kitokacho!!
  4. J

    Mbunge Moses Machali ampiga na kumuumiza vibaya baba yake mzazi

    Atakuwa anavuta bangi,, haiwezekani akampiga babayake hata kama analewa kiasi gani!!
  5. J

    Nitoeni hofu, mke wangu amepitiliza mda wa kujifungua

    Usifanye masihara na hayo mambo kama imeshindikana kuzaa kawaida apasuliwe la sivyo unaweza poteza viumbe wote wawili!! The early the better.
  6. J

    Madawa ya Kulevya: Uhamiaji Dar wamnasa Mnigeria kinara wa kusafirisha unga

    Wakikatwa tunasema uchochoro wasipokamatwa uchochoro, tujaribu kuwa na fikra chanya wakati mwingine!!
  7. J

    Ni sahihi kwa Brigedia Jenerali kumlinda Rais?

    Nyie kwani mnavyeo gani? Jadilini mambo ya msingi kama muundo wa serikali tatu au mbili na madhara au faida zake!!
  8. J

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 28 Machi 2014 - Maamuzi ya Bunge Kuhusu Kanuni za 37 na 38

    Wabunge kama mapapa, wakiwa baharini wanaua watu na wakiwa nchi kavu wananuka!
  9. J

    Josephine unazidi kumharibia Slaa, hutakaa uwe First Lady wa nchi hii

    Hata ile ya ola city Arusha eti chadema wanavideo ya tukio zima wakati wao ndo waluoandaa mpango mzima! Wameambiwa na mganga wao wakimwaga damu wataingia Ikulu.
  10. J

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

    Eti wanaitana mabwege! Hivi wanaakili nzuri hawa wabunge kweli! Shame upon them
  11. J

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

    Lukuvi anawapa seminar wabunge wa bunge la KATIBA! Na kushangliwa kwa nguvu
  12. J

    Nape Moses Nnauye afunga ndoa

    Wekeni na nyie picha za wake zenu, tuwaone uzuri wao kazi kusema wake za wenzenu!
  13. J

    CAF Champions League

    Matokeo pls Yanga vs Al ahly,
Back
Top Bottom